Jeshi limethibitisha kuondoka katika Mji wa Mashariki wa Lysychansk unaoripotiwa kuwa mikononi mwa Wanajeshi wa Urusi. Rais Volodymyr Zelensky amesema Vikosi vya Ukraine vitarejea, na silaha za masafa marefu zitawawezesha kudhibiti eneo hilo
Awali, Waziri wa Ulinzi wa Urusi, Sergei Shoigu...
The United Kingdom-based Telegraph media outlet is reporting that the escalating global food crisis is an inside job perpetrated not by Russia but by corrupt Western powers.
The UK is essentially the ringleader, the Telegraph claims, along with the United States. Both of these...
Mahakama ya Ulaya ya Haki za Binaadamu (ECHR) imeitaka Urusi kuzuia hukumu ya kunyongwa kwa raia wawili wa Uingereza waliohukumiwa kifo katika eneo la Mashariki mwa Ukraine.
Waingereza hao Shaun Pinner na Aiden Aslin waliohamishia makazi yao Ukraine na kujiunga na jeshi la Nchi hiyo mwaka 2018...
Kirsten Robertson Wednesday 29 Jun 2022 11:15 am
Vladimir Putin could strike across Europe, say British politicians (Picture: Reuters)
Britain’s defense secretary has said that ‘lunatic’ Vladimir Putin poses a ‘very real risk’ to the rest of Europe.
Ben Wallace’s comments come amid calls for...
The war in Ukraine would never have happened if Vladimir Putin was a woman, Boris Johnson has claimed.
The prime minister says the onslaught is a ‘perfect example of toxic masculinity’ and has called for more females to be given top roles.
His remarks follow one of the Kremlin’s top...
One of Vladimir Putin’s favorite propagandists has taunted Boris Johnson to declare war on Russia while mocking him for having ‘no hint of macho'
True to form, he began by falsely claiming that Mr Johnson ‘says he’ll deliver tanks [to Ukraine] in August’.
The UK has donated a small number of...
Russia has launched fresh attacks on the Ukrainian capital Kyiv for the first time in weeks, as 14 missiles targeted residential buildings.
Emergency services were seen battling flames and rescuing civilians from the blasted out windows of burning apartments after large bangs shook the city at...
Super pawa la Kibisa. linapelekeshwa
Walishindwa kuiteka kyev ilio lindwa Kwa Javellina tu.
Wamekimbilia sehem ambapo palishaoza napo bado wanahenya kupachukua.
Walitegemea Ukraine itaweka nguvu zote pale Donbass na kuacha sehemu kubwa ya Ukraine au kyiv haina Ulinzi wa kutosha. Mayokeo yake...
Hawa jamaa ukipigana nao wakiona unawashinda wanakimbilia kuharibu makazi ya watu,mahosptali ,mashule,ilimrad tuu kukomoa.
Waziri wa ulinzi wa Russia kuna kipind alinukuliwa akidai wakichokozwa wako tayari kulipua satellite zote duniani ,hivi hii mijamaa kama vita hawawezi si waache kuharibu...
Hawa jamaa leo wanataka kufanya jambo la kihistoria yaani kumwingiza Ukraine kwenye umoja wa Ulaya kama V.I.P membership wiki hii, kumbuka kuwa membership huchukua had miaka 5, hivyo Ukraine anapita directly bila mlolongo.
Kwa nini wanafanya hivi? Nia kubwa ni kutaka kuingia kumchapa mrussi...
Urusi hakuna future tena, baada ya mabilioner kuikimbia wanafuata wanamichezo
======
(CNN)Russian-born tennis player Natela Dzalamidze has changed her nationality to Georgian to avoid the ban Wimbledon imposed on all Russian players following the country's invasion of Ukraine.
The doubles...
UPI MUSTAKABALI WA KITUO CHA ANGA CHA ISS MARA BAADA YA RUSSIA KUWEKEWA VIKWAZO LUKUKI NA WASHIRIKA WENZAKE EU NA MAREKANI
Maswali Mengi tumekuwa tukijiuliza Sana juu mustakabali wa kituo Cha iss ambapo kituo hichi kimekuwa kikishirikisha ushirikiano wa mataifa kadhaa makubwa katika pande...
Rais wa China, Xi Jinping ameahidi kuendelea kumuunga mkono Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika masuala ya msingi hasa Uhuru na Usalama.
Kauli hiyo imetolewa baada ya viongozi hao kuzungumza kwa njia ya simu, ikiwa ni mara ya pili kufanya hivyo tangu kuanza kwa vita ya Urusi dhidi ya Ukraine...
Hawa jamaa hawataki utani kabisa, baada ya Cocacola kususa na kusepa wakaanzisha yao.
Sasa wameanzisha MacDonald food chain yao na inafanya poa sana, hii inareplace MacDnald ya US iliyosepa.
Hii ndio maana halisi ya transfer of knowledge, mmiliki mpya alikuwa mbia wa MacDonald na alibakisha...
Bei ya Umeme yapanda na kuwa sh.357 kwa unit 1. Naipongeza serikali kwa hatua hii
Ni miaka mingi imepita bei ilikua haijapanda, huku gharama za uendeshaji zikiongezeka maradufu.
Pia hii sh. 357 ni ndogo sana, Serikali ilipaswa kuweka sh 700 kwa unit 1 ili kuweza kuleta tija kwenye shirika hili...
Hawa jamaa wanataka Waafrika tufe kwa njaa kwa sababu ya manufaa yao? Ni wakati Africa kufanya mambo yetu bila kupangiwa wala kushinikizwa na mataifa mengine
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
========
U.S. officials are cautioning African countries against buying grains plundered from Ukraine as some nations...
"Marekani kutoa sheria inayolenga kuziadhibu nchi za Afrika ‘zinazofungamana’ na Russia." Hiki ni kichwa cha makala moja iliyochapishwa hivi karibuni katika gazeti la Nigeria Premium Times. Wakati huohuo, Gazeti la Daily Maverick nchini Afrika Kusini pia lilionya kuwa sheria hiyo inaweza...
Nimeshikwa na butwaa kusikia mwandishi wa habari za saa 1 jion leo anatangaza kwamba AU waionya Russia kuhusu Vita ya Ukraine, hivi Afrika wanawezaje kumuonya Russia ,Hawa watangazaji lazima makanjanja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.