roho

Rohō Yukio (born March 9, 1980 as Soslan Feliksovich Boradzov, Russian: Сослан Феликсович Борадзов, in Vladikavkaz, Republic of North Ossetia–Alania in the Russian Federation) is a former sumo wrestler. The highest rank he achieved was komusubi. His younger brother is also a former sumo wrestler, under the name of Hakurozan. In September 2008 both were banned from the sport for life after testing positive for cannabis.

View More On Wikipedia.org
  1. Kati ya CCM Serikali na Watanzania nani mwenye roho mbaya zaidi hasa kuhusiana na uraia pacha?

    Kumekuwa na mjadala unaoibuka na kufa kila mara. Nao si mwingine bali wa kuruhusu uraia pacha katika Tanzania. Serikali imekuwa ikipiga danadana wakati huo ikipigia chapuo uwekezaji wa watanzania waishio ughaibuni nchini. Kuna dalili kuwa serikali ina uchu na pesa ya watu hawa lakini haiwataki...
  2. Netanyahu ni roho ya mfalme Daudi

    Ujasiri na Uhodari wa Benjamin Netanyahu kwenye ulimwengu wa kivita ni copy and paste ya King David. Mfalme David alikuwa hodari na jasiri Sana linapokuwa suala LA Vita. Utawala wa mfalme David ulijaa vita miaka 40. Na ni nadra Sana David alipigwa. Kutokana ni hilo kwenye bendera ya Israel...
  3. Huwa mna-deal vipi na mpenzi mwenye roho ya Ubinafsi na Uchoyo?

    Habari.. Mpenzi niliye nae nampenda sana, ni mama kijacho Kwa sasa. Tangu nimeanza kuwa karibu nae zaidi nagundua ana vijitabia ambavyo sio vizuri Kwa upande wangu. Anaonekana ni mbinafsi sana. Ninaweza kwenda kumwona nimenunua matunda au kitu chochote ambacho tunaweza ku-share Kwa pamoja...
  4. Picha : Ukitaka kuwa tajiri uwe na roho ngumu haswa

    Watu wanapitia mengi ila inabaki kuwa siri sirini....mkiambiwa utajiri ni siri muwe mnaelewa. sawa vijana wapenda Shortcut??
  5. Ujuaji mwingi wa Waafrika kuhusu mambo ya imani ndio unafanya wao kuwa watumwa kwa watu wengine

    Mbona hatujapata sasa suluhisho la haya yote. Maana ujuzi halisia wa kitu ina maana hauwezi tena kuwa mtumwa wa kitu hicho. Unaweza kuta mtu anaandika kwa uhakika kuwa sababu ya magumu yako ni nyota yako imeharibiwa au dhambi zako lakini unashangaa kuna tajiri mmoja yupo ana dhambi zaidi yako...
  6. M

    Issue ya Diamond huko Kenya nimegundua Kenya baadhi ya watu wana roho nyeusi

    Miaka yote nimekuwa nikiwafuatilia hawa majirani zetu na sikuwahi kuona with clean heart. Jamaa wamekaa sana Chuki mioyoni na Unafiki.
  7. Na hii ndio maana halisi ya ule msemo wa kusema Mungu ni roho

    Kiuhalisia ni kwamba mara nyingi watu wamekua wakisema Mungu ni roho, namimi nakubaliana na hii kauli ya kwamba ni kweli Mungu ni roho, lakini tujiulize kidogo je, Mungu ni roho kwa namna gani? Kwa maana maandiko husema ya kwamba sisi tuliumbwa kwa mfano wake. Kwahiyo kama sisi tumeumbwa kwa...
  8. Kwa hio unataka kuniambia ni roho chafu na dhambi zangu ndio chanzo cha majanga yangu huku anaenihubiria amenunua gari kali kwa kutumia sadaka zangu!

    Kwamba yeye ndie mwenye neema kuu ya Mungu basi kwa hio yeye na utajiri ni pua na mdomo. Mimi naendeleea kuwa hivyo kwa maana imani yangu ni haba, sijui kuomba vizuri, sijui kuvumilia , nasali kwa kulalamika Ebu tuwe serious bana, nyie wote ni wasela ila yeye kawa mjanja zaidi yako. Kila siku...
  9. K

    Watu tungekunjuliana roho

    WATU TUNGEKUNJULIANA ROHO, TUKASAIDIANA, TUKAUCHUKIA UNAFIKI, UCHAWA NA UBINAFSI, KUSINGEKUWA NA MATATIZO. LAKINI ROHO MBAYA NI KIKWAZO. Nilisikika huko ndotoni nikiwa nakoroma kama simba aliyekamata windo... nikaaza: "Ni lazima tuseme. Tusiposema, Taifa litaendelea kuhujumiwa." Balozi Dkt...
  10. S

