rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums

    Nathanael Atanas Mpasi aibuka mshindi maalumu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU). Ajinyakulia shilingi milioni 5

    Nathanael Atanas Mpasi ni Mwanachama hai wa JamiiForums.com ambaye ameonesha kuwa mmoja wa Wanachama wanaopinga suala la Rushwa katika Sekta mbalimbali Amefanya hivyo katika maandiko yake kupitia Jukwaa la Stories of Change (SoC) Mwaka 2023 na 2024 na 2024, amekuwa mstari wa mbele kuweka...
  2. JET SALLI

    Pre GE2025 Kipindi cha Uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu watu husema wakiwahonga fedha zao chukueni au kuleni ila msiwachague je ni sahihi?

    Ndugu zangu kauli hz zimezoeleka sana tunapokuwa tunaelekea kwenye uchaguzi na tukiwa kwenye uchaguzi vilevile,je Hv ni kweli mtu anaweza kula pesa ya mtu na asimpe kura?,na je aliyetoa pesa hizo anajua kweli kwamba waliokula fedha zake hawakumchagua, je anaweza kuamini rahisi kiasi hicho. Mimi...
  3. GENTAMYCINE

    Pre GE2025 Nini kifanyike kudhibiti pesa chafu na rushwa kiujumla kwenye chaguzi kuu za nchi nyingi za Afrika?

    Nilikuwa najiuliza kwanini watu wengi husema kuwa kama usipomalizia Kibanda chako au usipojenga Kipindi cha Uchaguzi Mkuu (hasa katika Nchi za Afrika) basi sahau tena kujeng. Kwani Kipindi hicho Pesa zinakuwa nyingi na za Kumwaga huko Mitaani ila sasa nimeshaelewa walichokuwa wakikimaanisha...
  4. M

    Je, ni kweli wanaume wanakumbana na rushwa ya ngono?

    Hivi ni kweli kwamba baadhi ya wanaume nao wanapitia bc hangamoto ya rushwa ya ngono pale wanapotafuta kazi maofisini au katika fursa mbalimbali? ni kweli kwamba wakiombwa rushwa ya ngono wanafrai sana? au rushwa ya ngono ni changamoto kwa wanaume kazini? Wanaume tuambieni.
  5. Roving Journalist

    Dar: Afisa Mtendaji aliyeomba rushwa ya Milioni 1, ahukumiwa kulipa faini ya Tsh. 500,000

    AFISA MTENDAJI - PUGU KINYAMWEZI AHUKUMIWA KWA RUSHWA Mnamo tarehe 30/08/2024 imetolewa hukumu ya kesi ya Jinai namba 96/2023 mbele ya Mheshimiwa Hakimu Mkazi Mwandamizi Bittony Mwakisu.* Shauri hili liliendeshwa na mawakili wa Serikali Waandamizi Veronica Chimwanda na Fatuma Waziri ambapo...
  6. Nigrastratatract nerve

    Pre GE2025 Tunataka Rais wa 2025 achukie Rushwa na Ufisadi kwa moyo wake wote

    Ili kuboresha sekta ya kilimo nchini Tanzania mwaka 2025, Rais anayechaguliwa anaweza kuchukua hatua kadhaa muhimu ili kuimarisha kilimo, kuongeza uzalishaji, na kuboresha maisha ya wakulima. Hapa kuna mambo muhimu ambayo Rais anapaswa kuyazingatia: 1. Kuongeza Uwekezaji katika Miundombinu ya...
  7. K

    Anaye liamini jeshi hili ya kiki na rushwa asimame!

    Inasikitisha sana kuona jeshi la Polisi limebaki kuwa na kiki na uongo uongo pamoja na rushwa. Ni nani leo hii Tanzania anaweza kuweka imani kwa jeshi hili? inasikitisha sana hasa sisi ambao wazazi wetu maisha yao yote walikuwa ni Polisi
  8. PendoLyimo

    Madai ya Upendeleo na Rushwa Katika Uchaguzi wa CHADEMA Jimbo la Hai

    Katika hali inayoibua maswali mengi kuhusu uwazi na haki ndani ya chama cha CHADEMA, mtoto wa Freeman Mbowe, kiongozi wa chama hicho, ameonekana kupendelewa katika uchaguzi wa ndani wa Jimbo la Hai. Taarifa zinadai kwamba viongozi wa juu wa jimbo hilo walihusika moja kwa moja katika kuhakikisha...
  9. U

    Luhaga mpina - CCM sio kichaka wala pango la wanyang’anyi, Bora nifukuzwe Uanachama kuliko kukaa kimya!

