roho mbaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Kumbe bila Naibu spika Zungu "miradi" ingekuwa imekwama leo hii? Tuna watawala wenye roho mbaya sana na wabinafsi

    Yaani kama kuna mazindiko yaliwekwa mahala nchi hii yakatolewe haraka, the country is rotten to the core IMEKUWA NCHI YA KINAFIKI SANA kujifanya ni ya upendo na haki lakini deep inside ni nchi ya watu wenye roho mbaya sana wanaotawala wenzao na tabasamu la kinafiki huku wakiwaangamiza...
  2. The unpaid Seller

    Wanawake, hata kama mmetofautiana na waume zenu msiwaseme mbele za watu

    Peace be with you all, Weekend ya majuzi nilikua kiwanja flani ndani ya kitovu cha mji wa utalii Tanzania, nikiwa peke yangu katika kujipumzisha mwisho wa week. Ndani ya lounge ya hotel hii kilitokea kihoja kilichowastaajabisha wengi pale hotelini ila mimi sikushangaa maana nawajua wanamake na...
  3. Mwamuzi wa Tanzania

    Masikini, wavivu na watu wenye roho mbaya walikuwa wakifurahia hatua za Magufuli kuturudisha kwenye UJAMAA

    Habari! Watu maskini, wajinga (waliokosa elimu), na wavivu ndio makundi ya watu waliokuwa wakifurahia harakati za Magufuli kutupeleka kwenye UJAMAA. Hata. UJAMAA hauwezi kufurahiwa na watu wenye bidii na vipawa katika utafutaji. Hata Wachina wanaukacha UJAMAA na kuanza kuishi kibepari, kila...
  4. Melki Wamatukio

    Nimepata mwanamke mwenye hela. Tatizo wazazi wake wana roho mbaya

    Ni muda sasa niko naye. Ananiamini fika, na istoshe kashanijulisha michongo ya hapa na pale ambayo humuingizia kipato. Siku nyingine hunialika ofisini kwake, natulia pale asubuhi mpaka jioni. Gharama za chakula na vitu vidogo vidogo ni juu yake japokuwa huwa sipendi kutawaliwa na mwanamke...
  5. mama D

    Hivi ni ujinga, wivu au ni roho mbaya wanandoa waliotengana kuwazuia waliokua wenza wao kuwa na wenza wengine?

    Nilisikitishwa sana na hili tukio lililomkuta kaka Sindato kwa kweli! Na hii sio kwa Sindato tuu. Inatokea kwa watu wengi wanaume kwa wanawake. Unakuta watu wameshashindwana na kuamua kuachana lakini mmoja wao anapoamua kuingia kwenye mahusiano mengine inakua vita. Tena wengine wanafikia hatua...
  6. Komeo Lachuma

    Watu wana roho mbaya, hawafikishi jina langu. Tutakuja kuonana wabaya

    Watu tunapambana huku na kule, tunajikusu tunatoa kwa ari kubwa kusaidia chama na serikali yetu majina yetu hamyapeleki, nimekwazika sana. Sijaona jina langu na pesa zangu mmekula. Watu tunapambana hivi halafu inakuwa ni wale wale tu. Why? Why lakini? Naandika haya nikiwa naumia sana. Hampeleki...
  7. M

    Watanzania wasiokula bia au kilevi wana roho mbaya sana. Ukiwa nao makazini au unapoishi kuwa makini

    Wengi ni watu wasiojiamini. Wakiwa makazini ni watu wa fitina na majungu. Wanaamini sana uchawi na ushirikina. Ukiwa nao mahala unaishi nao kuwa makini. Ukiwa nao mahala unafanya nao kazi kuwa makini. Hawafai kabisa
  8. Ushimen

    Dar watu wana roho mbaya sana, nimeamua nikalale stendi kesho nirudi zangu mkoani

    Huyu jamaa ni ndugu yangu wa karibu kabisa. Yaani ni mjukuu wa shemeji yake na binamu wa mamaangu wa kambo. Ni siku ya tatu sasa tangu nifike hapa mjini, baada ya kuuza ng'ombe nikaona sio mbaya nikaosha kidogo macho na ning'arishe ngozi kwa maji ya mwambao. Sasa nilifikia kwa huyu ndugu yangu...
  9. APA CHICAGO

    Kuna watu wenye roho mbaya na roho za husuda nchi hii

    Kuna watu wanaroho za korosho,roho mbaya kwa watumishi wa Umma katika nchi hii.Hawataki kuona watumishi wa umma wanaongezewa kipato. Baada ya taarifa ya ikulu Jana kutoka ikisema mhe Rais Samiah Suluhu Hassan amekubali kufanya nyongeza ya mishahara kwa asilimia 23.3% kwa watumishi wa umma...
  10. Lord denning

    Hongera Rais Samia kwa kuliponya Taifa dhidi ya siasa za chuki na roho mbaya

    Alitumbuliwa Marehemu Mwele Malechela kwa kusimamia tu profession yake ikapelekea kutumbuliwa eti ateseke Akatumbuliwa Rawrence Mafuru kwa kusema tu serikali kujiondoa kwenye mfumo wa benki binafsi kungeweka sekta ya fedha matatani. Ingawa aliondolewa Ila maneno yake yalitimia. Kwa miaka 3...
  11. mdukuzi

    Hivi kuna kabila lenye watu wenye roho mbaya kama Wasagara?

