Mzee wa miaka 70, Bw.Seif Mwangaeka mkazi wa Kijiji cha Mkurumusi, wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, amefariki dunia akiwa kwenye kituo cha kuuzia mbolea ya Ruzuku cha Kigonsera na kusababisha kituo hicho kufungwa kwa siku moja kuomboleza kifo hicho.
CHANZO: ITV