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha hukoo "CCM sio kichaka wala pango la wanyang’anyi. Viongozi wala rushwa na wezi ndani ya CCM sintocheka na nyie na nitawataja na kuendelea kuwasema hadharani daima" "Bora nifukuzwe kabisa kuliko kukalia kimya rushwa na ufisadi unaofanywa kwa wachache na...
  10. I

    TAKUKURU wanamgwaya Tundu Lissu kumuhoji kuhusu rushwa ya Abdul

    Mara kadhaa Makamu Mwenyekiti wa Chadema amedai mtoto wa Rais Samia aitwai Abdul alikwenda nyumbani kwake akiwa na kiongozi wa mmoja wa Chadema kwa ajili ya kumpa rushwa ili alegeze misimamo yake dhidi ya serikali. Tundu Lissu hakuishia hapo bali amesema Abdul alimweleza kuwa amekwisha gawa...
  11. I

    Farhia Middle anywea kuendelea kuhoji rushwa kutoka kwa Abdul kwenda kwa Tundu Lissu

    Tundu Lissu amemtahadharisha mtanganzaji wa ITV Farhia Middle katika kipindi cha dakika 45 kuwa kama anataka kufahamu jinsi Abdul alivyomshawishi kwa rushwa alegeze misimamo yake dhidi ya serikali ajiandae. Farhia akala kona kwa kuhofia majibu magumu ambayo Tundu Lissu angeyatoa.
  12. T

    Napendekeza: TAKUKURU wajifanye kama kondakta wa daladala ili wadake traffic wala rushwa

    Nina pendekeza kama kweli TAKUKURU wako pale kumdhibiti na kupambana na rushwa basi wajifanye kama Kondakta wa daladala hasa za hapa Dar Es Salaam ili wakamate Traffic ambao wanaomba rushwa. Kama hilo haliwezekani basi nashauri hiki kitengo aidha kifutwe au kibadilishiwe majukumu. Maana...
  13. Tlaatlaah

    Chadema haina kabisa uwezo wa kupambana na rushwa iliyokithiri miongoni mwa viongozi wake waandamizi

    Zaidi ya mara moja kiongozi wake muandamizi ambae pia ni makamu mwenyekiti wa Taifa wa chama hiki amebainisha wazi na kulalamikia jambo hili baya kabisa, linalokwamisha mambo mengi sana kusonga mbele ndani ya Chadema na mahali pengine popote. Rushwa. Alilizungumzia jambo hili la rushwa nje ya...
  14. M

    Lissu abanwa vikali na Mwana CHADEMA kuhusu tuhuma za rushwa ndani ya chama

    Katika mjadala uliofanyika katika mtandao wa clubhouse, Lissu alipata fursa ya kuongea na watanzania juu ya mambo mbalimbali ya kisiasa ya ndani ya chama chake na nje ya chama chake. Kijana aitwaye Lumola ambaye alikuwa ni mgombea ubunge mwaka 2020 alimuuliza Lissu swali zito ambalo Lissu...
  15. R

    Pre GE2025 Ushauri: Abdul aende mahakamani kumshtaki Lissu ili kujisafisha na tuhuma za RUSHWA zinazoelekezwa kwake

    Salaam, Shalom!! TUNDU Antipas Lissu amekuwa akirudia sana kuwa mtu aitwaye Abdul,amewahi kumfuata na kutaka kumhonga na kushindwa kutimiza Nia hiyo Kwa Lissu. Lissu amekuwa akirudia mara Kwa mara jambo hili, Jana tena amesema akihojiwa na Ndugu Odemba Star tv. Sasa ni muhimu Ndugu Abdul...
  16. Yoda

    Kuna mtu amewahi kupewa hukumu ya kufungwa katika rushwa ya ngono?

    Sijawahi kuona mantiki ya hizi harakati za kinachoitwa rushwa ya ngono, huu ni kama ubabaishaji, ujanja wa kujipatia kipato kwa harakati uchwara na kuipoteza muda tu jamii.
  17. Cute Wife

    Mapendekezo ya mabadiliko ya Sheria ya Rushwa ya ngono: Wanaharakati wapinga mtoa rushwa kushtakiwa, wewe unaonaje?

    Kabla ya mapendekezo haya sheria ilikuwa inasema atakayekutwa na hatia ya kuomba rushwa ya ngono atakuwa ametenda kosa ambapo adhabu yake ni faini isiyopungua milioni 2 na isiyozidi milioni 10, ama kifungo kisichopungua miaka 5 na kisichozidi miaka 10 au vyote kwa pamajo. Kwenye mapendekezo...
  18. King Leon 1

    Upangaji wa matokeo na rushwa itaangamiza soka Zanzibar Kimataifa

    Katika hali ya kushangaza sana ,Club ya Uhamiaji FC ya Zanzibar inayoshiriki mashindano ya Shirikisho Africa imekubaliana na Al ahly Tripoli ya Libya kuwa mechi zao zote zitapigwa Libya kwa sababu ambazo hazina mashiko kuwa za kiusalama na makubaliano baina ya timu izo mbili. Sasa kati ya...
  19. P

    Rushwa Ilivyo Muharibia Prof. Anna Tibaijuka

    Bila shaka Prof. Anna Tibaijuka yupo miongoni mwa binafamu na akina mama wenye CV zilizoshiba. Kitaaluma na uzoefu wake wa kazi katika ofisi za juu kabisa duniani singemfanya awe mama wa mfano duniani. Ila nyota yake ilizimwa kama mshumaa baada ya yeye kuingia kwenye siasa. Kutokana na uchapa...
  20. T

    Rushwa ya Lissu, je tushughulike na Supply Chain( CCM) au Demand chain(Chadema) kukomesha, tujadili

    Lissu akiwa Iringa alilaumu na kukemea Rushwa iliyotapakaa CDM kutokea CCM yeye akimsema Mama Abdul na kuwa ndiye chimbuko la tatizo Kwa kauli yake. Rushwa hiyo ikielekea Chadema na kuwa hali imechafuka. Kwangu mie ni onyo zuri lililojaa uadilifu na hekima,naomba yeye Lissu na wengine...
Back
Top Bottom