rwanda

  1. Jidu La Mabambasi

    UVCCM Chato, kauli mlizotoa kwa Lissu zinaweza kuwa chanzo cha vurugu za kisiasa nchini

    Mambo ya kijinga huwa yanaanza hivi hivi kiutani. Kilichofanyika Chato na UVCCM kwa mtu asiyeona mbali, utafikiri ndio siasa zenyewe lakini mambo yanaweza kulipuka beyond control. Siasa za vyama vingi zipo kisheria na sasa ni sehemu ya katiba yetu inayotawala. Matamshi tuliyosikia kutoka...
  2. Mohamed Ismail

    Mauaji ya Kimbari Rwanda

    Anaandika Mo Mlimwengu. Yule bwana aliyesema mwenda bure si mkaa bure kuna kitu alikiona. Mgagaa na upwa siku zote huwa hali wali mkavu. Mlimwengu mimi nikaona itakuwa dhambi kubwa kwangu kufika Rwanda na nisifike kwenye eneo ambalo kuna historia ya mauaji ya kimbari. Wakati nafika eneo la...
  3. OKW BOBAN SUNZU

    MVP wa Cameroon na Rwanda kwenye picha ya pamoja

    Sio kwa ubaya lakini. Mnatuchukia kwani kosa letu ni nini?! 😀😀😀 Nunueni jezi kwanza ndio mpate hela ya usajili
  4. V

    Mkataba hauifungi DP World isiwekeze Congo na Rwanda. Waliizunguka Djibouti mizigo ya Ethiopia na Somalia ikawa kesi

    Associated Press Djibouti walicheza ngoma bandarini siku ya kwanza. Leo Djibouti wanalia machozi, DP World wamefukuzwa, Djibouti wanasema wameibiwa, wamelipa madola ya mafaini na magharama ya kesi za kimataifa. Hukumu ya siku za karibuni ilitoka mwezi May 2023 Washington DC. Kesi mahakamani...
  5. Webabu

    Bila DP World tutabaki nyuma ya Rwanda daima

    Nimemsikiliza Rostam Aziz anavyochambua hasara za matumizi ya bandari ya Dar es salaam na nimemuelewa kumbe tatizo ni uendeshaji mbovu na wa kizamani na unaotoa sababu za rushwa. Kwa mifano yake hiyo inaonekana nchi jirani za Tanzania wameshatujua na wamekata tamaa na sisi ndio sababu...
  6. BARD AI

    Ufaransa: Askari wa Jeshi la Rwanda afungwa Jela Maisha kwa mauaji ya Kimbari

    Mahakama ya Paris imemhukumu Askari polisi wa zamani wa jeshi la Rwanda baada ya kumkuta na hatia ya mauaji ya halaiki na uhalifu dhidi ya ubinadamu wakati wa mauaji ya mwaka 1994 nchini mwake na kumhukumu kifungo cha maisha jela. Mahakama ilisema imempata Philippe Hategekimana, 66, na hatia ya...
  7. Li ngunda ngali

    Tanzania tusipokuwa makini Rwanda itatuaibisha

    Ndugu zangu Watanzania wakati umefika sasa tuelezane ukweli kuhusu ujinga na dhana yetu ya kuichukulia 'poa' Kigali tukijidanganya kwa mambo mengi na ya kipuuzi. Miongoni mwetu bado tunaidharau Rwanda kwa udogo wa eneo lake na wengine tukijidanganya eti Rwanda ni sawa na mkoa hivyo si lolote si...
  8. S

    Rwanda kujengwa bandari kavu kwa ajili ya mzigo wa DP World, Kagame nae anaiuza nchi Rwanda kwa Mwarabu?

    Ipo video inatembea Youtube inayoonyesha namna serikali ya Rwanda ilivyofungua bandari kavu tayari kwa ajili ya mzigo wa DP World. Tayari kwa ajili ya biashara ya kuweka mzigo unaokuja bandari ya Dar na kwenda Dubai. Mwarabu alijipanga siku nyingi sana. Hii ni biashara iliyoanza tangu miaka...
  9. Nobunaga

    DP World tayari imejenga "Bandari Kavu" Rwanda yenye uwezo wa kontena elfu 50, wakati bandari yetu ni ya kontena elfu 19 tu

    Katika hili wala hauhitaji kujua aliye nyuma ya hawa DP World ni nani, haijatokea kwa bahati mbaya, hakuna coincidence hapa, ni mipango iliyopangwa ikapangika na sasa tunaenda kupigwa mchana kweupeee. ========================== TAARIFA KUHUSU UWEKEZAJI UNAOPENDEKEZWA NA DP WORLD TANZANIA DP...
  10. Suley2019

    Tetesi: Uzi maalumu wa tetesi mbalimbali za usajili kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24

    Salaam ndugu zangu, Kama ilivyo ada katika wakati huu ligi yetu ya Tanzania inaelekea ukingoni tetesi ndiyo mahala pake. Nimeona nisogeze uzi huu wa tetesi na sajili mbalimbali ili tuweke rekodi sawa. Hivyo, uzi huu nitajitahidi kuweka baadhi ya tetesi za sajili za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC...
  11. JanguKamaJangu

