ruto

Ruto, or Rutto, is a surname of Kenyan origin that may refer to:

Evans Rutto (born 1978), Kenyan marathon runner and two-time winner of the Chicago Marathon
Isaac Ruto, Kenyan politician for the United Republican Party
Paul Ruto (born 1960), Kenyan middle-distance runner and 1993 world champion
Ronald Kipchumba Rutto (born 1987), Kenyan steeplechase and marathon runner
William Ruto (born 1966), Kenyan politician and Deputy President of Kenya

View More On Wikipedia.org
  1. Kenya 2022 Marekani yampongeza William Ruto kwa ushindi wa kuwa Rais

    Serikali ya Marekani imetuma ujumbe wa pongezi kwa Rais Mteule wa Kenya, William Ruto baada ya Mahakama ya Upeo kuidhinisha ushindi wake. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Anthony Blinken amesema anatarajia ushirikiano wa Kenya na Marekani utaimarika chini ya uongozi wa Ruto. Aidha, Marekani...
  2. Kenya 2022 Ruto: Nina miezi sijazungumza na Rais Kenyatta

    Rais mteule wa Kenya, William Ruto ameweka wazi kuwa hajazungumza na Rais Uhuru Kenyatta kwa miezi sasa huku akiahidi kuwa atampigia simu kuzungumza naye. Ruto amesema hayo muda mfupi baada ya Mahakama ya Juu nchini Kenya kutupilia mbali maombi ya kikatiba yalifunguliwa wiki iliyopita na...
  3. Kenya 2022 Rais Kenyatta aahidi kukabidhi Madaraka kwa amani

    Rais amewahakikishia Wakenya kuwa ataheshimu uamuzi wa Mahakama ya Juu ulioidhinisha kuchaguliwa kwa Naibu Wake, William Ruto kuwa Rais Mteule. Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Kenya imesema Rais Uhuru atahakikisha kuwa kutakuwa na makabidhiano Madaraka kwa amani na kwamba mchakato huo tayari...
  4. Kenya 2022 Hatua na Mchakato wa kuapishwa kwa Ruto Septemba 13, 2022

    Naibu Rais William Ruto anatarajia kuapishwa kuwa Rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya kufuatia uamuzi wa Mahakama ya Juu zaidi wa kuidhinisha ushindi wa uchaguzi huo. Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya ya 2010, Ruto ataapishwa mnamo Jumanne, Agosti 13 katika uwanja wa Kasarani. Kifungu cha 141 kuhusu...
  5. Kenya 2022 Ruto: Watu wengi walijiunga Azimio kutokana na kupewa vitisho

    Rais Mteule wa Kenya, William Ruto amesema watu wengi walijiunga na Umoja wa Azimio kutokana na kupewa vitisho na sio kwa kupenda. Amesema anafahamu hali hiyo iliwafanya wahamie upande mwingine lakini kwa kuwa sasa Mahakama imetoa uamuzi, basi wana uhuru wa kurejea au kwenda wanapotaka kwa kuwa...
  6. Kenya 2022 Hoja 9 za Mahakama ya Juu zilizoidhinisha ushindi wa Rais Mteule William Ruto

    1. Teknolojia iliyotumwa na IEBC kwa uendeshaji wa uchaguzi mkuu wa 2022 iliafiki viwango vya uadilifu, uthibitisho, usalama na uwazi ili kuhakikisha matokeo sahihi na yanayoweza kuthibitishwa. (Kwa kauli moja. Jaji Mkuu Martha Koome, Naibu Jaji Mkuu Philomena Mwilu, Mohammed K Ibrahim, Njoki...
  7. Kenya 2022 Hongera Rais wetu mpya, Dkt. William Ruto

    Japo sikukupigia kura, na binafsi haujanishawishi ila Wakenya walio wengi walifaulu kukuchagua, inabidi tukubali maamuzi ya wengi ila tulio wachache tusiklizwe pia. Nakumbuka kitambo nikiwa kijana, nilikua mmojawapo wa vijana tuliokusanyika pale Eldoret kukushangilia siku ya kwanza ulipotangaza...
  8. Mahakama yatupilia mbali Rufaa ya Odinga, yakubali Ruto ameshinda kihalali Urais wa Kenya, leo Jumatatu Septemba 5, 2022

    MARTHA KARUA: NAHESHIMU MAAMUZI YA MAHAKAMA ILA SIKUBALIANI NAYO Aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Azimio la Umoja katika Uchaguzi wa Urais Kenya, Martha Karua amesema anaheshimu maamuzi ya Mahakama lakini hakubaliani nayo. Mahakama ya Upeo imetangaza kupitisha matokeo yaliyompa ushindi William Ruto...
  9. Kenya 2022 Ruto: Maamuzi ya mahakama tunamuachia Mungu

