Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika moja ya ziara zake kurekodi The Royal Tour, 2021
Tumesikia na kuona Rais Samia akiwa katika kile kilichojulikana kama The Royal Tour, lakini huenda kuna baadhi yetu hatujaelewa ni kitu gani hiki.
Wapo wanaodhani Rais kajitungia jina na kutafuta wapiga...
WEDNESDAY SEPTEMBER 08, 2021
President Samia Suluhu Hassan is now spending over a week's time in preparation of the most awaited documentary that explores the finest attractions of the country's sites.
Equally hit by the Covid-19 pandemic since late 2019, that has seen world's traveling and...
Kwa mliofuatilia uandaaji na hatimaye kuoneshwa kwa makala maarufu ya Living With Michael Jackson mtakubaliana nami namna mwandishi mashuhuri Martin Bashiri alivyomrubuni, Mfalme wa Pop Duniani, Hayati Michael Jackson, kushiriki kwenye uandaaji wa makala kwa kumhakikishia kuwa makala hiyo...
Ikiwa ni wiki ya pili muendelezo ya safari ya Rais Samia katika kurekodi vivutio vya Utalii kwa ajili ya kulitangaza Taifa letu katika mataifa mbalimbali Duniani katika Utalii.
Kalamu yangu iende kwa Gerson Msigwa, Vijana, Wasanii na Vyombo vya habari.
Kwa Msemaji wa Serikali kwanza kabla ya...
Nia na dhamira inaweza ya kufanya hii tour inaweza kuwa ni nzuri, ila sidhani kama wamefanya utafiti wa kutosha kuhusu namna sahihi ya kuitengeneza/kuifanya ili kupata matokeo mazuri.
Aina ya washiriki ndio wanaoweza kuifanya hii tour ilete matokeo chanya, na wanaoshiriki akiwemo Rais Samia...
Rais alipaswa afikirie mambo makubwa ya msingi na kuachana na uigizaji anaoufanya kwa kutumia pesa zetu vibaya. Toka ameteuliwa kuwa Rais anazunguka tu.
Hatulii kufanya kazi. Nchi hii watu wanaiba ye hana hata habari ana talii tu. Haya mambo ni ufujaji wa pesa za umma. Badala yake ndo...
THE ROYAL TOUR KUPAISHA UTALII NA UCHUMI WETU WA TANZANIA
Heko kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuongoza na kurekodi kipindi Maalum cha The Royal Tour kuonyesha vivutio vyetu vya utalii,utamaduni wetu pamoja na vivutio vya Uchumi katika Taifa letu...
Nipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka Serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani.
Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia...
Nimefuatilia kwa mamlaka zote wanipe mchanganuo wa wa gharama za Royal Tour sijafanikiwa?
Naambiwa uko ngazi za juu. Nafikiri hili jambo lifanyike kwa uwazi na uwajibikaji isije kuwa kichaka cha kupiga kodi za wananchi.
Rais asituambie tu anafanya tour, atuambie bajeti ya tour ni pesa ngapi...
Mambo mengine yanafurahisha sana. Huenda bado tupo nyuma ya muda ama hatujui tunatafuta nini.
Rais ametuambia kuwa yupo katika majukumu ya kurekodi kipindi maalumu ya royal tour chenye lengo la kutangaza vivutio vya utalii wetu kimataifa.
Mimi sijaelewa lengo na dhumuni maana siamini kama Rais...
Mataifa yanayofanya vizuri na kuongoza katika utalii duniani ni pamoja na; Ufaransa, Hispania, Marekani, China, Italia, Uturuki, Mexico, Ujerumani, Uingereza. Kwa Africa ni South Africa, Misri, Morocco, Algeria, Zimbabwe, Mozambique, Ivory Coast, Kenya na Botswana.
Ukiyatazama mataifa haya kwa...
Amani iwe nawe Mama yangu!
Kwanza napenda kukupongeza kwa hii creativity kubwa uliyokuja nayo ya kushiriki na kuiweka Tanzania kwenye ramani ya dunia kupitia program maarufu ya “The Royal Tour”
Program hii kwa ufahamu wangu imezinyanyua nchi nyingi sana katika sekta ya Utalii na Uwekezaji Mf...
Rwanda: The Royal Tour: Selling Rwanda as a success story
Netanyahu: SPOTTED! Netanyahu reading 'The Jerusalem Post' during filming of 'Israel: The Royal Tour'
Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Mathias Gwajima hujawahi na wala humpendi mpaka hukupenda Rais Samia kuwa Kiongozi hivi leo isipokuwa unachokifanya sasa ni kumpaka tu Mafuta Mama wa Watu kwa Mgongo wa Chupa na bahati nzuri hata Yeye ameshakushtukia na anasubiri ujae vizuri amalize Shughuli ndani...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya kuendelea kurekodi kipindi maarufu ya Royal Tour leo tarehe 05 Septemba, 2021.
Leo Alhamisi Septemba 02, 2021 Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan wakati akisalimia wananchi wa eneo la Tegeta Jijini Dar es Salaam amewaeleza Watanzania faida ya kipindi cha filamu maarufu cha Royal Tour chenye lengo la kuitangaza Tanzania Kimataifa kwenye eneo la vivutio vya utalii...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan (Mama wa vitendo) aorodheshwa na kutambulishwa Dunia kuwa miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi mkubwa barani Afrika.
Ripoti ya Avance Media (100Women | Avance Media | 100 Most Influential African Women) yenye Makao Makuu...
Nilimsikia Rais akisema filamu tunayoitengeneza inakwenda kufuta uongo unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania.
Niwaombe wadau mnisaidie kujua ni uongo gani hip? Ni nani wanaeneza? Je, filamu pekee inatosha kufuta huo uongo?
Maisha haya ni mazuri na kwa wengine ni machungu.
Machungu tuliyonayo sijui yeye kwake ni mazuri.
Mama sasa rasmi naye anatengeneza dokumentari yake ya utalii, sijui ya nini.
Lakini je, hafahamu kuwa yeye ni Rais na muda anaotumia kwenda huku na kule kuna gharama za kila alipo.
Kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.