Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, amesema Serikali ya Mkoa itaendelea kuhakikisha changamoto zinazowakabili wazee zinapatiwa ufumbuzi, hususan katika upatikanaji wa huduma za afya.
Amesisitiza watendaji kuwafuatilia wazee kwa karibu na kujiridhisha kuwa wanapata huduma za...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amewataka wazee wa mkoa huo kuhamasisha jamii kujitokeza kupiga kura Oktoba 29, 2025, na kuhakikisha vijana wanalinda amani ya nchi.
Amesema wazee wanayo nafasi kubwa katika kuchagua viongozi watakaoleta maendeleo, akibainisha kuwa Dodoma ya sasa...
Huyu ni mwanamke wa shoka.
Dodoma ni mkoa wenye harakati nyingi sana za kisiasa na kiserikali. Lakini huyu mama kazimudu bila kuwa na kashfa yoyote ole wala mikwaruzano.
Nadhani anastahili kuwa mahali pa juu zaidi ya hapo sasa.
N. B: huwa sichoki kumuangalia sura yake