Wewe ni bosi upo kampuni flani au kwenye taasisi ya serikali lakini unatumia mamlaka yako vibaya kwa kuwakandamiza na kuwanyanyasa walio chini yako na kuwadhulumu stahiki zao, nini faida ya yote hayo unayoyafanya?
Zikitangazwa ajira kwenye ofisi yako unaitisha interview kama formality tu lakini...
Masikini wana roho mbaya
Na Paul R.K Mashauri
Watu wengi wanafikiri matajiri wengi "wealthy people" wana roho mbaya na makatili. Nazungumzia waliotafuta pesa kihalali sio "walioiba na kudhulumu"
Waliochuma kwa jasho. Hao matajiri wengi wana roho nzuri sana na ni wanyenyekevu sana "very humble...
Watanzania wana roho mbaya sana juu ya wanyama. Wakimuona paka ata kama hajafanya kitu wanaanza kumporomoshea mawe wanamfukuza na matusi juu. Halikadhalika mbwa na ndege kama vile kunguru na ndege wengine. Ni nini hasa inachangia Watanzania kuwa na roho mbaya juu ya wanyama ambao ni viumbe...
Ukiona moshi, usidhani uko Mkoa wa Kilimanjaro, wakati mwingine ni moto unawaka chini kwa chini.
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema Mkoa wa Mbeya amekiri kwamba uchaguzi ndani ya chama umejaa rushwa ya kiwango cha kutisha, kiasi kwamba aliamua ajiondoe kuogombea uenyekiti wa chama mkoa wa...
Madaktari pamoja na wafamasia wetu wamegundua namna ya kuiba dawa na kuzipeleka kwenye maduka yao binafsi bila kushikwa.
Wahandisi wetu wa ndani wamegundua namna nzuri ya kuiba pesa za miradi bila kushikwa.
Wakuu wa shule nao hawako nyuma wamegundua namna ya kuiba pesa za ruzuku bila kushikwa...
Hii ya leo imeniuma Sana hadi nimelia.....
Kuna watu wanaroho mbaya Sana.
Wafaanya biashara wa online wenzangu mnaelewa jinsi ilivyo kazi kumpata mteja 😭😭
Bas mwenzenu Mimi nafanya biashara online, Sina bidhaa Ila nikipta mteja baada ya kupost ndo nikamchukulie.
Sasa pale kariakoo nimewazoea...
Mtangazaji na CEO wa "Zamaradi Tv" mwanadada Zamaradi Mketema, amemjibu shabiki aliemwambia kuwa ana roho mbaya.
Sekeseke lilianza baada ya Zamaradi kupost picha yake kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuandika "Mmanyema mmoja hivi!!"
Moja ya shabiki wake akajitokeza na ku-reply kwenye...
Acheni roho mbaya bali semeni ukweli. Kwa Sasa Tanzania na East Africa hatuna msanii wa Maana kama Zuchu, bidada anajua kwa kweli sijui hawa wakina Nandy, Nadia Mukami na wasanii wengine wa kike ambao mnawapa maua ya uongo na ukweli wamepigwa gap sana na Zuchu tena kubwa kuanzia uandishi, sauti...
Wanatushawishi mara oooh wayahudi hawawapendi wakrsto wachukieni.
Ukiuliza tuwachukie kwa lipi utasikia allah kasema*sasa wakrsto na allah wapi na wapi"
Mara oooh walimuua issa mwarabu wa kwenye hadith za qur'an wachukieni. Sasa wakrsto na issa mwarabu wapi na wapi?
Sisi hatumtambui issa...
https://www.instagram.com/reel/C1rIUPsi23K/?igsh=ZWI2YzEzYmMxYg%3D%3D
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara Abeid Abeid Kafunda, amemsimamisha kazi Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Mkwajuni Isabella Renatus kutokana na madai ya kutokuwa na kauli nzuri kwa Wagonjwa huku akijisifu kuwa ana...
Nimeona post za member mmoja akisakama ma binti wa kijita waziwazi kwa kujiamini kabisa anawaambia vijana usioe mjita tena anakazia kama yéyé na dada zake ni wema sana.
Wewe kama unamchukia MTU/jamii ya watu fulani wachukie tu wewe inatosha kwanini utugawie chuki zako tuwachukie watu bila...
Natumaini wote mu bukheri wa afya vijana kwa wazee wenzangu
Naja tena na ushuda wa niliyoyapitia kwenye upangaji
Mwaka 1984 mitaa ya uhuru mwanza nikapata nyumba ya kupanga kwa mzee x na mkewe.
Nami nikiwa na mama watoto classmate wangu na watoto wetu wawili nikiwa nafanya kazi ma mzee mmoja...
Natumai wote ni wazima wazee kwa vijana poleni na mvua za masika zinazoharibu miundombinu yetu. Moja kwa moja nianze kwa kusema kama dereva wa masafa marefu niliyetundika daruga 2010.
Uliza Congo uliza Malawi Zambia Uganda kenya Burundi rwanda hapo nikiwa na chuma cha msweden scania 113 pulling...
Kwanini manesi wakike hasa wa Dar es Salaam hasa wanaohusika na wazazi wana roho mbaya sana.
Manesi kwani ninyi hamjui kwamba Kuna ambao hawana uwezo wa kuwahonga pesa.
Kwani ni kosa kuzaa? Wewe nesi hapo Muhimbili mama mtu mzima mwenye curl kit jiheshimu.
Sote tunajua nchi inamadeni mengi, miradi mingi tunayojipamba nayo kwamba tumetekeleza ni madeni ya kuja kulipa baadae na kiasi kidogo cha misaada, mikopo bado inatukimbiza kwa mbali dhidi ya mapato.
Hivi ni wakati muafaka kweli wabunge kujadili sheria ya pensheni ya wenza wa Marais na mawaziri...
Mzungu anasema, "Put your money where your mouth is".
Sasa jamaa anaongea sana zaidi ya anavyofanya boxing.
Seems like kuburudisha watu na maneno yake ya ujuaji na uvaaji ndio anachokiweza zaidi kwa sasa.
Ukifika mtaa au mji wowote wadadisi jinsi wanavyowafanya wezi wadogo wadogo wa kuku, nguo, au vitu vingine.
Ukiona wenyeji wako wanaanza kujisifu kuwa wao huua wezi hiyo jamii imejaa wajinga na wapumbavu na ina watu wenye roho mbaya a.k.a wachawi.
Hakuna maendeleo kwa watu kama hao, kuwekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.