rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bodi ya Ligi muwe makini na wakaguzi wenu wa viwanja; kuna harufu ya rushwa

    Najiuliza maswali mengi juu ya wakaguzi wa viwanja vinavyatumika kwenye michezo ya LIGI kuu, sielewi uwa wanatumia vigezo Gani kuruhusu matumzi ya viwanja husika Mfano mdogo ni kuruhusiwa kutumika kwa uwanja wa CCM kambarage mjini shinyanga baada ya kukaguliwa na hao wakaguzi na kuwaruhusu jkt...
  2. Kwanini Polisi ni wala rushwa sana na Serikali inawaacha?

    Hii inatia hasira kwa wananchi japo wananchi wanaonekana kucheka nao na kula nao ila wakati huwa ni mgumu sana kwa Polisi wote haijalishi ana cheo gani anapo staff. Ubadhilifu na kutokuwa waaminifu katika mazingira ya kazi ni nani hasa anawakingia kifua?? Course zao ni mbovu au mfumo wao. Mimi...
  3. Mikopo inaumiza watumishi chanzo cha rushwa na matumizi mabaya ya ofisi

    Hata ingekuwa ni wewe una shida umekwama labda ada au kodi kama unadhaminika lazima ungekopa ikizingatiwa USA NA CHINA pia wanakopa. Shida inaanza pale unategemea upate activities za serikali ulipwe posho upunguze madeni kumbe ni uongo hesabu zinagoma aidha unaitumia au inaibuka dharura nyingine...
  4. Eliakim Maswi: Mfumo wa kielektroniki "NeST" utadhibiti mianya ya rushwa

    Mfumo wa kielektroniki unaowezesha kufanya usajili, kuchakata zabuni, kusimamia mikataba, malipo na kununua kupitia katalogi na minada kimtandao (NeST) uliotengenezwa na Watanzania unatarajiwa kudhibiti vitendo vya rushwa ambavyo vimekuwa vikilalamikiwa kughubika michakato wa ununuzi Serikalini...
  5. Gabon Mtoto wa Ali Bongo ashtakiwa kwa Uhaini na Rushwa

    tua hiyo inakuja wiki 3 tangu aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Ali Bongo kupinduliwa Kijeshi muda mfupi baada ya Tume ya Uchaguzi kumtangaza kushinda Urais kwa muhula mwingine Noureddin Bongo Valentin ambaye ni Mtoto mkubwa wa Ali Bongo na washirika wao wakiwemo Msemaji wa Rais na waliokuwa...
  6. A

    DOKEZO Kuna mazingira ya rushwa kwa Askari wanaoomba kwenda Kozi

    Nimeamua kuandika hapa kwa kuwa JamiiForums inafuatiliwa na watu wengi ndani na je ya Nchi, mtandao huu unafuatiliwa na watu wa kawaida, Viongozi na Watu wengine mashuhuri. Ningependa kuwaomba kwa unyenyekevu mkubwa kabisa andiko langu hili liende hewani. Ikiwezekana andiko hili lifikisheni...
  7. Rushwa, umasikini, gharama za maisha na kutoshirikishwa ni kati ya vitu vinafanya Watanzania kutokuwa na Furaha

    Ripoti ya Mtandao wa Suluhu za Maendeleo Endelevu (SDGs) ya Umoja wa Mataifa (UN), imetaja masuala 6 ambayo huchangia katika Kuongeza au Kupoteza Furaha za Watu katika Nchi Aidha, kwa mujibu wa #WorldHappiness2023, Nchi za Afghanistan, Lebanon, Zimbabwe, #Rwanda, Botswana, Lesotho, Sierra...
  8. Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

    Msanii Ruby ambae siku ya Leo ameenda live Instagram ameonesha kuchukizwa na kutoa ya moyoni dhidi ya Boss wa EFM na ETV anayefahamika kama Fransic Siza a.k.a Majizzo au Majay. Msanii huyo wa kizazi kipya ametoa kauli ya kutakwa kimapenzi na Boss huyo ambae kwa sasa ameoa mke "Elizabeth...
  9. Njombe: Mwanasheria wa Halmashauri afikishwa Mahakamani kwa Kuomba Rushwa ya Tsh. Milioni 1

    Ni Apolo Elias Laiser ambaye amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya na kufunguliwa Shauri la Kuomba na Kupokea Rushwa ya Tsh. 1,000,000 kinyume na kifungu cha 15(1),(a) na (2) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Sura ya 329. Mwanasheria huyo ameshtakiwa kwa kuomba Rushwa...
  10. D

    hii propaganda ( PR)🙌 CAF anaipa Yanga, kama rushwa.