    Hawa ndugu zetu wanapatikana wilaya za Kilosa, Morogoro na Kilolo, Iringa. Hawa ndio wale Carl Peters aliingia mkataba na chief wao jamaa fulani hivi mjanja ila alikuwa hajui kusoma, Chief Mangungo. Ukienda mgeni kwenye miji yao unaweza kufukuzia demu mwenye ngoma asitokee mtu wa kukustua hata...
  12. Azizi Mussa

    Tumsaidieni Rais Samia kufikia malengo ya pamoja; Kumvunja moyo na kumchanganya kwa unafiki na roho mbaya sio sawa

    Ndugu zangu, ili tufanikiwe kwenye jambo lolote kama taifa, ni lazima tuwe na ‘collective effort’ kuyaendea mafanikio hayo. Hata tuwe na Rais mwema na muadilifu kama Malaika, hatuwezi kuwa na taifa lenye uadilifu na mafanikio ya maana ikiwa tutafikiri kuwa yeye pekee ndio mwenye jukumu la...
  13. KAGAMEE

    Kamati ya roho mbaya Simba SC chini ya Gentamycine yachakazwa na kakamati kadogo ka roho mbaya ka Mtibwa Sugar

    Wakuu kuna mdau humu ndani anajiita GENTAMYCINE huyu amekuwa akijinasibu kwamba yeye ni mtaalamu wa figisu za aina zote,yaani kama angekuwa mwanajeshi tungesema ni kamanda wa kikosi cha SEAL (Sea,Air and Land)Namaanisha ukimsikiliza. Za ndani baada ya kuandika maandiko kibao juu ya FIGISU...
  14. A

    Kuna genge lenye roho mbaya ndani ya CCM

    Hili genge lenye roho mbaya dhidi ya Serikali ya sasa kila mtu mwenye akili timamu analijua. Wamejawa na uchu wa madaraka, rushwa na upendeleo. Ni ndumi la kuwili, wana ndimi mbili ni watu wa hatari sana. Wengine wamejificha wamekaa kimya kumbe wanawaunga mko waliojitoa mhanga kujitokeza...
  15. R

    Mawaziri Selemani Jafo na Dotto Biteko watunukiwa PhD ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

    Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla. Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote...
  16. Frumence M Kyauke

    Otile Brown awakashifu Zuchu na Mbosso

    Msanii Otile Brown amewakshifu wasanii wa lebo ya Wasafi Zuchu na Mbosso kwa kutumia mistari ya kibao chake kwenye wimbo wao mpya. Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Otile amewauliza wasanii hao wawili waache mazoea, ila hana roho mbaya. "Punguzeni mazoea basi … Hio ni melody nzima ya...
  17. Gily Gru

    Kuna watu makatili kweli kweli, achoma paka moto akiwa hai

    Nimefuga kuku sana wa kienyeji mbegu za hapa hapa nchini, mbegu ya malawi (wale weusi tiiii) na mbegu ya Kuroiler. Kwa kweli inauma sana pale kuku anapokufa mda mwingine unakosa hadi raha. Kuna kuku kishingo kila nikiingia kwenye malazi ya kuku huwa alikuwa ananifata nyuma nyuma nikstokea...
  18. GENTAMYCINE

    Je, na Yule aliyemrithisha Roho Mbaya Ole Sabaya kutokea Dar es Salaam naye atakamatwa ili afungwe miaka yake 670 lini?

    Nasikia kwa sasa Mr. Dar es Salaam hataki kabisa kutumia Mitandao ya Kijamii ( japo kuna muda) huwa anaibuka na pia anasoma mara Ujerumani mara Afrika Kusini na hata akiwa Tanzania amekuwa ni Msiri na Mtu wa Kujificha na kuhamahama kama Digidigi na hata wale Malaya wake wa Beach Kidimbwi akina...
  19. M

    Kwa Chuki zetu, Wivu wetu na Roho mbaya zetu Waswahili tutamsema sana, ila kwa sasa Tanzania hakuna Kipa bora na Mahiri kama Aishi Salum Manula

    Nampongeza sana Mshambuliaji Simon Msuva kwa Kufunga Goli zuri, tamu na la Viwango ambalo limetupa Alama Muhimu leo. Nawapongeza mno Wachezaji wote wa Kikosi cha Taifa Stars kwa Mchezo mzuri walioucheza leo na hadi kutupa Ushindi na kuna Kitu nimegundua kuwa ukitaka Taifa Stars ishinde basi...
  20. lee Vladimir cleef

    Roho mbaya za wanasiasa lawama kwa polisi.

    Hivi sasa polisi wanalaumiwa Kila sehemu, Hivi sasa polisi wanadharaulika kika sehemu, Wanaonekana kwamba kumbe hata wao huwa hawafuati Sheria kwenye ukamataji,lakini wao humtaka raia atii Sheria Bila shuruti. Imebainika kwamba hawafuati PGO kwenye ukamataji. Imebadilika kwamba kumbe hawana...
Back
Top Bottom