Nyimbo ya Taifa ya Tanzania unapaswa kubadilishwa haukisi na Aina ya mashairi yanayopatikana kwenye hizo nyimbo yenu eti" wabariki Viongozi wetu" Viongozi gani? Hawa wala rushwa? Mafisadi? Waiba Mali ya umma?kiukweli nachukizwa na Huu Wimbo WA Taifa Popote pale ukiimbwa
Katika vitu ambayo...
Usafiri wa pikipiki umekuwa msaada mkubwa sana kwa watu wa kada zote kwa ajili ya kuharakisha safari nyingi za kuingia na kutoka maeneo ya mjini na unasaidia sana kurahisisha shughuli za kiuchumi, pia kazi ya bodaboda imeajiri kundi kubwa la vijana kuanzia wasomi na watu mbalimbali wanaooendelea...
MAPAMBANO YA RUSHWA NA TANZANIA TUITAKAYO MIAKA 5 MPAKA 25
Rushwa inaweza kutafsiriwa kuwa ni hali ya kupokea na kuchukua mali au pesa ya serikali au kampuni kwa faida binafsi. Rushwa inaweza kuwa katika namna mbili tofauti; rushwa kubwa na rushwa ndogo. Tanzania inakabiliwa na tatizo la rushwa...
Mkuu wa police Tanzania,hawa askari wako wa kituo cha police Dumila,Morogoro weredi wa kazi umekuwa jiwe kwao.
Kwanza Dumila ni sehemu ambayo askari wake rushwa imetawala sana,dumila ni mji wenye wizi usio na mfano,bangi inavutwa hadharani tu. Achilia mbali matukio hayo,sehemu ya njia tatu...
Pesa haijawahi muacha mtu salama tangu enzi za mitume na manabii pesa ni sabuni ya roho,ukiona mtu anapiga kelele sana kuhusu rushwa hajaunganishwa kwenye mfumo,nani hataki raha toka aanze ni yeye na kupanda punda tu,
Sasa kapandishwa chopa anacheeka hatutosikia tena pesa za mama Abduli...
The Tanzania We Need: Rising Against Corruption and Championing Good Governance.
In the vibrant heart of East Africa lies Tanzania, a land renowned for its breathtaking landscapes, rich cultural tapestry, and the towering Mount Kilimanjaro.
Beneath this natural splendour, however, there has...
Mabadiriko yanatakiwa kufanyika katika utendaji wa Takukuru na CAG ili kuzuia ubadhirifu na ufisadi katika miradi na fedha za uma zinazotolewa na serikali. Kama sheria ya 2007 inayoipa takukuru mamlaka ya kuzuia rushwa, ufisadi, ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha ya serikali.
Awali ni...
Hivi Marais na mawaziri wa Marekani huwa hawajihusishi na vitendo vya rushwa wakiwa madarakani au wanafanya kijanja sana? Huwa nasikia viongozi hawa wakitajwa kwenye skendo mbalimbali lakini ni nadra sana na sijawahi kusikia kabisa Rais au waziri Marekani anatuhumiwa kwa rushwa zinazohusu pesa...
Tanzania, kama nchi nyingine nyingi, imekumbwa na changamoto ya rushwa kwa muda mrefu. Hata hivyo, inawezekana kufuta kabisa tatizo hili kwa kutumia mikakati madhubuti. Mataifa mbalimbali, hasa barani Afrika na kwingineko, yameweza kupiga hatua kubwa katika kupambana na rushwa, na Tanzania...
1. Nimewasikia mkijinadi kukemea maadili kwenye Idd Al Adha, . Kumomonyoka kwa maadili si ushoga na ngono. and the like
2. Wizi, Rushwa , ukatili , uongo na vitu kama hivyo ni mmomonyoko wa maadili tena mkubwa
3. Samia anagawa pikipiki za rushwa ya wazi hammkemei, halafu mnasema nyie ni...
Tangu nikiwa mdogo nasikia bilioni kadhaa zimetolewa na Uswizi kama msaada kwenda nchi fulani ya Afrika.
Mara Marekani imetoa msaada bilioni mia 4 kwenda nchi fulani.
Lakini hizi nchi zinazoongoza kupokea misaada hali ya maisha bado ingalipo.
Mpaka leo si vyama tawala au vya upinzani kipindi...
Lissu ameendelea kurusha jiwe gizani.
Safari hii ameikemea rushwa wazi wazi hata iliyo ndani ya chama chake CHADEMA. Lissu hajapepesa macho wala kuangalia sura ya mramba asali.
Wataalam wa mambo ya siasa za kusini mwa jangwa la sahara wanasema huu ni muendelezo wa kukosoa tuhuma za rushwa na...
Kwa nini viongozi wengi wa siasa lazima wawe ndio namba moja katika kula rushwa uku katiba ikiwakingia vifua tofauti kosa hilo likifanywa na mtu mwingine?
Kwa huu ufisadi wa mawaziri na watendaji wengine unaoendelea nchini, ningekuwa Rais ningeukomesha ndani ya siku 100 za mwanzo katika uongozi wangu. Ningetunga sheria ya ufisadi na uhujumu uchumi ambayo ufisadi unaozidi mabilion adhabu yake ni kifo.
Kwamba kesi za namna hiyo sheria itaweka wazi...
Mapendekezo ya Mabadiliko Katika Kudhibiti Rushwa na Ubadhirifu Nchini Tanzania Katika Miaka 25 Ijayo
Rushwa na ubadhirifu ni changamoto kubwa zinazokwamisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini Tanzania. Ili kuifikia "Tanzania Tuitakayo," ni muhimu kuchukua hatua madhubuti na za...
1:Elimu ya Uraia: Elimu ya uraia ni muhimu sana katika kuongeza ushiriki wa wananchi. Wananchi wanapaswa kuelewa vizuri madhara ya rushwa katika jamii na uchumi wa nchi. Wanapaswa pia kufahamu haki zao na jinsi gani wanaweza kuchukua hatua pale wanapokutana na rushwa. Elimu hii inaweza kutolewa...
Rushwa ni adui wa haki Kwa mtanzania yeyote yule mwenye uzalendo na kuipenda nchi yake Kwa moyo wake wote.
Rushwa inaweza kuzibitiwa Kwa njia mbali Kwa kila mtanzania mpenda maendeleo ndani ya nchi yake.
Tukisema rushwa ni adui wa haki Kwa mtanzania hatukosei hata kidogo walio wahi kutana na...
Serikali ya Tanzania,
Lini tutaweka nia
Kuhakikisha tunachodhamilia, kinatokea?!
Rushwa ni adui wa maendeleo
Anaitesa Tanzania mawio mpk machweo
Waulize mama ntilie wakujibu kwa kilio,
Halafu huwezi amini inawapendelea wenye vyeo.
Rushwa ni janga
Hatutaweza kujenga
Tukiendelea kujiganga...
Maandiko yanasema Wana wa ngurumo Petro, Yakobo na Yohana hawakuwa na Fedha bali walichokuwa nacho ni "Kumpa yule Mlemavu wa Miguu Kutembea".
Yule mlemavu alikaa pale akiamini Fedha (Madera na tukutuku) ndio uponyaji wake lakini Wana wa Ngurumo wakampa Kutembea (Elimu) naye akasimama na kwenda...
Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao.
Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa sasa. Mawaziri hao wamekuwa na tabia ya kugawa fedha ili Bajeti zao ziungwe mkono kwa mujibu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.