russia

  1. ward41

    Wa Russia, Uingereza, China, Arab, German, Hindi, Afrika wote wanatamani kuishi USA

    Hata pro Russia, China wote wanatamani kuishi USA. Kwa hiyo tusidanganyane. Beberu USA ataendelea kututawala tu
  2. N

    Mbinu bora za kivita: Russia and Ukraine war case

    Kuna kundi kubwa sana la watu ambao wanapenda kuona, kusoma na kusikia habari za uwanja wa medani hii inatokana na ukweli kuwa vita ndio jambo gumu sana kufanywa na mwanadamu. Katika dunia ya leo kila jambo lina taaluma yake hata vita pia ni taaluma pana inayohusisha mbinu, mikakati, silaha...
  3. Eddo Sambai

    Russia: Magavana 4 wajiuzulu

    Magavana wa majimbo manne ya nchini Urusi wamejiuzulu jana wakati huu ambao nchi hiyo ikijiandaa kukabiliana na athari za vikwazo vya kiuchumi kutoka katika Nchi za Magharibi, REUTERS wameripoti. Majimbo yaliyotajwa kujiuzulu kwa Viongozi hao ni pamoja na Tamsk, Saratov, Kirov na Mari El ambapo...
  4. S

    Kamanda wa kikosi cha Marine wa jeshi la Ukraine Colonel Volodymyr Baraniuk na mwenzake Colonel Dmytro wakamatwa na majeshi ya Urusi

    Kamanda (kiongozi anayeamuru na kutoa kamandi za kijeshi) wa kikosi cha Marine ktk jeshi la Ukraine Colonel Volodymyr Baraniuk pamoja na afisa mkuu wa kijeshi Colonel Dmytro Kormiankv wamedakwa na majeshi ya Russia walipokuwa viongozi hao wakitoroka toka kwenye kiwanda walipokuwa wamejificha...
  5. S

    Yule Sniper Bora Duniani wa Canada (Wali) aliyeenda Vitani Ukraine kupigana na majeshi ya Urusi aelezea namna alivyopambana Ukraine

    Wali ni mwanajeshi mstaafu wa kikosi maalumu cha Jeshi la Canada (The Royal 22nd Regiment). Baada ya Zelensky kuomba msaada wa wapiganaji toka Duniani kote, Wali aliamua kuitikia wito huo. Vyombo vya habari mbali mbali Ulimwenguni vilielezea wasifu wa Wali kwenye field yake kuwa ni sniper namba...
  6. L

    Marekani yapeleka chuki ya dhidi ya Russia kwenye mkutano wa kundi la nchi 20

    Fadhili Mpunji Mgogoro wa Ukraine unaendelea kufichua hali ya umwamba kwenye siasa za kimataifa, ambao sasa umefikia hatua ya nchi moja kuzilazimisha nchi nyingine kufuata msimamo wake, na kufanya vitendo vya kulenga nchi zisizokubaliana na hali hiyo. Kwa baadhi ya nchi za magharibi, dhana...
  7. britanicca

    Watanzania wengi wanamuunga mkono Urusi wakidhani ni USSR, siyo na mjue Urusi hana msaada aliowahi toa Kwa Tanzania

    Watanzania wengi wanamuunga mkono Russia, wakidhani ni USSR. Hawajui kuwa wanachanganya kati ya Russia na USSR. Russia na USSR ni vitu viwili tofauti ingawa historia inaonyesha Russia aliwahi kuwa sehemu ya USSR, lakini nje ya USSR. Russia hakuwahi kuwa na msaada kwa Tanzania na waafrika...
  8. britanicca

    Intelligence ya UKRAINE inaitesa Urusi, tangu kuanza kwa wiki hii Urusi alianza kuonekana na uhakika na ushindi wa Azovstal, kumbe kachezewa akili

    Kwakweli Urusi kashindwa vita asubuhi na mapema , Zelensky jana amesema sasa hivi hakuna vita itakayosimama hadi Russia aondolewe Ukraune au aondoke. Halafu ule mchezo wa pale Azovsta ulipangwa, wale wanajeshi wa Ukraine walijitolea muhanga na hivyo kuwa tayari kwa lolote. Lengo lilikuwa ni...
  9. MakinikiA

    Wanasubiriwa raia watoke katika kiwanda cha vyuma Mariupol kisha vitu vizito vya Urusi vinadondoshwa kwa askari 2000 wa Ukraine waliopo

    Vita Ukraine: Raia wa Ukraine waokolewa katika kiwanda cha kutengenezea vyuma Mariupol ikumbukwe ni kama wiki mbili zimepita wakiwa chini ya handaki raia 1000 na askari 2000 na tangu Putin alivyotaka askari wa ukraine wajisalimishe wakagoma ndipo Putin akaagiza hakuna kitu chochote kutoka au...
  10. S

    Kwa akili ya kawaida, itawezekana nchi za Ulaya Magharibu na Marekani kuiruhusu Russia kuikalia Ukraine au kuweka kibaraka wake?

