russia

  1. MK254

    Vuguvugu la wanajeshi Warusi walioasi na kujiunga Ukraine dhidi ya Putin - Freedom of Russia legion

    Wengi wanaendelea kuasi na kujiunga kwenye hili vuguvugu, wakiwemo makamanda kabisa, wameona hamna haja ya kuendelea kuteseka kwenye njaa huku wakitumia zana ambazo zenyewe nyingi zimeharibika au kukosa mafuta ilhali wanaliwa shaba na kufukuziwa kwenye nchi ya watu, yote hiyo kisa kumfurahisha...
  2. britanicca

    US to Reduce 40% of its aids to countries which did not vote against Russia in UN council , Tanzania inclusive

    US to Reduce 40% of its aids to countries which did not vote against Russia in UN council , Tanzania inclusive And those who supported aids will be reduced to 100%
  3. Guselya Ngwandu

    Angalia Russia inategemewa kiasi gani na Dunia yote halafu ropoka kwamba Rais Samia napandisha bei ya vitu

    Hizi hapa ni malighafi ambazo Russia wanazisambaza duniani. wanasambaza 8.4 ya mafuta yote Duniani. Mbolea inayotegemewa duniani wao wanategemewa zaidi ya 45% halafu waingie vitani uje kumlaumu Samia kuwa vitu vinapanda bei? MamaYukoKazini ila la mfumuko wa bei , hahusiki. Ingekuwa hivyo...
  4. jingalao

    Ni namna gani vita vya RUSSIA na UKRAINE vimeathiri utalii?

    Tumejionea athari za kiuchumi hususani kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Swali langu ni Je sekta ya utalii Tanzania imeathirika au inatarajiwa kuathirika vipi katika kipindi hiki? Ni kwa namna gani tunaweza kukabili mtikisiko huo?
  5. britanicca

    Russia Vs Ukraine hakuna mshindi wa Vita ila kwa Haraka Urusi amepoteza in reality

    Habari za wakuu hapa ni vema uzi uachwe kuonesha nani kapoteza kwa namna tofaut tofauti, Kuna Nyuzi nyingi Sana hapa ila huu utakuwa wa kitaalamu Na shuhuda nilizoshuhudiwa siyo kwa kusimuliwa Wengi wameeleza chanzo cha Vita hii ila kwa hapa naonesha Matokea tu 1. Mpaka sasa week Jana natoka...
  6. Dr Akili

    Bei ya mafuta ya petroli, dizeli toka Urusi sasa ni $30 kwa pipa. China na India wachangamkia fursa. Kwanini Tanzania isifanye hivyo pia?

    Wahenga walisema, 'Kufa kufaana'. Kwenye kila tatizo linalotokea hapa duniani huwa linafungua fursa kwa baadhi kufaidika nalo. Badala ya kukaa tunalialia linapotokea tatizo, tunapaswa kutazama upande wa pili wa shilingi kwamba tutafaidikaje na hilo tatizo. Hata lile tatizo kubwa la mlipuko wa...
  7. kajekudya

    Somo kutoka Urusi: Ili Taifa lipate mafanikio lazima kuwe na "consistency" kwa viongozi wa wandamizi na nguli

    Hili ni somo ambalo Urusi wamelitumia na likawapa mafanikio makubwa sana hasa ndani ya hii miongo miwili ya Rais Putin. Ni somo ambalo China sasa wamelichukua na naona linaendelea kuwalipa. Hata jirani zetu Rwanda linawalipa. Ni somo la kuwapa viongozi Nguli na waandamizi muda wa kutosha...
  8. Lady Whistledown

    Ukraine: Gavana wa Chernihiv asema Russia haijalegeza mashambulizi licha ya ahadi ya kupunguza mashambulizi

    Gavana, Viacheslav Chaus, alitumia programu ya kutuma ujumbe ya Telegram kukashifu ahadi ya Urusi. "Urusi yaanzisha mashambulizi mapya baada ya ahadi ya amani, Tunaamini ndani yake? Bila shaka sivyo," alisema, akiongeza Urusi ilikuwa imeshambulia Chernihiv "usiku kucha". Siku ya Jumanne, Urusi...
  9. Replica

    Rais Samia: Nimeagiza tozo ya mafuta irudishwe, asema nauli na bei za bidhaa vitapanda. Sababu ni vita ya Urusi

    Leo Rais Samia amepokea ripoti ya CAG Ikulu Dodoma na kuongelea mambo kadhaa ikiwemo suala la mafuta. Rais Samia amesema waziri husika aliondoa tozo ya Tsh 100 kwenye lita ya mafuta bila kuangalia upana wake ikiwemo tayari ilikuwemo kwenye bajeti ambayo ilipitishwa na Bunge hivyo Rais ameagiza...
  10. S

    US: Marekani haiwezi kuziba mahitaji ya gesi ya Russia (mita za ujazo bilioni 150) ipelekwayo Ulaya kwa mabomba

    Ijumaa iliyopita Biden alitangaza kuziuzia nchi za Ulaya (EU) gesi iliyo katika hali ya kimiminika (Liquefied natural gas, LNG) kiasi cha mita za ujazo bilioni 15 ili kupunguza utegemezi wa nchi za Ulaya kwa gesi ya Russia. Tangazo hilo limekuja ktk kipindi ambacho Putin amewaambia nchi za...
  11. L

