Riwaya: Pasipoti ya Gaidi part 1
Mtunzi: Richard Mwambe
Pasipoti ya Gaidi: Hujuma na Uzandiki
Sura ya I
Ikulu – Dar es Salaam
Saa 10:30 Alfajiri
Wakati giza likijiandaa kutoweka na kuipisha nuru ya asubuhi, miti yote ilikuwa imetulia kana kwamba kuna aliyeiambia ifanye hivyo. ni tausi mmoja...
Tunu zetu Library tumekuwa kwa muda mrefu tukizienzi na kuboresha kazi za wakongwe wa fasihi ya kiswahili kwa manufaa ya kizazi kijacho. Baaada ya kuona maktaba nyingi hazina vitabu hivi, Tumeingia chimbo kuvisaka, kuvipitia na kuviweka mfumo wa nakala rahisi (softcopy) unayoweza kuipata kwa...
Riwaya: MUME GAIDI
Mwandishi: ATUGANILE MWAKALILE
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
Ilikuwa ni kipindi cha mvua za masika, na siku hiyo mvua ilikuwa inanyesha. Kijana Patrick alikuwa ndani na mama yake bi. Deborah, hoja ya Patrick ilikuwa ni moja tu kuhusu baba yake mzazi.
PATRICK...
Riwaya ya Kijasusi: SAUTI YAKE MASIKIONI MWANGU
Mwandishi: KELVIN KAGAMBO
Imeletwa Kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
“..... na sasa ni zamu yako. Sali sala za mwisho tufunge mkataba.”
“Lakini braza Jisu haya yote yanatoka wapi? Kosa langu nini?”
“Unaleta dharau sio? Hujui kosa lako au...
RIWAYA: KASRI YA MWINYI FUAD
MWANDISHI: ADAM SHAFI ADAM
IMELETWA KWENU NA: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
KIJAKAZI alizaliwa kutokana na ukoo wa kitumwa. Baba yake na mama yake walikuwa ni miongoni mwa watumwa watiifu sana wa Bwana Malik na kama wao, Kijakazi alinuia kuwa mtumishi wake mtiifu kabisa...
Mtunzi: Muddyb Mwanaharakati
Imetolewa: Mei, 2020
Mawasiliano: 0713538427
MOJA
MIADI!
Miadi ikisogea moyo huhakaika, kwa kasi na haraka huwa kama kidonda kinachopwita, pwi-pwi, pwi! Kufanya hivyo ni rai kwa mwili umsubiriao mwenza kwa hamu kuwa wasaa utawadia, huku matarajio ya mambo kuwa...
KINU CHA MAMA
Mussa N. Abubakari
UTANGULIZI.
Hii ni bunilizi tu. Usijaribu kugeuza maoni kuwa ukweli na kuharibu maisha ya watu.
ZINDUKO;
Moja ni jibu,
Ngono hutibu.
1. Romantic Star
Alishuka. Akasimama, kisha akaangalia kushoto na kulia. Erick Kupaza alifurahi kurudi nyumbani kwao. Sio tu...
Habari wanajamvi!
Nakumbuka mwishoni mwa miaka ya 80, nilibahatika kusoma riwaya moja ikijulikana kwa jina la PETE. Nahisi ni riwaya ya kimkondo wa Kifalsafa.
Ninachokumbuka kwa haraka ni kuwa riwaya hii ilimuhusu kijana mmoja mcha Mungu hivi aliyeamua kuoa kinyume na matarajio yake.
Naomba...
IMEANDIKWA NA : HUSSEIN ISSA TUWA
*********************************************************************************
Simulizi : Bondia
Sehemu Ya Kwanza (1)
Lango kuu la gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam lilifunguliwa na mtu mmoja mrefu alitoka nje ya lango lile kwa hatua za kujiamini na...
RIWAYA; MTUHUMIWA
MTUNZI; HUSSEIN TUWA
SEHEMU YA KWANZA.
Daily News, Julai 12 (Imetafsiriwa):
Jambazi hatari linalojishughulisha na biashara ya madawa ya kulevya huko Marekani ya Kusini limefanikiwa kwa mara nyingine tena kuwatoroka askari wa Kikosi Cha Kupambana na madawa ya kulevya cha...
RIWAYA: MKIMBIZI
MTUNZI: HUSSEIN ISSA TUWA
SEHEMU YA KWANZA
likuwa ni msafara wa watu watano, watatu kati yao, pamoja na mimi mwenyewe, tukiwa ni waajiriwa wa Idara ya Makumbusho ya taifa kitengo cha utafiti wa masalia ya kale. Wa nne alikuwa ni mpiga picha binafsi aliyeajiriwa kwa muda na...
Imeandikwa na Hamisi Kibari wa gazeti la HabariLeo
“HUYU ndiye Edi Ganzel uliyekuwa ukimuuliza sana,” aliniambia Mzee Barnabas Maro, akinitambulisha kwa mmoja wa watunzi mahiri wa riwaya kuwahi kutokea nchini.
Wakati huo, mwaka 1998, Mzee Barnabas Maro, maarufu Kamba Ulaya, alikuwa mhariri wa...
TITLE: RIPOTI YA MKAGUZI.
SEHEMU YA KWANZA.
NDANI-OFISI YA MZEE WOTA.
Mzee Wota, Bwana wa miaka 60 hivi, ameketi akiwa makini akisoma kilichopo kwenye Lap top, huku akibofya keyboard ya Lap top ile.
Mlango unagongwa, “ingia” anasema Mzee Wota huku bado akiwa amekazia macho kwenye Laptop...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.