SIMULIZI: HUKUMU NZITO
GENRE: THRILLER
MWANDISHI: YI BANG JI
“Nataka tuimalize kazi kwa haraka,” aliongea Julius Fungo, huyu alikuwa kiongozi wa kikundi
cha majambazi ambao walikuwa wakifanya matukio mazito ya uhalifu jijini Mbeya, kwa muda
huu alikuwa akitweta na alikuwa analisogelea dirisha...