    "Sisi ni watu ambao tunamtambua Mungu, maamuzi yatakayoenda kutolewa kesho tumemuachia Mungu na viongozi wa mahakamani waamue na kenya iweze kwenda mbele". "Mimi naomba kwa heshima kubwa mumuombee Kenyatta hasa katika kipindi hiki cha transition, Mungu amsaidie ampatie hekima, kuwe na...
  10. N

    Kenya 2022 Ruto atashinda kesi, double agent kamuangusha Raila Odinga

    Naam ile nchi jirani iliyojipambanua kwamba ina majaji wenye akili timamu na judiciary yenye nguvu jumatatu inaweka historia nyingine kwa kuendesha kesi nzito ndani ya siku chache na kutoa maamuzi Kesi hiyo ambayo kuna baadhi ya nchi majaji kama wangepewa waisikileze basi kila dakika...
  11. Hatimaye Shaban Robert mwandishi nguli aeinziwa Kenya na mawakili wa Dr. Ruto

    Wasalam wana JF Je ni kweli Raila anaifanya Kenya kuwa nchi ya Kusadikika? Si maneno yangu bali ya mawakili wa Ruto kama video inavyojieleza
  12. Kenya 2022 Mapingamizi ya uchaguzi wa Rais Kenya: Yanayoendelea Mahakama ya Juu

    Ratiba kamili ni hii hapa chini, ikionesha jinsi mtiririko wa matukio ulivyokuwa, kuanzia kupeleka malalamiko mpaka usikilizwaji wa kesi yenyewe. Leo tarehe 30/8/2022 tukio linalofanyika ni mkutano wa uwasilishaji malalamiko kabla ya kesi (pre trial). Kesho tarehe 31/08/2022 ndipo kesi itaanza...
  13. Kenya 2022 Jaji Mkuu ataja Hoja 9 zitakazoamua mustakabali wa Urais wa Ruto

    Hoja hizo zilizotajwa na Martha Koome, zitaamua Uhalali au Ubatili wa Matokeo ya Urais ni:- 1. Iwapo Teknolojia iliyotumiwa na Tume ya Uchaguzi (IEBC) kwenye Uchaguzi Mkuu ilifikia viwango vya Uadilifu, Uthibitisho, Usalama na Uwazi ili kuhakikisha matokeo sahihi na yanayoweza kuthibitishwa...
  14. SI KWELI William Ruto awachochea Wakalenjin dhidi ya Wakikuyu

    Video moja iliyowekwa kwenye mtandao wa Facebook inadai kuwa Naibu Rais wa Kenya William Ruto "ameichochea" jamii yake ya Wakalenjin dhidi ya Wakikuyu wakati wa mkutano wa kampeni kabla ya uchaguzi wa Agosti 9 2022. Katika kipande hicho cha video kilichochapishwa tarehe 29 Julai, Ruto...
  15. M

    Kenya 2022 Raila Odinga anatapatapa: Ameibuka na hoja tofauti, sasa anadai Ruto hakufikisha kura 50% + 1

    Ruto did not attain 50+1 threshold, Azimio says in court papers! Matokeo ni haya hapa: Last updated: 15/08/2022, 18:59:28 local time (GMT+3) Final results from IEBC Candidates Vote William Ruto 50% 50.5% 7,176,141 Raila Odinga 48.8% 6,942,930 Other Candidates 0.6% 93,956...
  16. Kenya 2022 Mzee Odinga Kaamua: Kwa hizi Evidence Ruto Atapona kweli?

  17. Ruto Alikuwa Ni Mchungaji VIDEO | PICHA

    Picha za zamani za Ruto akiwa katika kazi ya kutangazwa Injili
  18. Kenya 2022 Kambi ya Ruto haijafurahishwa na ukimya wa Rais Kenyatta

    Ukimya wa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kuhusu ushindi wa William Ruto imedaiwa haupokewi vizuri na kambi ya Ruto licha ya maandalizi ya maandalizi ya makabidhiano ya ofisi kuendelea kwa amani. Rais Kenyatta amekutana na vingozi wa dini Ikulu na kuwaaga akiwaeleza makabidhiano yatafanyika kwa...
  19. B

    Ruto ana funzo kwetu dhidi ya walamba asali

    Walamba asali wamejisahau. Wamedhani sisi tunayo furaha mno wao na familia zao wakiendelea kujimilikisha nchi na kujineemesha. Tozo hizi wanazo turundikia sisi, zina ridhaa gani nasi? Ruto na jamii ya Wakenya iliyochoka mno na madhila kama ya kwetu, ilisimama imara vilivyo kuwakataa walamba...
  20. Kenya 2022 Ruto alaumiwa kurubuni wapinzani

    Muungano wa Azimio la Umoja nchini Kenya, uliomsimamisha Raila Odinga kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu, uliofanyika Agosti 9, 2022, umemtuhumu Rais mteule Dk William Ruto kwa kuwarubuni wabunge wake ili waunge mkono muungano wa Kenya Kwanza anaouongoza. Kauli hiyo imetolewa na Msemaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…