Rejea kichwa cha habar hapo juu:
′′ Tuliishi vizuri sana, lakini alikuwa na tabia hii ya kuniuliza mbona tunafatana na mama yako kila mahali tunapoenda? Lazima uchague kati yangu na Mama yako".
Nilimjibu kuwa siwezi kumuacha mama yangu sababu ya mwanamke mwingine. Na kamwe sitajutia kuachana...
▪️Cristiano Ronaldo is 869 days older than Lionel Messi
▪️ Cristiano Ronaldo Jr is 869 days older than Thiago Messi
▪️Cristiano Ronaldo’ second son is named Mateo
▪️Lionel Messi’s second son is named Mateo
▪️Cristiano Ronaldo won his first international trophy on July 10
▪️Lionel Messi won his...
Wakuu salaam,
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Euro wametoa kikosi bora cha Mashindano lakini Goal Machine Mr CR7 hajatokea ilihali yeye ndiye katunukiwa ufungaji bora.
Inawezekanaje hii.
Hii ni hujumaaa.
Euro irudiwe irudiwe irudiwe
Tazama kikosi bora cha mashindano katika picha...
Ronaldo amecheza mechi 4 dhidi ya Ujerumani. Mara zote hizo hajawahi kufunga goli! Je leo atauvunja mwiko huo na kuzifumania nyavu? Ngoja tuone, yetu macho!
MESSISTATS ALL TIME INTERNATIONALS ALL TIME
73GOALS
43ASSISTS
146APPS
165 mins per goal
104 mins per goal contribution
RONALDOSTATS ALL TIME INTERNATIONALS ALL TIME
106GOALS
30ASSISTS
176APPS
132 mins per goal
103 mins per goal contribution
Maoni ya Pep Guardiola juu ya Cristiano Ronaldo kushinda taji la EPL, La Liga na serie A:
"Hakuna cha kushangaza juu ya hilo, Danilo alishinda EPL na sisi (Manchester), Kashinda la liga na Madrid na akashinda Serie A na Juventus .... ikiwa unachukua mchezaji kutoka ligi ya chini zaidi duniani...
Wakati Dunia ikiwa katika uso wa tabasamu baada ya janga la Corona kupungua ni wakati wa kusema asante sana Mungu. Nyakati ambazo tulipoteza baadhi ya watu muhimu sana katika maisha yetu, ila yote kwa yote ni mipango yake na lazima itimie
Katika kisiwa cha Madeila moja kati ya maeneo yenye...
LONDON, ENGLAND
SUPASTAA, Cristiano Ronaldo amempiku staa mwenzake, Lionel Messi kwenye mchakato wa wanasoka waliovuna pesa nyingi zaidi kwa mwaka 2020 kama inavyofichua orodha mpya ya jarida la Forbes.
Mjumuiko wa mishahara yake pamoja na pesa nyingine anavuna kupitia soka lake la uwanjani...
Hili swala la wachezaji wa kigeni linaonekana kama zima moto lakini siyo mwarobaini wa Soka letu.
Hata tukiwa na mmoja wa kigeni soka letu bado lipo hapa hapa, tatizo letu kubwa ni ukuzaji wa vipaji tulivyonavyo. Kama tukiweza kusimamia hilo hata hao wa nje hakuna atakaosumbuka nao.
Cha muhimu...
Leo ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya Mshambuliaji wa club ya Juventus Cristiano Ronaldo ambaye ametimiza miaka 35.
Mshambuliaji huyu ni miongoni wa wanasoka mahiri walio na wafuasi wengi zaidi ambao wengine wanadai kuwa ndio mchezaji bora wa muda wote kwao.
Katika miaka 18 ya uchezaji wake...
Mahakama moja ya Korea Kusini imeambia mwandalizi wa mechi kuwalipa fidia mashabiki wawili baada ya Cristiano Ronaldo kutocheza katika mechi ya kirafiki ya Juventus kama ilivyotangazwa.
Mashabiki waliambiwa kwamba mchezaji huyo wa Portugal atacheza dakika zisizozidi 45 dhidi ya ligi ya K...
Cristiano Ronaldo added to his highlight reel with a leap out of the NBA playbook and a stunning header that helped Juventus sink Sampdoria.
Cristiano Ronaldo amefunga bao la aina yake baada ya kuruka kwa umbali wa mita 2.6 kwenda juu katika mchezo ambao Juventus ilishinda mabao 2-1 dhidi ya...
Kuna Ronaldo watatu maarufu sana ktk historia ya soka ambao wamesha wahi kushinda tuzo za Ballon d'Or .
Wawili wanafahamika zaidi kwa jina la Ronaldo mmoja akiitwa Ronaldo de lima na mwingine ni Cristiano Ronaldo.
Huyu wa tatu anafahamika zaidi kama Ronaldinho Gaucho. Ingawa wengi hawajui au...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.