MICHEZO: Kampuni inayojihusisha na michezo ya mieleka duniani maarufu kama "WWE" World Wrestling Entertainment ina mpango wa kuandaa pambano kati ya nyota wa klabu ya Al Nassr Cristiano Ronaldo dhidi ya nguli wa mchezo huo wa mieleka John Cena kama sehemu ya uzinduzi wa mashindano ya mieleka...
Cristiano Ronaldo alifunga hat-trick wakati timu yake ya Al-Nassr ikipata ushindi wao wa kwanza wa Saudi Pro League msimu huu kwa kuwafunga Al Fateh 5-0 Ijumaa hii usiku.
Mbali na RonaLdo, mshambuliaji wa zamani wa Bayern Munich, Sadio Mane alianza kuifungia Al-Nassr dakika ya 28 na Ronaldo...
Mshindi wa tuzo za Ballon D’or mara 5, Cristiano Ronaldo amekaririwa akisema Ligi Kuu ya Saudi ni bora kuliko ile ya Marekani (MLS).
“Nina uhakika 100% sitarudi tena kuchezea klabu yoyote ya Ulaya kwani nina furaha huku.
Mimi nilifungua njia ya kuja huku, na sasa wachezaji wengi wanakuja...
Mpaka mkichana na Kusajili Virusi wa Simba na Yanga huku pia mkiwa na Viongozi Waandamizi wenye Uyanga na Usimba mwingi.
Ninawashangaa mno mnavyosajili.
Aliyepata kuwa kocha wa Ronaldo pale Real Madrid na gwiji wa klabu hiyo, Zinedine Zidane amesema Ronaldo ni mchezaji mzuri sana na ni mmoja ya wachezaji bora kuwahi kutokea lakini hayupo katika level za Lionel Messi.
Zidane akaongeza, Ronaldo hayupo kwenye level za Messi kwa kuwa Messi ni...
Lionel Messi amefunga goli moja wakati timu yake ya Paris St-Germain ikitangaza ubingwa wa Ligi Kuu ya Ufaransa ‘Ligue 1’ licha ya sare ya 1-1 dhidi ya Strasbourg.
Goli alilofunga Messi limemfanya kuwa machezaji anayeongoza kwa kufunga magoli mengi katika Ligi tano kubwa Ulaya, kwa kufikisha...
Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam.
Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)?
Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba...
Tatizo ni kwamba watu warefu kwa kawaida hawakai kwenye form kwa muda mrefu , lakini pia Halaand anatumia mguu mmoja tu wa kushoto wakati R7 mashine inakubali kote kote. Halaand ni mrefu zaidi ya Ronaldo. Nafahamu exceptions huwa zinatokea. Naziachia namba hapa zizungumze!!
Domestic Tournaments...
Wafatiliaji wa soka wanafahamu ule utatu ambao haujawai tokea mpaka leo pale Galacticos mpaka leo. Ilikuwa huku Ronaldo de Lima, kule kuna Luis Figo alafu kuna kipara mwenyewe Zinadine Zidane. Ilikuwa ni kama climax ya soka hapa ulimwenguni. Ilikuwa huwezi muona Beckham wala Roberto Carlos. Real...
Mwanzoni Ronaldo alipojiunga na timu ya Al-Nassr huko Saudi Arabia niliona future kubwa kwake na kwa timu yake kwani aliingia na impact kubwa sana kwa timu hiyo. Alitupia mabao almost kwenye kila mechi na kuifanya timu yake kuendelea ku-shine pale kileleni kwenye msimamo wa ligi yao. 😂😂Hata...
Wakuu za sahizi,
Nadhani mnakumbuka lile tukio lililofanyika 2021, la mchezaji cr7 alivyokuwa akihojiwa na akasogeza chupa 2 za coca akasema tutumie maji
Basi asee juzi kati hapa nimepitia baadhi ya threads humu nikakuta watu wanasema bidhaa za mo extra ya kuwa zina athiri maini
Na jinsi...
Mshambuliaji wa klabu ya Al Nassr na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo amefikisha wafuasi (followers) Milioni 550+ kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.
Ronaldo ndiyo binadamu wa kwanza kuwa na wafuasi wengi zaidi katika mtandao huo wa Instagram Duniani
Cristiano Ronaldo moja ya wachezaji bora Duniani ameanza kutimiza Ahadi yake ambayo aliisema Mwaka 2022 mwez wa 4 baada ya kufunga Hat trik ya 60 ambapo ali tweet katika mtandao wa Twitter na kuandika
"30 Hat-Tricks before 30 and 30 Hat-Tricks after 30.It's time to...
Naweka tu tahadhali, alipaswa azisome alama za nyakati. Muda unaenda atadharaulika atajikuta siku moja anakuja sajiliwa Simba na bado anawekwa bench.
Umri unakataa; moyo unataka lakini mwili unakataa. Amekuwa mchezaji bora kwa miaka mingi. Amevuna pesa nyingi sana kutokana na uchezaji. Sasa...
Kwenye mechi ya kirafiki kati ya PSG na wachezaji wa Al Nassr & Al Hilal Messi na Ronaldo wameonyesha ni namna gani mgawano wao wa ushabiki upo kwa ajili ya kutengeneza pesa na sio uadui. Kama Ronaldo kaanza vizuri namna hii basi ligi ya uarabuni itakuwa moto na kawaaminisha waarabu kuwa mzigo...
Cristiano Ronaldo, familia yake pamoja na wapambe wake wataishi kwenye hoteli moja balaa sana nchini Saudi Arabia ambapo watamiliki jumla ya vyumba 17 na watakuwa wakizilipia jumla ya dola za kimarekani 300,000 kwa mwezi sawa na zaidi ya shilingi milioni 650 za kitanzania kwa mwezi.
Sasa jamaa...
Katika kile kinachoonekana anataka ‘kutikisa kiberiti’ japo haijajulikana kama alikuwa anamaanisha au anatania, Kocha huyo wa Al-Nassr, Rudi Garcia ametoa kauli hiyo mbele ya waandishi wa habari wakati alipoulizwa juu ya ujio wa Cristiano Ronaldo kikosini hapo.
Amesema “Nilitaka kumsajili...
Umri wake ni miaka 37 mwakani mwezi wa 2 tarehe 5 atakuwa na miaka 38.
Amesaini mkataba wa kufuru utakaomfanya kulipwa pesa nyingi kuliko mchezaji yoyote duniani!
Bondia bora wa muda wote katika madaraja yote ya ngumi (Pound for pound),Floyd Mayweather aliwahi kusema "If it makes dollars it makes sense" kauli hii aliitoa baada ya watu kumshutumu kwamba amefulia kwa kitendo cha yeye kucheza exhibition fights na kuacha kupigana na real boxers wanaotrend kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.