rwanda

  1. Jaji Mfawidhi

    Mapinduzi Cup imeoza, mshindi amepangwa. Rwanda kutoshiriki tena? Simba inatolewa leo kwa Maelekezo?

    Baada ya APR kunyimwa goli lililoonekana ni halali likifungwa na mchezaji Shiboub aliyewahi kuchezea Simba Sports. Baada ya mechi kocha wa APR alilalamika kubebwa waziwazi kwa timu ya nyumbani Mlandege jambo ambalo si la kiuanamichezo na kwa kuzingatia heshima ya mashindano hayo yanayoshirikisha...
  2. GENTAMYCINE

    Kwa Dhamira yao Ovu ya kutaka Kuivamia Israel ya Afrika (Rwanda) naona Tshisekedi na Ndayishimiye wamechoka Kuishi

    Nasikia kuna Rafiki yao Mwingine 'Taifa Nafiki Nafiki' la Afrika Mashariki nao Kisirisiri watakuwa Wanawasaidia Congo DR na Burundi katika Kuipiga Israel ya Afrika ( Rwanda ) ya Military and Intelligence Genius Rais Paul Kagame hivyo GENTAMYCINE nachukua nafasi hii Kuwaonya kwani hawatoamini kwa...
  3. F

    Tetesi: Congo DRC na Burundi wanadaiwa wapo mbioni kuivamia Rwanda

    Kumekucha. Kuna habari nimeipata kutoka chanzo nyeti kuwa Congo DRC na Burundi zinajipanga kuishambulia Rwanda. Haijabainika tarehe halisi ya mashambulizi na uvamizi ila chanzo hicho kimedai ni Kati ya mwezi February au March 2024. Inadaiwa vyombo vya ujasusi nchini Rwanda vimepata habari hizi...
  4. sky soldier

    Ni kweli kwamba Rwanda kuna ukabila uliokithiri na ubaguzi?

    Naambiwa kwamba Watutsi ni kundi la watu wachache sana lakini wao ndio wameshikilia vyeo vingi serikalini, jeshini, sehemu zao zinaendelezwa, n.k. huku Wahutu ambao ni karibia asilimia 85 ya nchi wana maendeleo duni na kubaguliwa kwenye vyeo, kuna ukwel?
  5. uran

    TANZIA Anne Rwigara afariki dunia. Ni dada wa Diane aliyejaribu kugombea Urais dhidi ya Kagame. Mama asema kifo hicho ni fumbo

    Anne Rwigara wa Rwanda amefariki dunia huku Mamake Anne alinukuliwa akisema kifo cha bintiye kilikuwa "fumbo" kwani hakuwa mgonjwa. Vyanzo kadhaa vinashiriki maelezo ya kuhuzunisha ya kifo chake, vikidai kwamba baada ya masaa nane ya kulalamika kuhusu maumivu ya tumbo, viungo vingi vya mwili...
  6. JanguKamaJangu

    Uchaguzi Mkuu wa Rwanda kufanyika Julai 15, 2024

    Tume ya uchaguzi ya Rwanda imetangaza kuwa Uchaguzi wa Rais na Wabunge unatarajiwa kufanyika Julai 15, 2024 ambapo Rais Paul Kagame anatarajiwa kuwania mhula wa nne. Tume hiyo kupitia ujumbe wa X imesema kwamba uchaguzi wa rais pamoja na wajumbe 53 waliochaguliwa na vyama vya kisiasa, au...
  7. Mediaty

    Mziki wa Rwanda

    Binafsi, napenda sana muziki - kusikiliza, kuimba nk. Tuzungumzie mziki wa Rwanda leo. Rwanda ni nchi ndogo sana lakini imejaliwa wasanii wazuri sana, wenye sauti (Meddy,Okkama, Marina, Afrique, The Ben, Nillan, Chris Eazy, Bruce Melody nk.) Wote hao wana mziki mzuri sana bila kusahau vocal...
  8. ChoiceVariable

    Rwanda imeweza kutangaza Utalii kwenye klabu kubwa za Ulaya (Arsenal na Bayern). Tanzania inakwama wapi?

    Kama Rwanda yenye size ya Mkoa wa Mtwara inaweza kutangaza Utalii wake kwenye kwa kufunga mikataba ya Utalii na Klabu kubwa kama Arsenal na sasa Buyern Munich, hivi Tanzania inashindwa wapi? Halafu unawasikia wale wanaojiita Viongozi wa Wizara eti wakisema Tanzania itafikisha watalii mil.5...
  9. SAYVILLE

    Kwanini Simba ilisitisha kuvaa nembo ya "Visit Rwanda" kwenye African Football League?

    Watanzania tuna hulka ya kupuuzia mambo ya msingi na kuna katabia kalijengwa na kameota mizizi ambapo ukihoji ukagusa maslahi ya watu fulani wanajaribu kukunyamazisha unaambiwa "acha ujuaji". Matokeo yake watu wanaogopa kuuliza maswali ya msingi na makosa yanajirudia kama siyo matatizo kuwa...
  10. BARD AI

    Rais Kagame: Ni Ruksa wa Raia wa Nchi yoyote ya Afrika kuingia Rwanda bila Viza

    Siku chache baada ya Rais William Ruto kutangaza kuwa Kenya itafuta utaratibu unawalazimu Raia wa Nchi zote Afrika kuingia nchini humo kwa kutumia Viza hadi kufikia mwishoni mwaka 2023, Rais Paul Kagame wa Rwanda ametangaza kuwa Raia wa Nchi zote za Afrika hawahitaji tena kuwa na Viza kuingia...
  11. T