  11. M

    Kwanini Kakolanya ni mzuri timu ya Taifa lakini sio kwenye klabu?

    Kumekuwa na tuhuma kwa wachezaji wetu wengi kuhusishwa na kupanga matokeo(rushwa) wanapokuwa kwenye timu zao. Na mmojawao ni Kipa Kakolanya. Kuna muda mwingine ukimuangalia unaona jinsi alivyo makini anapokuwa langoni na kuna muda mwingine anaonekana mpambanaji hasa halafu anakaa position fulani...
  12. Waziri Bashungwa ahaidi kupambana na Rushwa, atoa maagizo kwa mameneja TANROADS nchini

    Bungeni - Dodoma Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent L. Bashungwa(Mb) amemshukuru Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kumuamini na ameahidi kudhibiti na kupambana na Rushwa katika mikataba, manunuzi na usimamizi wa miradi. Amesema hayo leo tarehe 06 Septemba 2023 Bugeni...
  13. Rais Samia: Kamera za Usalama zitaondoa Rushwa na ulazima wa kutumia 'Matrafiki' kila sehemu

    Akizungumza leo Sept. 4, 2023 wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi, Rais Samia amesema wananchi bado wanalalamikia tatizo la Rushwa hasa kwa Askari wa Barabarani. Amesema “Mfano tukiweka Kamera za Barabarani hakutakuwa na sababu ya Askari kusimama Barabarani...
  14. Tabora: Aliyeomba Rushwa ili amsaidie Mtuhumiwa wa Mauaji aachiwa baada ya kulipa Faini

    Mahakama ya Wilaya ya Tabora imechukua uamuzi huyo dhidi ya Denis Kantanga, aliyekuwa Askari Polisi nafasi ya Konstebo baada ya kukiri makosa mawili ya Kuomba na Kupokea Rushwa ya Tsh. 18,000,000 kinyume na Sheria. Mahakama ilimhukumu kutumia kifungo cha miaka miwili Jela au kulipa faini ya...
  15. T

    Ardhi kuna rushwa rushwa rushwa narudia tena rushwa sijui kama Jerry Silaa unajua

    Ukienda kushughulikia jambo lako wizara ya ardhi huwezi amini kama Tanzania Ina mpango wowote wa kupambana na rushwa.
  16. Je, umewahi kukataa kutoa rushwa ili kupata stahiki yako?

    Kupata stahiki yako kwa njia ya haki na bila kutumia njia za udanganyifu ni msingi wa maadili na utawala bora katika jamii yoyote ile. Katika dunia iliyojaa changamoto na mizani tata ya kimaadili, kukataa kutoa rushwa kunaweza kuonekana kama jaribio la “kuwakazia” wenye mamlaka, na mara...
  17. Kama Uchaguzi wao umetawaliwa na Rushwa kwa 85% wanapata wapi uhalali wa Kupingana na Tamko la Werevu TEC?

    Na bahati nzuri Wanaosema kuwa Uchaguzi wenu wa Jana ulijaa Rushwa tupu ni Wenzenu ( tena baadhi yao ) ni Wapiga Kura mnapata wapi Uthubutu wa Kuukana na Kuukosoa Msimamo wa wenye Akili Kubwa duniani TEC na Kanisa Katoliki ( GENTAMYCINE nikiwemo ) juu ya Sakata la Uwekezaji wa DP World na...
  18. H

    Hasara za NHIF kila Mwaka: Sababu nyingine ni baadhi ya watendaji kujimilikisha mfuko

    Si kosa wala si vibaya kuwapa mamlaka ya kiuongozi vijana ili kuandaa viongozi wa kesho wenye weledi katika taifa hili lakini vijana hawa wanaoaminiwa na taasisi wamekua chanzo cha kuitia hasara serikali na kurudisha nyuma mipango mizuri ya serikali yetu kwa tamaa ya maendeleo ya haraka, uzembe...
  19. Rais Samia amkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Hati ya Kiwanja

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Harold Sungusia Hati ya Kiwanja kilichopo Arusha kwa ajili ya Ujenzi wa Ofisi zao mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023. Rais wa...
  20. Sheria ya kutokumshitaki Rais ndio Rushwa kubwa kuliko

    SHERIA YA KUTOKUSHTAKIWA RAIS NDIO RUSHWA KUBWA KULIKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Takukuru kazi yenu bado itakuwa ngumu ikiwa kuna sheria ambazo zinatoka Rushwa Kwa baadhi ya makundi ya Watu hasahasa viongozi. Kuna Sheria na kuna Haki. Alafu kuna vyombo vya kusimamia sheria na Haki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…