Kwanza naomba nitoe declaration. Mimi ni mtanzania haswa ninaependa kuona maendeleo ya hii nchi.
Nirudi kwenye mada, hii royal tour ni deal sana hasa kwa namna inavyotarajiwa na watanzania wengi.
Sote tunaamini Tanzania itafunguka na tutapata pesa kwa ajili ya mradi.
Lakini pia Mimi...
Wizara husika ongezeni ubunifu; tumezoea kuona screen kubwa mtaani zikionyesha matangazo mbalimbali ya biashara. Kwa kuongeza uelewa wa Watanzania na ownership ya agenda ya royal tour Kila Mkoa ungefunga screen kadhaa maeneo yenye watu wengi watu wawe sehemu ya mashuhuda wa tukio la uzinduzi...
Nmeamka asubuhi asubuhi hii Tanzania is trending on twitter.
Baada ya kuingia nimekuta huyo dada mnaijeria anaitwa Zainab amesimulia kisa chake cha kutaka kubakwa pamoja na kuibiwa pesa zake.
Unaweza kusoma kisa chake hapa 👇🏾👇🏾
Hiki kisa kimetokea mwaka mmoja uliopita lakini amekisimulia...
Wanabodi,
Naendelea na zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, makala ya Leo ikiwa ni makala ya swali la hypothetical question (swali la kufikirika), Kwa njia ya "thinking aloud", yaani unawaza kwa sauti.
Hii ni makala mwendelezo wa makala hii Hongera Rais Samia, Kwenda US, Kuhutubia UN...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amefanya mahojiano na Wasafi TV na hii ni sehemu ya nukuu zake kuhusu filamu ya Royal Tour ambayo inatarajiwa kuzinduliwa Aprili 18, 2022 Nchini Marekani:
Sababu za Wamarekani kupewa tenda
"Ile filamu uzinduzi wake ni Tarehe Aprili 18 na utafanyika mara...
Tunaambiwa kwamba filamu ya Royal Tour yenye kupromote Utalii imegharimu Shilingi za Kitanzania Bilioni tisa. (9).
Leo tunaambiwa Rais ana safari ya kikazi yeye na delegation yake marekani na moja wapo ya mambo atayoyafanya ni kuzindua filamu ya Roya Tour.
Kwakua hizo kazi nyingine atazofanya...
Check filamu kali ya Tanzania Royal Tour inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 22|04|2022 nchini Marekani,
Starling wa filamu hii kali ni Mhe Rais Samia Suluhu Hassan.
Filamu hii inatarajia kutuletea watalii wasiopungua mil 5 na mapato yatokanayo na Utalii yanatarajiwa kufikia $5BL kwa mwaka hapo...
Watu wamedis ubora wa film ya Royal tour hasa kwa namna picha zinazoonekana kwenye nyasi zilivyomweka mbali na upeo wa sura yake halisi. Wengine wanadis driving na matendo haviendani au havionyeshi reality, mixing ya issue it's like aliyefanya Hana uzoefu ni kipi kinapatikana Tz. Utalii na...
Mama, nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wewe ni alama ya uongozi kwa vitendo ndani ya Taifa letu, wengi sana watakubaliana nami katika hili akiwemo ndugu yangu Jumbe Brown . Umekuwa ni chachu ya fikra mbadala kwa sisi tulio katika nafasi za uongozi sehemu mbali mbali...
Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huwaletea mfufululizo wa makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni bandiko la pongezi na ombi. Pongezi ni kwa Rais Samia, kusafiri kwa kukwea pipa la watu, kwenda nchini Marekani, na kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA. Ombi ni kwa...
SHUGHULI za Royal Tour zilizokuwa zikifanywa kwa mara ya kwanza nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan za kutangaza vivutio vya Utalii, Biashara na Uwekezaji nchini zimeanza kuzaa matunda kwa wawekezaji kuanza kujitokeza kuwekeza hoteli za kisasa ndani ya hifadhi...
Leo gazeti za Citizen limeripoti mawakala wa Utalii kutoka Nchini Marekani wameingia Tanzania kujionea vivutio vya Utalii vilivyopo hapa nchini Kwa ajiri ya kuwaleta Wamarekani. Hii ni wiki chache tu tangu Rais Samia Suluhu Hassan afanye kipindi maarufu duniani kinachohusiana na utalii na fursa...
Nawasalimu kwa jina la JMT,
|Rapper maarufu duniani raia wa Marekani Mr William Leonard Roberts II a.k.a Rick Ross aonesha nia ya kuwekeza Tanzania kiasi cha $3.5M karibu Tshs 8.1BL katika sekta ya Ujenzi|mali zisizohamishika|
|Rick Ross kufika tu Tanzania tayari tutavuna waatali wengine...
Katika kipindi cha Kinagaubaga cha Idhaa ya Kiswahili ya DW cha nchini Ujerumani, Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa ameeleza kiundani sababu za Rais Samia kurekodi Makala Maalum itakayoonyeshwa katika kipindi cha Royal Tour ambayo itatangaza Utalii, fursa za uwekezaji zilizopo nchini...
Kila mwaka duniani kuna wastani wa watalii 1.5 bilioni wanatafuta ni wapi waende kutali au kula bata ||
||Sisi Tanzania ni nchi ya Pili kwa vivutio vingi vya asili duniani lakini tunaambulia watalii chini ya 2m kwa mwaka hapa kunajuhudi zinahitajika Sehemu,
===
Niseme kidogo kuhusu Rais Samia...
ROYAL TOUR NI WAZO ZURI LAKINI...
Nimetafakari sana kabla sijaandika maneno haya. Nina wazo gumu na mkono wangu hauna uwezo wa kuandika wazo langu kwa usahihi. Huu ni ulemavu wa wengi. Unachokitaka unakijua lakini kukiandika kwa usahihi huwezi.
Huku vijijini ukipata mgeni wa kulala...
Kama nchi yaweza kuwa kukwama kwetu ni matokeo ya kuendekeza ukiritimba.
Ukiritimba kila mahali. Si kwenye siasa, haki za kukusanyika, haki za kuzungumza, haki za kujumuika, kushirikishwa, kuona nk. Ni ukiritimba kwa kwenda mbele.
Beberu yuko huku:
Sisi hata ya royal tour...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.