    Nitakuwa wa mwishi kuamini hili litatokea kwa usalama wa nchi za NATO na Marekani maana kufanya hivyo, ni kuweka usalama wa nchi hizo rehani jambo ambalo kamwe hawatalikubali na ndio maana wanalazimika kumsaidia Ukraine wazi wazi hivi sasa. Hii vita inaweza kuchukua muda mrefu kinyume na...
  11. britanicca

    Nimeishi Urusi najua Tamaduni zake, pamoja na Ukubwa wa Jeshi lake Rushwa ndiyo inawafanya wasikamilishe malengo kwa muda

    Nimekuwa Russia tokea mwaka 2008 hadi 2011 alafu nikaenda Peru Na baadae kurejea Russia 2013 Russia ina rasilimali nyingi sana, ardhi hakika imebarikiwa. Russia ina historia, Russia ina utamaduni. Russia ina watu washindani wenye kuichangamsha dunia kwa kuipa ladha. Tatizo kubwa linaloiumiza...
  12. Vikao vya Harusi

    Vita ya Ukraine na kisasi cha USA kwa Urusi

    Nimetafakari sana juu ya misada inayotolewa kila uchao na Marekani kwenda Ukraine, na jambo Moja limenijia kichwani, VITA YA SYRIA, tunakumbuka wakati utawala wa Assad ulivyokaribia kuporomoka Baada ya kupata mashambulizi mazito Toka Kwa ISIS(ISLAMIC STATE OF IRAQ AND SYRIA), kundi la kigaidi...
  13. britanicca

    USA tells Russia : If you are wise America is a phenomena to avoid in war, if you want war with USA prepare someone to raise your Children

    Alisikika akisema Mkuu wa majeshi ya Marekani Anasema Marekani ni Taifa kuliko watu wanavyodhani anasema huu ujumbe nadhani Urusi, Iran, IS na North Korea wanaangalia , Kama una akili timamu Amerika ni Nchi ya kuikimbia kwenye vita maana imeona vita, imecheza vita na unajua vita na haipendi...
  14. Narumu kwetu

    Hawa Marekani na Urusi si haba wana lao tusilolijua

    Yani mmarekani na urusi ni mataifa yanayoonekana maadui sana ila nimeshaanza kuhisi kuna jambo zito tunapigwa changa hapa. Juzi puttin katest Soviet-era Voevoda ICBMs a.k.a Satan 2,ni Bomu hatari lenye uwezo wa kubeba vichwa zaid ya kumi vya nyuklia kwa umbali wa km18,000/=,lakini hili Bomu ni...
  15. JanguKamaJangu

    Urusi imefanya jaribio la kombora la nuclear

    Russia imefanya jaribio la kombora la nuclear, ambalo Rais wa Nchi hiyo, Vladmir Putin amesema kwamba litawafanya maadui wao kuacha kuwafikiria. Jaribio hilo limefanyika miezi miwili tangu Russia ilipoivamia Ukraine. Putin alionekana kwenye televisheni akiambiwa na wakuu wa jeshi kwamba...
  16. Narumu kwetu

    Mbinu ya Russia kuivamia Ukraine ilikuwa kali sema ya kizamani

    Urusi kiukweli wameonesha umahiri wa kutumia mbinu za enzi ya kina hitla na dola la kirumi katika uvamimizi.Kabla sijaelezea mbinu hizo naomba ufahamu kuwa Urusi haikua na malengo ya kuivamia Ukraine yote,bali ililenga maeneo ya eastern part yaliyopakana na mipaka yake ,lengo ikiwa ni...
  17. beth

    Rais Zelensky aomba mazungumzo na Umoja wa Afrika (AU)

    Rais wa Senegal ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, Macky Sall amesema Rais wa #Ukraine, Volodymyr Zelenksy ameomba kuzungumza na Umoja huo. Wito huo unakuja kukiwa na mgawanyiko kuhusu uvamizi wa Urusi. Nchi nyingi za Afrika zimeonesha kutofungamana na upande wowote katika vita ya...
  18. beth

    Uchumi wa Ukraine kuporomoka kwa 45.1% kutokana na vita

    Kwa mujibu wa Tathmini mpya ya athari za kiuchumi za vita ya Urusi na Ukraine, Uchumi wa Ukraine unatarajiwa kuporomoka kwa 45.1% Mwaka 2022 Tathmini hiyo ya Benki ya Dunia (WB) inasema uvamizi wa Urusi umelazimisha biashara kufunga, kupunguza mauzo ya nje na kuharibu mifumo ya uzalishaji...
  19. Dr Akili

    Mafuta na gesi ya Russia yaendelea kwenda kwa wingi India, China na nchi za EU. Hizo za ulaya wanayanunua kwa rubles

    Sasa ni wiki sita tangu vita ya Russia vs USA inayopiganiwa Ukraine ianze. Hakuna dalili ya vita hii kumalizika siku za karibuni. Na kuna uwezekano wa kugeuka kuwa vita ya kinuklia mbaya ambayo haijawahi kutokea hapa duniani. Kabla ya vita hii, India ilikuwa inanunua asilimia 2 hadi 5% tu ya...
  20. 5

    US kutoshiriki mikutano ya G20 kama Russia atashiriki, Biden aliomba Russia itolewe

    Wadau hii imekaaje Waziri huyu Bibi Janet Yellen anasema US haitashiriki mikutano ya G20 kama Russia atashiriki, naomba athari za Russia kutoshiriki G20 maana huyu jamaa naona anabanwa kila anapochomoza pua. Naomba kutanguliza shukurani
Back
Top Bottom