    Angalia tofauti ya Rwanda na Tanzania kwenye masuala ya utalii. Tanzania tuna cha kujifunza kutoka Rwanda

    Kwanza tuanze na takwimu za kijiografia. Rwanda ni ndogo kuliko mko wa Tabora. Rwanda ina ukubwa wa Kilomita za mraba elfu 26, Tabora ina ukubwa wa mraba kilomita elfu 29. Rwanda ina watu wasiozidi milioni 12. Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61. Rwanda haina mbuga ya wanyama wala vivutio...
  12. Roving Journalist

    Rais Samia ashiriki Mkutano wa 23 wa Kimataifa wa Baraza la Utalii Duniani, leo Novemba 2, 2023 Rwanda Convection Centre (KCC) - Kigali, Rwanda

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan atashiriki Mkutano wa 23 wa Kimataifa wa Baraza la Utalii Duniani leo tarehe 02 Novemba, 2023 Rwanda Convection Centre (KCC) - Kigali, Rwanda. https://www.youtube.com/live/0hpKdPc8ajI?si=ljU2SQWILAiEI3gQ === Mhe. Rais Samia...
  13. JanguKamaJangu

    Rwanda yaipa Gaza msaada wa chakula, dawa na vifaa vya matibabu

    Serikali ya Rwanda imetuma Tani 16 za msaada wa Vyakula, dawa za binadamu, vifaa vya matibabu kwa Watu wa Gaza Nchini Palestina kutokana na vita inayoendelea baina ya Israel na Kundi la Hamas. Naibu Msemaji Mkuu wa Serikali ya Rwanda, Alain Mukuralinda amesema misaada hiyo imefikishwa kupitia...
  14. Hance Mtanashati

    Naona Team XXL wameenda Rwanda kuwanga kweupe

    Naona Clouds media wametuma wawakilishi wao kwenda Rwanda Kigali kwenye usiku wa tuzo za Trace Music Awards Festival zinazofanyika hii leo. Clouds media kupitia team XXL naona wameshikilia sana bango hili suala ,yani haipiti dakika wameshampost Diamond Platnumz, ukifumba na kufumbua...
  15. Analogia Malenga

    Tanzania imepata ukuaji mdogo wa GDP ukilinganisha na Rwanda na Uganda kuanzia mwaka 2021

    Katika ripoti ya NBS inayoonesha masuala mbalimbali ya GDP kwa kipindi cha kuanzia April hadi Juni 2023, imeonesha ukuaji wa GDP wa Tanzania umeshuka ukilinganisha na Rwanda na Uganda. Tanzania imefananishwa na Rwanda na Uganda kwa kuwa ndio nchi pekee katika Jumuiya ya Africa Mashariki...
  16. GENTAMYCINE

    Wakati Rwanda na Saudi Arabia wako 'busy' kujitangaza Kiutalii AFL wenyeji wao wanabung'aa bung'aa tu!

    Asanteni sana marafiki zangu mlioko South Africa, Uganda, Uingereza, Ufaransa, Marekani, China, Germany, Israel na Sweden mlioniuliza ni kwanini kila mkiingia karika kurasa za Mitandao kujua kuhusu hili Kombe jipya la African Football League (AFL) linaloanza Siku ya Ijumaa hapa Tanzania (Timu...
  17. BARD AI

    Mratibu wa Miss Rwanda afungwa jela miaka 5 kwa kuwaomba Rushwa ya Ngono washiriki

    Hatua hiyo inakuja ikiwa ni miezi 10 imepita tangu Dieudonne Ishimwe, mwanamuziki wa zamani maarufu kama Prince Kid, afutiwe mashtaka ya ubakaji na kuwaomba Rushwa ya Ngono Washiriki wa Shindano hilo. Disemba 2023, Hakimu alitoa hukumu ya awali dhidi ya Ishimwe inayoonesha hakuwa na hatia...
  18. Z

    Rwanda wanaenda kuua na kuiba madini DR Congo

    Nchi ya Rwanda inajitapa kuwa Ina uchumi mkubwa na maendeleo makubwa baada ya vita ya 1914 kumbe wanaenda kuua na kuiba madini DRC. Soma makala hii hapa chini ==== Rwanda is the ‘Wild West’ and should be removed from the mineral supply chain Mining industry elites use...
  19. MSAGA SUMU

    Kabwili akiwasha Rwanda, anaidai Rayon Sports mil 600. Kesi iko mezani FIFA

    FIFA has sanctioned Rwanda's CAF Confederation Cup campaigners Rayon Sports from registering new expatriate players. The directive from the world football governing body came after the club refused to pay Tanzanian goalkeeper Ramadhani Kabwili who left in April. The player joined Rayon from...
  20. Dr Akili

    Rwanda ifikapo 2026 watakuwa na umeme wa nyuklia wa bei nafuu na uhakika. Sisi tunashindwa nini wakati madini ya nyuklia tunayo kibao?

    Jirani zetu Rwanda wameanza ujenzi wa vinu vya kisasa vya nuclear ambavyo ifikapo mwaka 2026 vitakuwa vinazalisha umeme wa uhakika wa bei nafuu. Vinu hivi vitazalisha pia mafuta na bidhaa nyingine. Vitaiwezesha Rwanda kuwauzia umeme nchi jirani kama Tanzania. Sisi tuna madini ya nuclear kibao...
Back
Top Bottom