    Mgogoro wa Russia na Ukraine umeonyesha unafiki wa nchi za magharibi

    Fadhili Mpunji Wakati dunia inaendelea kutafakari kuhusu changamoto zinazosababishwa na mgogoro unaoendelea kati ya Russia na Ukraine, kumekuwa na maswali mengi yanayoibuka, na kufanya watu watafakari udhati na kinachoitwa maadili ya nchi za magharibi (western values), na hata msimamo wa nchi...
  12. T

    Tetesi za siri tusizozijua vita ya Russia vs Ukraine

    Kila mtu anaongea kitu chake ila ipo siri kubwa sana ambayo wanausalama wanaijuwa nawamepiga kimya japo jana Mzee baba Ameamua kujilipua. "For the God Sake Putin cannot remain in Power" Nini dunia haikijuwi na nini dunia ya majasusi wanakijuwa ambacho ni siri nzito. Kwa wale hamjuwi basi sio...
  13. M

    If invassion of Russia on Ukraine is a War Crime,...what do we call invasion of USA in Irac &Afghanstan Etc??

    For decades, the US and its Western allies have been violently and frequently meddling in the Middle East. Beginning with the clandestine overthrow of democratically elected leaders, moving on to financing violent extremist groups, and morphing into full blown invasions of entire countries, the...
  14. GENTAMYCINE

    Media za Tanzania asante kwa kumsifu kupitiliza Rais Samia. Sasa mtupe uchambuzi wa Vita ya Ukraine na Urusi kiuchumi kwa Tanzania

    Nimejaribu kuangalia Media za nchini Rwanda, Kenya na Uganda hasa katika Coverages zao juu ya Vita baina ya Ukraine na Urusi na kugundua ya kwa Wanyarwanda, Wakenya na Waganda wameshaelimishwa na Kuchambuliwa vya kutosha juu ya Vita hiyo tofauti na Tanzania na Watanzania. Kila nikijitahidi...
  15. Nkobe

    Kuuawa kwa majenerali wa Urusi na vita kuchukua muda mrefu ni ishara kuwa jeshi hilo halina uwezo unaosemwa

    Kwa mujibu wa taarifa za ndani ni kwamba Russia ilipanga kuwa imeiteka ikulu ya Kiev ndani ya siku mbili, wapachike vibaraka wao madarakani kisha warudi nyumbani. Lakini sasa hali imekuwa tofauti kama ambavyo ulimwengu umekuwa ukiitizama nguvu ya kijeshi ya Russia. Hadi sasa majenerali 5 wa...
  16. YEHODAYA

    Reporters Without Borders filed a war crimes complaint against Russia with the International Criminal Court (ICC) for the bombing of television towers

    Reporters Without Borders filed a war crimes complaint against Russia with the International Criminal Court (ICC) for the bombing of television towers in Ukraine, a top official with the group said Saturday. Secretary-General Christophe Deloire said on Twitter that a complaint was filed with...
  17. S

    Russia yasema itaishambulia S-300 ya Slovakia itayokuwa ikipelekwa Ukraine

    Leo ijumaa,18 March, Russia imesema kuwa itashambulia msafara wote utakaokuwa wapeleka mfumo wa ulinzi wa anga wa S-300 kwenda Ukraine. Kauli hiyo imejiri baada ya Slovakia kusema ipo tayari kutuma S-300 kwenda Ukraine. Mfumo huo uliombwa na Zelensky kwa Biden hivi karibuni ili kujikinga na...
  18. 2019

    Kwa sisi tunaoamini unabii tunajua kabisa Russia anashindwa vita hivi

    Namuona Putin akikosa kabisa shabaha kabisa ya vita hivi,sio kama anapenda ila tu imeandikwa US na mshirika wake mkubwa UK ndio serikali kuu ulimwengu kwa sasa. Hakuna mnyama mwingine atakaetokeza na kuwazidi nguvu. Kwenye biblia ule mchanganyiko wa chuma na udongo wa mfinyanzi ni serikali...
  19. Comred Mbwana Allyamtu

    Ifahamu USSR (Urusi) iliyokuwa dola-himaya na miliki kuu ya saba ya dunia

    USSR(URUSI) ILIYOKUWA DOLA-HIMAYA NA MILIKI KUU YA SABA YA DUNIA (THE 7th WORLD SUPER-SUPREMACY EMPIRE) KATIKA ULIMWENGU WA KISOSHOLIST (WORLD OF SOCIALISM). Na, Comred Mbwana Allyamtu. URUSI ni moja kati ya nchi zenye historia kubwa saana ya kufurahisha.Kwanza urusi zamani iliitwa Russian...
  20. Bata batani

    Ni kwanini NATO na USA wanaliogopa kundi la Wagner Group kutokea Urusi

    Mara nyingi USA na NATO wamekuwa wakilalamika kuhusu hili kundi la Wagner Group ambalo linasemekana chimbuko lake urusi limekuwa likiwanyima usingizi. sasa hivi taarifa kutoka kwenye taasisi za kijajusi zinasemekana hili kundi ambalo lipo ukraine wamepewa kazi ya kuhakikisha wanamkamata na...
Back
Top Bottom