rwanda

  1. aka2030

    Aliyebuni mandhari ya ndani ya Ikulu ya Rwanda hakika alipatia

    Muonekano rahisi ila mzuri
  2. JUAN MANUEL

    Jinsi ya Kuwa Balozi wa Tanzania: Siasa, Ujasusi na Ujuzi wa Kiufundi

    Wakati Bongo, kuchaguliwa kuwa balozi, wanaangalia uchawi wako, ukada wa chama tawala, au uswaiba tu, kwa wenzetu ni strategies zinatumika, wanajua kabisa Bongo ni super power kwa Afrika Mashariki, na ina maslahi mapana wanayoyahitaji, wanajua Rais ni mwanamke, tena Islam, wanakuletea mwanamke...
  3. HIMARS

    Rais Kagame katupa taulo, shujaa wa Hotel Rwanda, Paul Rusesabagina kuachiliwa huru

    Welcome today’s release of Paul Rusesabagina. Thankful to know Paul will be rejoining his family soon. Grateful to the Rwandan Government for making reunion possible. Also appreciate assistance by Government of Qatar. Kazi kwenu ----- Paul Rusesabagina aliingizwa kwenye 18 za mtu mrefu, kisiki...
  4. bahati93

    Bila shaka nchi ya Tanzania ina kinga kali sana

    Kinga iliyonayo nchi ya Tanzania dhidi ya Majanga ni kali sana, hakuna nchi ya kulinganisha nayo hapa Afrika mashariki. Haijalishi janga liwe limetokea kiasili au limesababishwa na mwanadamu, nchi yetu kwa kutumia kingo za mipaka yake imetukinga sisi watoto wake. Ukipitia twakimu kwa miaka...
  5. MchunguZI

    Rwanda inafanya makubwa

    Wale munaosema anafungua nchi, lengo ni nini? Jirani ni Rwanda na Kagame, mtu siriasi, hana safari za hovyohovyo na vitegauchumi vinamfuata. Dunia hii vitega uchumi havialikwi kama mkutano wa CCM. Vitega uchuni hufuata uongozi siriasi. Leo hii hata Ethiopia iko juu yetu, sisi tuko bize...
  6. GENTAMYCINE

    Haya wale Viherehere na mwenye Chuki na Rwanda, Rais Kagame na Wanyarwanda mjibuni sasa Rais wa Ufaransa Macron

    " Congo DR iache kila mara Kulaumu Kuvamiwa na Rwanda, tumechoka na kabla ya Kuwashutumu Majirani zao Wajiimarishe hasa Kiusalama na Kuimarisha kama Taifa kwa Umoja na Kuwaunganisha Wakongo wote* amesema Rais wa Ufaransa Manuel Macron alipokuwa Ziarani nchini Congo DR. Chanzo Taarifa: Amka na...
  7. BARD AI

    Rwanda yaongoza kwa Watu wake kuishi Umri Mrefu kwa Nchi za Afrika Mashariki

    Utafiti wa #UmojaWaMataifa (UN) na #BenkiYaDunia (WB), umeonesha maisha marefu yanategemea mambo 3 makuu: Maumbile, Jinsia, na Mtindo wa Maisha unaojumuisha Usafi, Chakula Bora na Mazoezi, Upatikanaji wa Huduma Bora za Afya, na Viwango vya Uhalifu. Hadi kufikia mwaka 2023 umri wa Binadamu...
  8. T

    Mzigo wa Starlink Rwanda

    Mtandao wa Starlink umeanza kupiga kazi Rwanda tena porini huko vijijini. Mimi kijijini kwetu mtandao ni shida, sasa Starlink ije niipeleke bush niwe naenda kwa uhuru.
  9. Crocodiletooth

    Mfumuko mkali wa bei waikumba Rwanda

    Benki Kuu ya Rwanda imeongeza kiwango cha riba kutoka asilimia 6.5 hadi asilimia 7 kutokana na mfumuko wa bei. Benki hiyo imesema kwamba kiwango cha mfumuko wa bei kilifikia asilimia 20.7 mwezi Januari. Maafisa wamesema kwamba hawatarajii mfumuko wa bei kushuka hivi karibuni. Hata hivyo...
  10. Mr mutuu

    Serikali: Ndege inayodaiwa kuanguka Kahama ni Majaribio ya Utayari

    Taarifa zaidi badae, Kuna mtu yupo Kahama kanitaarifu kuwa Kuna ndege imeanguka, ambulance na fire zinakimbia eneo la tukio. --- UPDATES; Ndege aina ya Garet 5Q KTM ikiwa na abiria 42 imeanguka nje kidogo ya uwanja wa ndege wa Kahama wakati ikijaribu kutua kwa dharura huku watu 10 wanasadikiwa...
  11. Moronight walker

