royal tour

A state visit is a formal visit by a head of state to a foreign country, at the invitation of the head of state of that foreign country, with the latter also acting as the official host for the duration of the state visit. Speaking for the host, it is generally called a state reception. State visits are considered to be the highest expression of friendly bilateral relations between two sovereign states, and are in general characterised by an emphasis on official public ceremonies.
Less formal visits than a state visit to another country with a lesser emphasis on ceremonial events, by either a head of state or a head of government, can be classified (in descending order of magnitude) as either an official visit, an official working visit, a working visit, a guest-of-government visit, or a private visit.In parliamentary democracies, while heads of state in such systems of government may formally issue and accept invitations, they do so on the advice of their heads of government, who usually decides on when the invitation is to be issued or accepted in advance.
Queen Elizabeth II is "the most travelled head of state in the world," having made 261 official overseas visits and 96 state visits to 116 countries by the time of her Diamond Jubilee in 2012. Although she is sovereign of each of the Commonwealth realms, in practice, she usually performs full state visits as Queen of the United Kingdom, while the relevant governor-general undertakes state visits for his or her respective country on the sovereign's behalf. However, the Queen has occasionally made some state and official visits representing one of her other Commonwealth realms.

View More On Wikipedia.org
  1. Ufafanuzi: The Royal Tour, filamu ya Rais Samia inayolenga kukuza utalii

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika moja ya ziara zake kurekodi The Royal Tour, 2021 Tumesikia na kuona Rais Samia akiwa katika kile kilichojulikana kama The Royal Tour, lakini huenda kuna baadhi yetu hatujaelewa ni kitu gani hiki. Wapo wanaodhani Rais kajitungia jina na kutafuta wapiga...
  2. President Samia's Royal Tour: A new gear for the country's tourism, trade & investment development

    WEDNESDAY SEPTEMBER 08, 2021 President Samia Suluhu Hassan is now spending over a week's time in preparation of the most awaited documentary that explores the finest attractions of the country's sites. Equally hit by the Covid-19 pandemic since late 2019, that has seen world's traveling and...
  3. C

    Kama ilivyokuwa kwa Living With Michael Jackson Royal Tour ya Rais Samia yaweza kuwa na lengo baya kwa Tanzania

    Kwa mliofuatilia uandaaji na hatimaye kuoneshwa kwa makala maarufu ya Living With Michael Jackson mtakubaliana nami namna mwandishi mashuhuri Martin Bashiri alivyomrubuni, Mfalme wa Pop Duniani, Hayati Michael Jackson, kushiriki kwenye uandaaji wa makala kwa kumhakikishia kuwa makala hiyo...
  4. M

    Tumieni jicho la tatu kuiona fursa ya Royal Tour

    Ikiwa ni wiki ya pili muendelezo ya safari ya Rais Samia katika kurekodi vivutio vya Utalii kwa ajili ya kulitangaza Taifa letu katika mataifa mbalimbali Duniani katika Utalii. Kalamu yangu iende kwa Gerson Msigwa, Vijana, Wasanii na Vyombo vya habari. Kwa Msemaji wa Serikali kwanza kabla ya...
  5. S

    Royal Tour inaweza kugeuka kashifa kwa Rais Samia itayotumiwa na wapinzani kwenye kampeni za 2025 panapo Tume Huru ya Uchunguzi

    Nia na dhamira inaweza ya kufanya hii tour inaweza kuwa ni nzuri, ila sidhani kama wamefanya utafiti wa kutosha kuhusu namna sahihi ya kuitengeneza/kuifanya ili kupata matokeo mazuri. Aina ya washiriki ndio wanaoweza kuifanya hii tour ilete matokeo chanya, na wanaoshiriki akiwemo Rais Samia...
  6. Rais anatumia kodi zetu vibaya, Royal Tour yake haina faida ni Ufujaji wa pesa za Maskini

    Rais alipaswa afikirie mambo makubwa ya msingi na kuachana na uigizaji anaoufanya kwa kutumia pesa zetu vibaya. Toka ameteuliwa kuwa Rais anazunguka tu. Hatulii kufanya kazi. Nchi hii watu wanaiba ye hana hata habari ana talii tu. Haya mambo ni ufujaji wa pesa za umma. Badala yake ndo...
  7. The royal tour kupaisha utalii na uchumi wetu wa Tanzania

    THE ROYAL TOUR KUPAISHA UTALII NA UCHUMI WETU WA TANZANIA Heko kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuongoza na kurekodi kipindi Maalum cha The Royal Tour kuonyesha vivutio vyetu vya utalii,utamaduni wetu pamoja na vivutio vya Uchumi katika Taifa letu...
  8. Serikali ya Marekani izuie mara moja uzinduzi wa Kipindi cha ROYAL TOUR cha Rais Samia nchini humo kushinikiza Utawala Bora nchini

    Nipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka Serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani. Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia...
  9. Royal Tour: Serikali itoe mchanganuo wa gharama

    Nimefuatilia kwa mamlaka zote wanipe mchanganuo wa wa gharama za Royal Tour sijafanikiwa? Naambiwa uko ngazi za juu. Nafikiri hili jambo lifanyike kwa uwazi na uwajibikaji isije kuwa kichaka cha kupiga kodi za wananchi. Rais asituambie tu anafanya tour, atuambie bajeti ya tour ni pesa ngapi...
  10. Royal Tour ingekuwa na tija kama Rais Samia angeambatana na Mumewe, watoto wake angalau wawili na kushirikisha wasanii maarufu wa Kitanzania

    Mambo mengine yanafurahisha sana. Huenda bado tupo nyuma ya muda ama hatujui tunatafuta nini. Rais ametuambia kuwa yupo katika majukumu ya kurekodi kipindi maalumu ya royal tour chenye lengo la kutangaza vivutio vya utalii wetu kimataifa. Mimi sijaelewa lengo na dhumuni maana siamini kama Rais...
  11. Utalii kitaifa hauhitaji vivutio vingi na matangazo; unahitaji historia, siasa, muingiliano, biashara na miondombinu

    Mataifa yanayofanya vizuri na kuongoza katika utalii duniani ni pamoja na; Ufaransa, Hispania, Marekani, China, Italia, Uturuki, Mexico, Ujerumani, Uingereza. Kwa Africa ni South Africa, Misri, Morocco, Algeria, Zimbabwe, Mozambique, Ivory Coast, Kenya na Botswana. Ukiyatazama mataifa haya kwa...
  12. Rais Samia, The Royal Tour isiache maeneo haya...

    Amani iwe nawe Mama yangu! Kwanza napenda kukupongeza kwa hii creativity kubwa uliyokuja nayo ya kushiriki na kuiweka Tanzania kwenye ramani ya dunia kupitia program maarufu ya “The Royal Tour” Program hii kwa ufahamu wangu imezinyanyua nchi nyingi sana katika sekta ya Utalii na Uwekezaji Mf...
  13. Royal Tour ft Mama Samia: Wanaopinga wasome makala hii

    Rwanda: The Royal Tour: Selling Rwanda as a success story Netanyahu: SPOTTED! Netanyahu reading 'The Jerusalem Post' during filming of 'Israel: The Royal Tour'
  14. M

    Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima acha Unafiki tafadhali. Hizi Sifa unazompa Rais Samia kuhusu Royal Tour yake ni za Kumsanifu na Kumdharau pia

    Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Mathias Gwajima hujawahi na wala humpendi mpaka hukupenda Rais Samia kuwa Kiongozi hivi leo isipokuwa unachokifanya sasa ni kumpaka tu Mafuta Mama wa Watu kwa Mgongo wa Chupa na bahati nzuri hata Yeye ameshakushtukia na anasubiri ujae vizuri amalize Shughuli ndani...
  15. Rais Samia awasili Kilimanjaro kwa ajili ya kurekodi kipindi maalumu cha Royal Tour

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya kuendelea kurekodi kipindi maarufu ya Royal Tour leo tarehe 05 Septemba, 2021.
  16. T

    Royal Tour: Rais Samia aeleza Watanzania faida ya kutangaza utalii kimataifa

    Leo Alhamisi Septemba 02, 2021 Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan wakati akisalimia wananchi wa eneo la Tegeta Jijini Dar es Salaam amewaeleza Watanzania faida ya kipindi cha filamu maarufu cha Royal Tour chenye lengo la kuitangaza Tanzania Kimataifa kwenye eneo la vivutio vya utalii...
  17. Rais Samia aorodheshwa kuwa miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi Barani Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan (Mama wa vitendo) aorodheshwa na kutambulishwa Dunia kuwa miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi mkubwa barani Afrika. Ripoti ya Avance Media (100Women | Avance Media | 100 Most Influential African Women) yenye Makao Makuu...
  18. T

    Ni uongo gani unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania?

    Nilimsikia Rais akisema filamu tunayoitengeneza inakwenda kufuta uongo unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania. Niwaombe wadau mnisaidie kujua ni uongo gani hip? Ni nani wanaeneza? Je, filamu pekee inatosha kufuta huo uongo?
  19. Royal Tour: Kwanini Rais Samia asingewapa Watanzania wenye ushawishi kufanya kazi hii?

    Maisha haya ni mazuri na kwa wengine ni machungu. Machungu tuliyonayo sijui yeye kwake ni mazuri. Mama sasa rasmi naye anatengeneza dokumentari yake ya utalii, sijui ya nini. Lakini je, hafahamu kuwa yeye ni Rais na muda anaotumia kwenda huku na kule kuna gharama za kila alipo. Kwanini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…