Maana ya Riwaya kwa ujumla
Riwaya ni masimulizi ya kubuni ya kinathari yenye msuko au mpangilio fulani wa matukio au ploti inayofungamana na wakati au kusawili wakati na yenye visa vingi vivavyotendeka katika wakati fulani na yenye mawanda mapana yenye mchangamano wa dhamira, visa na wahusika...
MTUNZI : SELOPHEADY H. MAGEMBE
HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA
Huruhusiwi kunakili au kutumia sehemu ya hadithi hii bila ruhusa ya mwandishi.
Nilikua nimehitimu masomo ya shule ya upili na kuchaguliwa kwenda kusomea ualimu katika chuo cha ualimu.Hii ilikuwa ni miaka ya 1990 hivi, ualimu ni kazi ambayo...
RIWAYA: WAKALA WA SIRI
Mtunzi; Robert Heriel
0693322300
Episode 01
MAABARA YA BORETI.
Jokofu maalumu kwa ajili ya kuchunguzia maiti lilikuwa limezungukwa na Madaktari bingwa wa maswala ya uchunguzi, ndani yake ilikuwepo maiti iliyofungwa kwa karatasi jeupe la nailoni. Ilikuwa ni maabara ya...
TRENI ya abiria kutoka bara iliwasili kwenye Stesheni ya Dar es Salaam majira ya saa tano asubuhi. Kuwasili huko kuliwafanya baadhi ya watu waliokuwa wakisubiri, kuanza kuangalia kwenye madirisha ya mabehewa ili kuwaona wageni wao.
Treni hiyo iliposimama kukaligeuza eneo hilo kuingia kwenye...
Utangulizi
Maisha matamu sana, haya ni maneno ambayo nisingeweza kuyatamka miaka ishirini iliyopita, sikujua cha maisha wala uzuri…, na si mimi tu wengi tulikuwa kwenye dhahama hizo…
Nasogea kwenye bustani na kuketi napigwa na upepo mzuri naona wanafamilia wakitembea kutoka makwao kuelekea...
JINA: MAAMUZI MAGUMU
MTUNZI: CHIAMARO MOKIRI
HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA. NI MARUFUKU KUNAKILI AU KUSAMBAZA KAZI HII BILA RUHUSA YA MAANDISHI KUTOKA KWA MWANDISHI. HATUA ZA KISHERIA ZITACHUKULIWA KWA YEYOTE ATAKAYETHUBUTU.
SEHEMU YA KWANZA
JACK REACHER ALIAGIZA kahawa vikombe viwili vya take...
MAMA USINIFUNDISHE UCHAWI.
SEHEMU YA KWANZA
“Mkoani Morogoro, wilaya ya Mvomero, kata ya Kibaoni, na kijiji cha Maharaka. Anga yote ilikuwa imetanda kuashiria mvua saa yoyote inanyesha. Hali ya hewa si shwari baridi lilikuwa kali kupita maelezo. Ardhi baada ya muda ukali wa jua...
Matairi meusi ya ndege ya shirika la ndege la kimataifa la Kenya (Kenya airways) yaligusa taratibu katika ardhi ya uwanja wa kimataifa wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere, jijini Dar es salaam. Abiria wengi walianza kushuka katika ndege hiyo kwa kutumia ngazi ndefu nyeupe iliyotokea baada ya...
TUZO YA KISWAHILI YA MABATI-CORNELL YA FASIHI YA AFRIKA: 2021
Utaratibu wa Kushiriki
Tunafurahi kuwajulisha utaratibu wa kushiriki katika mashindano ya Tuzo ya Kiswahili ya Mabati-Cornell ya Fasihi ya Afrika yanayoingia mwaka wake wa sita. Tuzo hii, iliyoanzishwa mwaka wa 2014 na Dkt. Lizzy...
Habari, wapendwa. Uandishi wa riwaya na simulizi ni kazi ngumu na nyepesi kwa wakati mmoja! Ngumu kama mwandishi anatazamwaa na rundo la karatasi nyeupe huku akiwa na kalamu bila uhakika anaanzia wapi. Uandishi pia ni mwepesi kama mwandishi ana 'sense' ya angalau pointi A, B na C kabla...
FILM: KITISHO
MTUNZI: Richard MWAMBE
1
Mbowe club saa 1:23 usiku
RADI kali ilipasua anga na kufanya mchoro wa kutisha, mwanga wake ulilipoteza giza kwa sekunde kadhaa, kila kilichojificha kilionekana wazi.
Hakuna mtu hata mmoja aliyekuwa nje muda huo. Ni mvua kubwa na ngurumo za kutisha...
RIWAYA: LOVE SPEAR 01
MTUNZI; AUTHOR XAV
NAMBA; 0672493994
Email: xavemmanuel12@gmail.com
----------------------------
UTANGULIZI;
MAPENZI ni moja kati ya njia ambayo kila binadamu anapaswa apitie. Ni njia ambayo haina muonekano halisi ambao unajulikana. Kila mtu anaonja radha yake katika...
JINA: SENYENGE
MWANDISHI: CHIAMARO MOKIRI
MAWASILIANO: Chiamaro.llc@gmail.com / +255 (0)763 170 858
UTANGULIZI.
Maisha ya Hook Hobie yalikuwa na siri nzito aliyoificha kwa zaidi ya miaka thelathini. Uhuru wake, Wadhifa wake, Mali zake na kila kitu alichokimiliki kilitegemea siri yake hiyo. Na...
RIWAYA: JANGA
MTUNZI: richard MWAMBE
SEEMU YA 1
I
Saa 5: 7usiku…
DAR ES SALAAM
MVUA ILIYOAMBATANA NA RADI iliendelea kunyesha kwa hasira katika jiji la Dar es salaam, hakukuwa na nyota hata moja iliyong’aa siku hiyo wala mbalamwezi yenye nguvu ya kulishinda wingu zito lililofunga anga la...
Nikiwa darasa la Sita nilisoma riwaya hii, wakati huo dadangu alikuwa form one Msalato Girls school - nilipata nafasi ya kumhadithia yote, na nilimsisitiza mno pale Rosa alipoanza kulewa na kufukuzwa shule.
Nilitumia riwaya hii kumfikishia dadangu ujumbe !! Ni miaka mingi imeshapita, nataka...
ONYO
Hairuhusiwi chini ya miaka 20
UTANGULIZI
Kinukamito, ni mwanamke asiyedumu katika mahusiano au ndoa kutokana na sababu mbali mbali. Kusema ni mwanamke ambaye hudhaniwa ana mkosi kutokudumu kwenye mahusiano, waaidha, Mwanamke Chanikiwiti ni yule anayetumia uzuri wake kupata atakacho. Katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.