Sijui viongozi wetu wanawaza nini lakini kwa kifupi ama wamepotoka au wanapotoshwa. Filamu ya aina ya Royal Tour si ya kwanza kuandaliwa duniani, ndugu zetu wa Rwanda walikwisha iandaa na imekwisha tazamwa sana. Sasa sijui kama viongozi wetu walikwisha fanya research ndogo tu kuona...
Nimebahatika kuangalia filamu ya Royal Tour.
Mimi binafsi haijanivutia, na hata watoto wangu wamesema hawajaona jambo jipya.
Filamu imeonyesha mlima Kilimanjaro, Zanzibar, Ngorongoro, Serengeti, na hifadhi ya pembe za ndovu / nyara za taifa.
Sasa maeneo hayo yameshaonyeshwa katika filamu...
Wanajamvi,
Nimeona niseme hili bila kuwa “bias”. Kwa maslahi ya Taifa letu na wananchi wake kwa ujumla.
Kwasababu sitaki kuwa “negative” kuhusiana na jitihada za serikali hii ya “awamu ya sita”, ningependa kuweka wazi hii “disclaimer”
Kwamba nakubaliana na jitihada za kutangaza Taifa letu...
Imani yangu inanituma kwamba, wazo la kuja na kutengeneza Royal Tour Tanzania, nimechochewa zaidi na Tanzania kuwa na Rais Mwanamke.
Licha tu ya kuwa na Rais mwanamke ambaye kwa nchi za magharibi ni kitu ambacho wanavutiwa nacho zaidi, lakini pia aina ya siasa anayofanya Rais Samia...
Baada ya kuiona trailer ya documentary ya Royal Tour na kufahamishwa kuwa ipo Amazon, niliamua na mie ngoja nilipie kuiangalia. Ajabu ni kwamba nilipotaka kulipia nilipata ujumbe kwamba kwa kuwa credit card yangu sio ya USA basi siruhusiwi kuilipia.
Hivi huu ubaguzi hadi kwenye credit card?
Nimeshtushwa na maneno ya dharau ya huyu director wa filamu inayotangaza utalii nchini Tanzania ya Royal Tour kwa rais wetu Bibi Samia Suluhu Hassan.
Amemshauri mh.Rais aache urais awe muigizija, kwani amevutiwa na uigizaji wake.
Vile vile anamuita mtukufu rais kwa jina lake ''Samia", baada ya...
Mjadala ulijitokeza miaka iliyopita kuhusu pesa za Escrow zilikuwa za umma au siyo za umma. Waliokuwa wanasema si za umma kimsingi walikuwa wanatetea upigaji wake na serikali isiingilie.
Waliokuwa wanasema ni za umma walikuwa wanatetea maslahi ya umma ikizingatiwa kuwa zilikuwa zinahifadhiwa...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, maana kila ninavyofungua kucheki Royal Tour naona yuko kwenye vyombo vya habari akihojiwa na kujibu
Kuna sehemu sioni kama ni heshima sana kwa Rais kuhojiwa kila mara tena nje ya nchi hali ana crew kubwa tu ambayo anaweza kuitumia kufanya yote hayo.
Au...
Wachaambuzi mbalimbali wa kutoka club house na diaspora kibao wamedai kuwa hizi propaganda zinazopigwa kuhusu royal tour ni za kuijaribu tu kuipamba serikali na mama kiujumla lakini ukweli ni kuwa.
1. Royal tour ni Mali ya huyo Peter aliyetengeneza na haki miliki ya Tanzania royal tour...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Ronald Fenty ambaye ni Baba wa Msanii Maarufu Robyn Rihanna Fenty alipofika katika Ukumbi wa Paramount Pictures kwa ajili ya kuangalia Filamu ya Tanzania Royal Tour, leo Aprili 22, 2022.
Filamu hiyo...
Wakosoaji wanasema zimetumika zaidi ya shilingi bilioni tano katika kuiandaa Royal Tour huko mbugani.
Yameongewa mengi, mengine ni mbwembwe tu kama ile habari ya Samia kuendesha gari kwa mara ya kwanza baada ya miaka 15 siku alipomuendesha yule mzee wa kizungu kule mbugani.
Mengine ni habari...
Iko hivi,
Sote tunafahamu, Filamu ya Royal Tour ni mali ya Watanzania kwa 100%
Tanzania imeigharamia filamu hii tangu kurekodiwa kwake mpaka kuzinduliwa kwake huko Marekani.
Inakadiriwa mpaka kukamilika kwa uzinduzi wa filamu hii imetumia zaidi ya TZS 7.2BL fedha toka kwa wadau wa maendeleo...
DONDOO MUHIMU 10 KUELEKEA UZINDUZI WA FILAMU YA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA YA ROYAL TOUR USIKU HUU.
Na Bwanku M Bwanku.
Usiku wa Leo Jumatatu Aprili 18, 2022 kuanzia Majira ya Saa 8 na nusu Usiku kwa Saa za Afrika Mashariki, Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan itaweka historia kubwa...
daniel chongolo
dkt philip mpango
dondoo
filamu
gerson msigwa
kutangaza
muhimu
royaltour
samia hassan suluhu
shaka hamdu shaka
tanzania royaltourtour
uchambuzi
usiku
utalii
uwekezaji
uzinduzi
wanyama
wazungu
Kama mitaa ya nchi ni michafu sana, demokrasia ya uchaguzi bado hatuna, vilio vya katiba havijakoma na wasiojulikana bado hawajakamatwa, je, tunadhani kuwa watalii hawana akili?
Je, wananchi, madereva, waongoza watalii, polisi na watoa huduma kwa watalii wana ufahamu na ujuzi kuhusu watalii...
Ni mtalii gani asiyefahamu vivutio vya utalii vya hapa nchini kwetu eti mpaka aone kupitia filamu ya royal tour ndio avutike kuja hapa nchini?
Mbona watalii wa kila aina kuanzia wenye kipato cha juu mpaka cha chini walikuwa wanatembelea taifa letu kwa wingi tu? Mfano matajiri wakubwa kama Roman...
Wanabodi,
Niko standby hapa katika ukumbi wa Jumba Mashuhuri la Makumbusho liitwalo Guggenheim , jijini New York kuwaletea live uzinduzi wa filamu ya Royal Tour unaofanywa na Rais Samia.
Ujio wangu hapa New York ni kufuatia ushauri huu Hongera Rais Samia, Kwenda US, Kuhutubia UN, Safari ya...
Wanabodi
Hii ni Makala ya Jumapili ya Jana.
Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!.
Usikose kuangalia uzinduzi huu mubashara kuanzia Saa ,1:30 usiku huu kwa saa za Marekani ambapo tumepishana masaa 7...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.