    Rwanda: Rais Kagame ateua wakuu wapya wa kijeshi na kijasusi

    Picha: Rais wa Rwanda, Paul Kagame Rais wa Rwanda, Paul Kagame amefanya mabadiliko hayo makubwa pasipo kuweka kwa sababu ya kuchukua maamuzi hayo yaliyohusisha Mkuu wa Jeshi na Waziri wa Ulinzi kufutwa kazi kwa wakati mmoja. Amemteua Juvénal Marizamunda kuwa Waziri wa Ulinzi akichukua nafasi...
  12. Deo Corleone

    Rwanda kuanza kutumia nguruwe kama mlo mashuleni

    Mipango inaendelea kuwezesha shule kujumuisha nyama ya nguruwe katika ratiba ya chakula nchini Rwanda kama njia ya kutokomeza utapiamlo, Olivier Kamana, Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo na Rasilimali Wanyama amenukuliwa na gazeti la New Time nchini humo akisema. "Tunaziomba shule kuanzisha...
  13. MK254

    Rwanda tops profit earnings for Kenyan banks

    Rwanda contributed the highest volume of profit earnings for Kenyan bank subsidiaries in East Africa and beyond last year, a new report by the Central Bank of Kenya (CBK) said. The CBK said the regional subsidiaries of Kenyan banks posted a combined pre-tax profit of Sh32.51 billion as of...
  14. GENTAMYCINE

    Kwa Kitendo cha EAC Kumgeuka na Kumchoka Tshisekedi na Congo DR yake Mliomlaumu Kagame na Rwanda yake muombeni Radhi upesi

    Ukiona Mtu yoyote anapendwa au anakubalika na GENTAMYCINE jua huyo Mtu ana Akili Kubwa halafu Kabarikiwa na Mwenyezi Mungu na ukiona namchukia Mtu jua ni Mpumbavu na Mwendawazimu mno. Mapema mwishoni mwa mwaka 2022 na mwanzoni mwa mwaka 2023 Rais wa Rwanda Paul GENTAMYCINE Kagame na Rwanda yake...
  15. Wakili wa shetani

    Tumeenda kuwasaidia Rwanda na DRC waliopigwa na Mafuriko?

    Wema unaanzia nyumbani. Hapa EA tumekumbwa na majanga huko Rwanda na East DRC. Watu wamepoteza maisha na makazi. Tumepeleka msaada wowote?
  16. Dr Msweden

    Nipo Rwanda, hao Wanawake mnaowasifia kwa uzuri mbona siwaoni?

    Nipo Kigali kikazi, hao wanawake wa kinywaranda mnaowasifia kila siku kwa uzuri huko Instagram na hapa Jamiiforums mbona siwaoni? Huku mitaani nawaona wanawake wa kawaida sana tena hawafikii uzuri wa dada zetu wa kitanganyika. Pumbavuuu
  17. JanguKamaJangu

    Rwanda: Mafuriko na maporomoko ya ardhi yaua zaidi ya watu 130

    Hali hiyo imetokea katika Majimbo yaliyopo Kaskazini na Magharibi ikielezwa mvua kubwa ilinyesha usiku wakati watu wengi wakiwa wamelala na kuwa chanzo cha kusababisha vifo vingi. Viongozi wa Serikali za Mtaa wamesema nyumba nyingi zimeharibika na nyingine zimeanguka wakati barabara kuu katika...
  18. Roving Journalist

    Rais wa Rwanda Paul Kagame awasili Nchini na kufanya Mazungumzo na Rais Samia, leo Aprili 27, 2023

    Fuatilia yanayojiri kwenye Mapokezi ya Rais wa Rwanda Paul Kagame akiwasili nchini Tanzania leo Aprili 27, 2023. Rais wa Rwanda Paul Kagame amewasili nchini leo na kupokelewa na Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dr. Stergomena Lawrence Tax kwenye uwanja wa Kimataifa wa...
  19. F

    Tusinunue ndege bila kuwa na business plan. Rwanda Air waanza safari za Paris

    Tumekuwa tukifurahia kununua ndege za gharama kubwa na serikali yote kufurahia kwenda kuzipokea uwanjani kwa bashasha na sherehe kubwa. Kinachofuata baada ya hapo ni kupaki ndege viwanjani miaka kadhaa baada ya kuzinunua. Lakini jirani zetu Rwanda wana business plan na ndege zao. RwandAir to...
  20. Zanzibar-ASP

    Yaani mwaka 2023, mwezi uandame Rwanda, Kenya na Uganda halafu usiandame Tanzania! Hapa kuna utapeli kwa 100%

    Bila kuzingatia kwa mwaka huu 2023 nani yuko sahihi kati ya wale waliosema mwezi umeandama Kenya, Uganda na Rwanda (hivyo ijumaa ni sikukuu) dhidi ya wale waliosema mwezi haujaandama Tanzania (hivyo Ijumaa watu waendelee kufunga), hapo kuna harufu ya Uongo na utapeli kwa 100%. Sote tunajua...
Back
Top Bottom