Kikokotoo kimeandaliwa na watumishi wa umma na kinalalamimiwa na watumishi wa umma
Bima ya watoto imeondolewa na watumishi wa umma kisa watoto wao wanatibiwa bure ila wanashindwa kufahamu kuna kufukuzwa kazi.
Mishahara inaandaliwa na watumishi wa umma na siku zote waliopo hazina ukiwasikia...
Ni jioni Sasa napanda Kitandani kupumzisha fuvu langu nikitafakari mambo yaliyotokea leo.
Mpaka muda huu nimepokea simu 3 kutoka kwa washikaji zangu tuliosoma nao chuo wanafunga ndoa simu za usumbufu ni Kila siku, jirani yangu hapa mtoto wake anapata kipaimara kesho anaomba mchango, napigiwa...
Wasalaam TZ na Dunia,
Ndugu Alexander Mnyeti aachwe afanye kazi uwaziri ni haki yake.
Nchi hii imejaa mazuzu wanaodhani mtu fulani akiwakosea wao basi hafai Kwa wengine na jamii nzima. Alexander Mnyeti ana sifa kama za Watanzania wengine wote ambao ni watenda mema na mabaya kila siku...
Hili kundi la bodaboda a.k.a Maafisa usafirishaji mostly ni watu wakatili na wenye roho mbaya.
Kijana mwenzao kapata pikipiki ya mkataba akipeleka pua tu kwenye kijiwe wanamtoza laki 2, 3, 4 au aondoke haraka kabla hawajamwitishia mwizi.
Laki 3 kijana ambaye ni jobless ndio kwanza kapata...
Ndugu zangu, kuna ukweli hapa kuwa ukiwa na roho nzuri sana, ni nadra sana kufanikiwa kimaisha?
Binafsi kwangu naona ili ufanikiwe kimaisha pale unapopata nafasi, kazi/ biashara inayokupa kipato unapaswa kuwa katili sana.
Ukatili huu ni kuwa na roho mbaya kwenye pesa, yaani siyo kila mtu...
Hiki niandikacho ni kisa cha kweli na ndicho ninachopitia.
Nikiri kwamba nimezaliwa kwenye umaskini na nimesomeshwa kwenye umaskini mpaka namaliza elimu yangu
Nilisota kidogo tu kitaa baada ya kumaliza elimu nikapata kazi sehemu nikaajiriwa, baada ya mda kutokana na Tabia yangu ya ukimya na...
Kwanza kabisa huyu mama ni mchamungu na nadhani nyie wenyewe ni mashahidi, hajawahi kuingia msikitini na camera. Mama amekuwa ni mtu wa kutoa sadaka kwa wingi hasa kwa watu wenye uhitaji na hata wale anaowapa misaada huwa hatuoni wakimulikwa na camera kama alivyokuwa anafanya mwendazake.
Suala...
Nikipitia maisha ya Hussein Jumbe, naona kama hakuwa na furaha, japo alikuwa anatumia muda mwingi katika kumbi za burudani zilizotarajiwa au zinazosemwa ni sehemu za furaha.
Moyo wake ulijaa mambo mazito, mzigo mzito, malalamiko, na kilio kwa Mungu. Alikuwa akionewa bila hatia. Hata uso wake...
Kocha Mecky Mexime alipoulizwa kuhusu mchezaji wa taifa stars luhende alikuwa anatetemeka uwanjani Kama hana confidence hivi.👇
Jibu la kocha Mecky Mexime
luhende ni mchezaji mkubwa ameshacheza mechi nyingi kubwa kwa kiwango kizuri na timu ya taifa ashaitumikia Sana sio mchezaji muoga na wote...
Wasaalam..
Aisee imepita miaka kipindi npo 1st year udsm Kuna course ya hesabu MT sijui ngapi nimesahau code tulikua tunafundishwa na mkorea mmoja
Mambo yakawa yanaenda fresh mpaka siku kesho yake tunafanya test 1, tupo kwenye pindi jamaa akamaliza akaanza kupitia notes zake kwenye projectile...
Wazee wetu punguzeni nongwa, ubinafsi na roho mbaya. Ni ukweli usiopingika kuwa wazee wetu wamekuwa ni miongoni mwa sababu mojawapo ya vijana wengi kunyimwa ajira kwa kigezo cha uzoefu. Wazee wanawasagia kunguni vijana.
Sasa kumezuka wimbi kubwa la wazee kulazimisha kupewa msaada wa hali na...
Watu kama Makala na Gondwe ambao hawajajiajiri maishani mwao miaka yote wanaishi kwa jasho la walipa kodi hawawezi kujua ugumu wa kusimamisha biashara kutoka mchangani.
Dada wa watu katega eneo zuri ambalo mmempa wenyewe, ameweka hela yake, ameitumia nguvu ku-brand biashara leo imekuwa imara...
KENYA: MANDONGA AMCHAKAZA MKENYA KWA TKO
Bondia Mtanzania Kareem Mandonga amefanikiwa kupata ushindi huo wa TKO dhidi ya Daniel Wanyonyi katika pambano la uzito wa kati ‘Super-middleweight’
Kabla ya pambano hilo, Mandonga alisema atamchakaza mpinzani wake huyo kwa ngumi ya Sugunyo ambayo...
Imesikika miito ya kuwataka vinara wake kujiuzulu.
Kuna ya uhaba wa umeme na maji. Kuna ya kuwatelekeza wahanga wa ajali na majanga mbalimbali. Kuna ya kuwatwisha wananchi mizigo ya tozo na kodi zisizo wahusu nyie.
Kuna ya kuwalazimisha wananchi kuikopesha serikali. Kuna upigaji Kila kona...
Kama mwana Simba SC ni goli ambalo limeniuma kwani amesawazisha ila kiuanamichezo na hasa nikiwa kama mdau wa soka GENTAMYCINE, nisiwe mnafiki na naomba niseme tu kuwa ni goli zuri hakuna mfano. Kwani alijiseti vyema kabisa na kunipigia 'muwa' wa maana ulioenda kule kule anakotagia mayai ndege...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.