Cristiano Ronaldo ameomba kuondoka ndani ya Manchester United ikiwa ni msimu mmoja tu tangu arejee kikosini hapo, ambapo inadaiwa lengo lake ni kuendelea kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo mashabiki wamesema ‘muacheni aende’.
United haijafuzu katika ligi hiyo badala yake itashiriki katika...
Mmiliki mpya wa Klabu ya Chelsea, Todd Boehly amekutana na Jorge Mendes ambaye ni wakala wa Cristiano Ronaldo ikidaiwa wamezungumza kuhusu usajili wa mshambuliaji huyo raia wa Ureno.
Inaelezwa wawili hao walikutana wiki iliyopita. Mkataba wa Ronaldo ndani ya United umesaliwa na miezi 12 na...
Cristiano Ronaldo anafikiria kuondoa Manchester United ikiwa timu hiyo haitafanya usajili wa kueleweka katika dirisha hili la sasa.
Ronaldo ambaye alirejea klabuni hapo mwaka jana baada ya kuondoka miaka 13 iliyopita kwenda Real Madrid, yupo tayari kubaki lakini ni kama usajili utakuwa mzuri...
Kesi ya kudaiwa kumbaka Kathryn Mayorga iliyokuwa ikimkabili Cristiano Ronaldo Nchini Marekani imefutwa na Jaji Jennifer Dorsey aliyekuwa akiiendesha.
Kathryn alidai nyota huyo wa Manchester United alifanya tukio hilo walipokuwa hotelini Las Vegas, Marekani mwaka 2009. Ronaldo alikana na kusema...
Messi Vs Timu za Ulaya
Ronaldo Vs Timu za Amerika Kusini
Kumbuka:
Kwa mara ya kwanza katika maisha yake ya soka, Messi amefunga mabao matano katika mechi yake ya kwanza dhidi ya nchi ya Ulaya chini ya 100 katika viwango vya FIFA. Messi hajawahi kucheza dhidi ya nchi ya Ulaya chini ya 100 katika...
Staa wa Manchester United, Cristiano Ronaldo ametangaza kufiwa na mtoto wake wa kiume jioni ya leo Jumatatu Aprili 18, 2022.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Ronaldo amesema mtoto huyo wa kiume bila kufafanua ni yupi amefariki licha ya juhudi kubwa za madaktari katika kuokoa uhai wake...
Polisi wa Merseyside wamethibitisha kuwa wanafuatilia taarifa ya tukio ambalo Cristiano Ronaldo wa Manchester United anatuhumiwa kwa kuikwapua simu ya shabiki wa Everton na kuivunja.
Tukio hilo inadaiwa lilitokea jana Aprili 9, 2022 baada ya Man United kufungwa bao 1-0 na Everton kwenye Uwanja...
Manchester United inatarajiwa kumkosa mshambuliaji wake mkongwe, Cristiano Ronaldo katika mchezo dhidi ya Manchester City, leo Jumapili Machi 6, 2022 kutokana na kuwa majeruhi.
Hizo ni taarifa mbaya kwa United kwa kuwa mchezo huo ni muhimu kwao dhidi ya City ambayo inaonekana kuwa vizuri kuliko...
Baadhi ya mshabiki wa soka wamemponda na kumdhihaki Cristiano Ronaldo mara baada ya kukosa penati na kushuhudi timu yake ya Manchester United ikiondolewa katika Kombe la FA dhidi ya Middlesbrough.
Ronaldo, 36, alikuwa na nafasi ya kuanza kufunga katika dakika za mwanzo kwa penati baada ya Paul...
Takwimu: Mechi 1,097, mabao 801.
Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza katika historia kufunga mabao 800 ya kiwango cha juu katika maisha yake ya soka alipoifungia Manchester United mabao mawili katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Arsenal siku ya Alhamisi.
Ilikuwa ni jibu la kawaida la...
THE MOTHER OF COINCIDENCEs! 🤯
Cristiano Ronaldo & Didier Drogba are The Oldest Players Ever to Both - Score & Assist a Goal in a Single Premier League Game
— Both of them were Exactly The Same Age, when they achieved the feat - At 36 years and 267 days old. 😳
— Both of them achieved this feat...
Sio kwamba Samatta hatoi mchango kwa taifa lakini mchango wake hautoshi kabisa. Kule Ulaya anaitwa Samagoal lakini Taifa stars anaitwa Samaassist. Hiki ndicho watu wasichokitaka. Mafanikio ya Ronaldo na Messi ni pamoja na kupachika magoli kwenye mataifa Yao na kuamua matokeo.
Tumuombee Samatta...
Baada ya Ronaldo kutangazwa leo kuwa ameshinda tuzo ya mchezaji bora Septemba, kumeibuka minong'ono kuwa tuzo hiyo alistahili kutwaa Mohamed Salah wa Liverpool!
Hata mchambuzi maarufu wa BBC Match of the day, Gary Lineker amekiri kuwa Salah alitakiwa ndio awe mshindi.
Je wewe mchambuzi wa JF...
Nilishtushwa sana na tetesi zilizokjwa zinsema ronaldo to the citizen
Nikajisemea na vitimu vyetu hivi vibovu tutalia na kusaga meno
Mungu sio Ambagile cr7 huyo utd anateseka tu
timu hovyo kocha hovyo
kila mechi wanaruhusu mabao
wapo wazi nyuma wanaruhusu tu
Angeenda Man city timu za hovyo...
Karibuni Sana Marafiki zangu Damdam!!
Kama hukubarikiwa kipaji huna option nyingine zaidi ya kuwa na bidii.
Ukizaliwa na kipaji, its God given, huna option nyingine zaidi ya kutumikia hiko kipaji.
Hutumii nguvu, yani effortlessly. Hutoki jasho kbs.
Mwangalie Messi, mwangalie Kiba...
💰 £187m in shirt sales
👕 Fastest selling shirt in Premier League history
🙌 Almost twice as many ‘Ronaldo 7’ shirts bought than ‘Messi 30’ shirts
🤑 Man Utd recouped entire transfer fee before Ronaldo's kicked a ball
Nobody sells shirts quite like Cristiano Ronaldo
Jezi namba 7 pale katika viunga vya Old Traford Manchester United huwa inajulikana ni ya nani 😇 Ronaldo na tayari kachukua namba yake huenda Cavan akavaa jezi namba 21 ambayo anaitumia timu taifa na kwenye vilabu vingine alivyochezea.
Mwanzo jezi namba 21 pale Man United alikuwa akiitumia...
Manchester United is delighted to confirm that the club has reached agreement with Juventus for the transfer of Cristiano Ronaldo, subject to agreement of personal terms, visa and medical.
Cristiano, a five-time Ballon d’Or winner, has so far won over 30 major trophies during his career...
Willis Austine Chimano, Bien Aime Baraza, Delvin Savara Mudigi na Polycarp Otieno ni wanamuziki kutoka nchini Kenya wanaounda kundi la Sauti Sol. Katika moja ya wimbo wao bora unaowavutia wasikilizaji wengi zaidi ni ule wa NEREA wa mwaka 2015 ambao waliwashirikisha Amos na Josh.
Ndani ya wimbo...
Mpenzi wa zamani wa Cristiano Ronaldo, Irina Shayk aliwaambia wafuasi wake wa Instagram wam-unfollow kama walimfollow sababu ya Cristiano Ronaldo baada ya kuachana unajua kilichotokea?
Alipoteza wafuasi millioni 11 ndani ya saa 24 pekee. How powerful RONALDO HE IS
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.