Imebainika Cristiano Ronaldo kupitia wakala wake, Jorge Mendes wamehusishwa kufanya mazungumzo na Bayern Munich ikiwa ni moja ya mipango ya kuhamia upande huo kama ataondoka Manchester United.
Hakuna tamko rasmi kutoka pande zote lakini Julai 2022, Mtendaji Mkuu wa Bayern Munich, Oliver Khan...
Cristiano Ronaldo ameishutumu Manchester United kuwa imemsaliti na kudai kuwa hana heshima kwa kocha wake, Erik ten Hag kwa kuwa yeye (kocha) hajaonesha heshima kwake (Ronaldo).
Amedai kuwa Ten Hag na watu wengine watatu ndan ya Manchester United walikuwa wakitengeneza mazingira ya kutaka...
Jana 20 October 2022 ilichezeka mechi kati ya Manchester United na Tottenham Spurs, mechi za Ligi Kuu ya Uingereza EPL na mechi ikaisha kwa ushindi kwa Manchester United iliondoka na ushindi wa goli 2 kwa 0 ndani ya dimba la Old Trafford.
Tukio lililovuma zaidi la Cr7 timu yake ilishinda mchezo...
Ni wakati wa huyu jamaa kujifikiria zaidi ama andoke United au astaafu, maana hayupo kwenye mipango ya Ten Hag.
Kila wakati ni mtu wa kuondoka uwanjani na kwa bahati mbaya timu imeaanza kufanya vizuri hata bila ya uwepo wake.
----------------
Kocha kumchukulia hatua Ronaldo baada ya kuondoka...
Huyu gwiji mkongwe katika mpira ameshachoka sasa. Wakati ni ukuta, anatakiwa kujiongeza na kutunza heshima yake.
Wenzake wakifikisha miaka ya pensheni huwa wanakwenda Marekani au Uarabuni kula hela pasipo kamera nyingi na matarajio makubwa ya mashabiki.
Hakika mpira wa miguu itaukumbuka uwezo...
Wakati Kombe la Dunia likibakiza miezi miwili kuanza, tayari inaonekana nyota wa Ureno na Manchester United Cristiano Ronaldo ataingia kwenye michuano hiyo akiwa mchezaji mwenye nguvu zaidi duniani kwa kuzingatia ushawishi wake kwenye mitandao ya kijamii.
Ronaldo amewapiku mastaa wengine kama...
Baada ya Cristiano Ronaldo kuiambia klabu yake ya Manchester United kuwa anataka kuondoka klabuni hapo inadaiwa kuwa wachezaji wa timu hiyo walifurahia tamko hilo.
Sababu ya hali hiyo ni kuwa wachezaji wanaamini Ronaldo (37) amepoteza nguvu ya ushawishi kikosini na wanahisi amekuwa mzigo zaidi...
Nahodha wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney amemshauri kocha wa timu hiyo, Erik ten Hag kutompanga Cristiano Ronaldo katika mchezo dhidi ya Liverpool.
Tim hizo zinatarajiwa kukutana katika kipute cha Premier League, kesho Agosti 22, 2022.
Rooney anaamini United inahitaji wachezaji...
Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag inadaiwa kuwa amebadili mawazo yake na anataka Cristiano Ronaldo aondoke klabuni hapo baada ya awali kunukuliwa akisema kuwa Mreno huyo yupo kwenye mipango yake
Taarifa za ndani ya klabu hiyo zinaeleza kuwa imekuwa ngumu kwa Ten Hag kufanya kazi na...
Mshindi wa tuzo ya Ballon d'Or kwa mwaka 2021, Lionel Messi hajatajwa kwenye orodha ya Wachezaji 30 wanaowania tuzo hiyo kwa mwaka huu
Tangu mwaka 2005, Messi amekuwa akitajwa kwenye orodha ya Wachezaji 30 wanaowania tuzo hiyo, akiwa ameshinda tuzo hiyo mara saba katika kipindi hicho
Mpinzani...
Manchester United imeanza vibaya msimu mpya wa Premier League 2022/23 baada ya kufungwa magoli 2-1 katika mchezo dhidi ya Brighton kwenye Uwanja wa Old Trafford, leo Agosti 7, 2022.
Mchezo huo ni wa kwanza wa kiushindani kwa Kocha Erik ten Hag tangu aanze kuifundisha #ManUtd, ambapo pia...
Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag amemjia juu Cristiano Ronaldo kwa kitendo cha kuondoka uwanjani wakati mchezo dhidi ya Rayo Vallecano ikiendelea, Jumapili iliyopita Julai 31, 2022
“Sikubaliani na kitendo alichofanya, hii ni kwa mtu yeyote, sisi ni timu na unatakiwa kukaa hadi mwisho,”...
mwanzoni mwa mwezi wa saba chelsea walionesha nia ya kumsajili baadae kocha akatangaza hawana mpango na ronaldo , bayern munich nao wakatangaza hawana ela za kumlipa ela ronaldo japo tayari ana miaka 37 , rais wa athletic madrid nae akatangaza kuwa athletic hawana mpango wa ronaldo . man united...
Cristiano Ronaldo amerejea Jijini Manchester na alitarajiwa kuwa na mazungumzo na Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag kuhusu hatma yake.
Mreno huyo ambaye amekosa wiki tatu za kwanza za maandalizi ya msimu ya timu kutokana na sababu za kifamilia ilielezwa kuwa aliiambia klabu yake kuwa...
Imeripotiwa kuwa Cristiano Ronaldo, 37, anamshawishi Kocha Diego Simeone ili amsajili kwa ajili ya kuichezea Atletico Madrid msimu ujao.
Ronaldo anataka kuondoka Manchester United ilia pate nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya, tayari timu za Chelsea na Bayern Munich zilizotajwa kumuwania...
Chelsea imesitisha mpango wa kumsajili Cristiano Ronaldo baada ya kuelezwa kuwa kocha wa timu hiyo, Thomas Tuchel kumwambia mmiliki wa klabu, Todd Boehly hamuhitaji Mreno huyo.
Inadaiwa Chelsea ilikuwa mbioni kumsajili mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 37 wa Manchester United lakini kwa...
Cristiano Ronaldo hatakuwa sehemu ya wachezaji wa kikosi cha Manchester United kinachotarajiwa kusafiri leo Julai 8, 2022 kuelekea Bangkok kwa ajili ya mechi za maandalizi ya msimu mpya, kutokana na kuongezewa muda wa kushughulikia masuala yake ya kifamilia.
Pamoja na hivyo bado haijulikana...
Cristiano Ronaldo ameshindwa kuripoti katika mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya katika timu yake ya Manchester United ikitajwa kuwa ana matatizo ya kifamilia
Ratiba ilimtaka Ronaldo kurejea leo Jumatatu Julai 4, 2022 kuanza mazoezi chini ya Kocha Erik ten Hag lakini haitawezekana kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.