    Pre GE2025 Roho, damu na manung'uniko ya watu, vitajibiwa kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025

    Watanzania hawaandamani lakini wanamlilia mwenye mamlaka mbinguni na duniani awaadhibu wale wote wanaogiza, kubariki na kutekeleza mauji ya watu wasio na hatia pamoja na ukatili mwingine wowote unaomwaga damu za watu. Binafsi, naamini kwakuwa wanayafanya haya hasa wakilenga uchaguzi mkuu wa...
  11. Seba aliyeandika meseji kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho kwenye ghorofa ya Kariakoo lililoanguka, akutwa amefariki

    Kijana Seba aliyeandika message kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho siku mbili zilizopita. Mwili wake umeopolewa mda huu ukiwa tayari umeshaanza kuaribika kwenye jengo la Kariakoo.. Tayari mwili wake umepelekwa kwenye hospitali ya Amana kwa kwa taratibu nyingine za kuhustili..Roho...
  12. K

    Nimejikuta nachukia kula chakula chochote chenye asili ya Roho, naona kama nafanya ukatili

    Habari wakuu, Katika Maisha yangu yote hakuna chakula ambacho Sili Ila kuanzia mwezi huu nimeona maajabu Nimejikuta siwezi kula chochote chenye asili ya Roho naona kama nadhurumu nafsi ya viumbe yaani nakula kiumbe ambe ameuawa naona kinyaaa Sana kula nyama ya Kuku naona kama namuonea Kuku...
  13. B

    Mtu akiwa anakaribia kukata roho huwa anaona aibu kuangalia usoni watu wanaokuwa karibu yake

    Kuna wale waliobahatika kushuhudia siku za mwisho za wapendwa wao wakiwa hospitali kuna Ile aibu wanaipata dakika za mwisho wakitaka kukata roho🥺nilipata kuishuhudia Sema nini wakuu Tuombe mwisho mwema Binafsi hio kitu imeniathiri sana kisaikolojia sana nilipata kumpa chakula marehemu masaa...
  14. Hakuna watu wenye roho mbaya kama watu kutoka Asia

    Japokuwa watu Usema kuwa wanzungu wana roho mbayaa za ubaguzi hasa kwa watu weusi huu ni uongo kabisa kwasisi ambao tunaishi katika nchi za wazungu tunaona tabia za mataifa mbali mbali. Ukweli ni kwamba hakuna watu wabaguzi na wenye roho mbaya kama watu kutoka bara la Asia. Hawa watu wana roho...
  15. Ni hali gani ulikutana nayo ukakubali kwamba kuna watu wana roho mbaya extra?

    Tupe ushuhuda wako
  16. T

    Mwanamke anayetelekeza watoto mapacha wa miaka miwili anawaza nini?

    Dah! Kuna watu wana roho ngumu, basi tu. Hivi, kweli, mwanamke anaejitambua, anawaza nini anapoamua kutelekeza vipacha vya miaka miwili na nusu? Baba ndo awe mlezi, awe mtafutaji, mama akale bata na wanaume kusikojulikana! Japo na wanaume hawako sawa(badhi),ila pia wanawake na wenyewe kuna...
  17. Wayahudi wangekuwa na roho mbaya na itikadi za kitapeli tapeli huo msikiti wa Al-Aqsa ungekuwa ushaharibia muda mrefu

    Wayahudi wenyewe wanaamini hapo ulipojengwa msikiti wa al aqsa ndipo solomon alipojenga hekalu la kuabudu. Ndio maana wamejitengea kasehemu kao maeneo hayo ambapo wanafanya ibada na hija. Sasa niambie kama ingekuwa ni wale ndugu zetu wengine unafikiri hekalu wangeliacha hivi hivi...
  18. M

    Roho inaniuma WIRE TURN haifanyi kazi tena

    Yani roho inaniuma sana tangu wiki iliyopita napata shida ya kuingia mtandaoni bure dah! Nilikuwa nimeshazoea mseleleko japo internet yenyewe ilikuwa mwendo wa Kobe lkn ilinisevu sana kuingia bure YouTube, JF na Instagram tangu 2021.
  19. Kuna watu wakiona hii picha basi roho zinawauma sana. Na bado sana.

    Endeleeni kujitoa mhanga na itikadi zenu za kitapeli.
  20. Mwendo wa kahawa na vitabu tu. Kweli pesa ni sabuni ya roho aisee!

    Nakaribisha makasirko aisee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…