    Jasusi wa Rwanda akamatwa DR Congo, yupo jela sasa

    Anaitwa Fortunat Biselele Alikuwa ni mshauri wa Rais wa Congo bwana Felix. Fortunat Biselele alikuwa inner circle ndani ya serikali ya Congo. Alikuwa anamshauri wa rais Felix kwa mambo MENGI. Walimgundua kwa kupeleka siri za maongezi ya Serikali ya Congo na kwenda kwa PK. Na walipopekua...
  12. TODAYS

    Wakenya kuandamana kupinga ushindi wa Rais William Ruto

    Pamoja na rais wa kenya William Ruto kukejeli maandamano ya Azimio na kuwapiga dongo viongozi wa umoja huo kuwa wamepeleka watoto wao kwenye bunge la Afrika Mashariki, bado wananchi wameonyesha umoja na wao na msimamo kuwa wataandamana. Hapo kabla wananchi walionekana kumuunga mkono Rais wao...
  13. Lycaon pictus

    Nini kimefanya Rwanda na Burundi kuwa na watu wengi namna hii?

    Rwanda inaeneo la kilomita za eneo 26,000 na inawatu 13m. Burundi inaeneo la 27,000. na ina watu 12m. Jumla ya watu wa nchi hizi mbili ni 25m kwenye eneo la km za eneo 53,000. Tanzania yenye ukubwa wa 945,000 ina watu milioni 60. Tanzania ni kubwa kama mara kumi na nane ya ukubwa wa nchi hizo...
  14. Justine Marack

    Mmakonde umenikera huko Rwanda

    Nikiri tu kwamba mimi namchukia sana huyu dogo. Sababu ni moja tu, kuonesha dharau na Chili kwa mtu aliyemsaidia. Sote tunajua maisha yalivyo magumu mtaani. Sasa ukipata mtu akushike mkono inatakiwa kumpa heshima yake. Sasa huyu mjinga leo nimeangalia Interview yake akiwa Rwanda katikati ya...
  15. kmbwembwe

    Ili kumaliza matatizo mashariki ya Congo ni lazima kung'oa utawala wa Kitutsi Rwanda

    Najua watutsi kote eneo la maziwa makuu watapinga kwa nguvu ila huu ndio ukweli. Ili kutatua tatizo la ukosefu wa amani mashariki ya congo ni lazima kwanza kuung'oa utawala wa kitutsi unaoongozwa na Kagame Rwanda. Kwa hulka na desturi ya Watutsi ya kugombea kuhodhi wao madaraka ya kisiasa kwa...
  16. B

    Kulikoni, mpakani na Rwanda sisi ni shamba la bibi?

    Zitambue tofauti hizi mpakani mwa Tanzania na Rwanda katika boda ya Rusumo: 1. Miundo mbinu upande wa Rwanda ni bora zaidi. Barabara, taa za barabarani, security cameras, majengo, fencing, furnitures nk upande wa Rwanda ni kama Ulaya. 2. Upande wa Rwanda taratibu zote katika kila idara yaani...
  17. Moronight walker

    Ujasusi Congo: Majasusi wa Rwanda wakamatwa nchini Congo

    Serikali ya drc imesema kwamba imekamata majasusi wa Rwanda jijini Kinshasa. Ambao walifanikiwa kujipenyeza na kuwa ba mawqsiliano na maofisa wa juu wa jeshi la congo. Majasusi HAO walikuwa wanapanga njama za kuangusha ndege ya rais felix. Serikali ya congo imesema wanao USHAHIDI wa kutosha...
  18. bryan2

    Kwanini Rwanda inapenda kuipeleleza sana Tanzania

    Ndio Rwanda ni majirani zetu kama wanavyosema wao wanaongozwa na rais mwenye inteligensia kali Afrika nzima siwezi kulijibia hili kama ni kweli au la hasha. Utafiti wangu mdogo nahisi kati ya nchi zinazomnyima usingizi Rwanda ni Tanzania bila shaka nahisi rais wao anatumia nguvu kubwa sana...
  19. Gama

    Ndege ya DRC yaingia anga la Rwanda kwa mara nyingine tena

    Another DR Congo fighter jet violates Rwandan airspace Story by Germain Nsanzimana • Wednesday Another Sukhoi-25 fighter jet from DR Congo violated Rwandan airspace along Lake Kivu in the Western Province of Rwanda on Wednesday at around 12h00, and immediately returned to DR Congo. This is not...
  20. JanguKamaJangu

    Rwanda yasema ndege ya vita ya DRC imeingia kwenye anga yake

    Kauli hiyo ya Rwanda imetolewa wakati mivutano kati ya majirani hao wawili ikiongezeka juu ya waasi wanaozidi kusonga mbele katika eneo lenye mzozo la Mashariki mwa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC). DRC inaishutumu Rwanda kuliunga mkono kundi la waasi la M23, ambalo liliteka baadhi ya...
Back
Top Bottom