rwanda

Rwanda ( (listen); Kinyarwanda: u Rwanda [u.ɾɡwaː.nda] (listen)), officially the Republic of Rwanda (Kinyarwanda: Repubulika y'u Rwanda; Swahili: Jamhuri ya Rwanda; French: République du Rwanda), is a country in Central Africa and one of the smallest countries on the African mainland. Located a few degrees south of the Equator, Rwanda is bordered by Uganda, Tanzania, Burundi, and the Democratic Republic of the Congo. Rwanda is in the African Great Lakes region and is highly elevated; its geography is dominated by mountains in the west and savanna to the east, with numerous lakes throughout the country. The climate is temperate to subtropical, with two rainy seasons and two dry seasons each year.
The population is young and predominantly rural, with a density among the highest in Africa. Rwandans are drawn from just one cultural and linguistic group, the Banyarwanda, although within this group there are three subgroups: the Hutu, Tutsi and Twa. The Twa are a forest-dwelling pygmy people and are often considered descendants of Rwanda's earliest inhabitants. Scholars disagree on the origins of and differences between the Hutu and Tutsi; some believe differences are derived from former social castes within a single people, while others believe the Hutu and Tutsi arrived in the country separately, and from different locations. Christianity is the largest religion in the country; the principal language is Kinyarwanda, spoken by most Rwandans, with English and French serving as additional official languages. The sovereign state of Rwanda has a presidential system of government. The president is Paul Kagame of the Rwandan Patriotic Front (RPF), who has served continously since 2000. Today, Rwanda has low levels of corruption compared with neighbouring countries, although human rights organisations report suppression of opposition groups, intimidation and restrictions on freedom of speech. The country has been governed by a strict administrative hierarchy since precolonial times; there are five provinces delineated by borders drawn in 2006. Rwanda is one of only two countries in the world with a female majority in the national parliament, the other country being Bolivia.
Hunter-gatherers settled the territory in the stone and iron ages followed later by Bantu peoples. The population coalesced first into clans and then into kingdoms. The Kingdom of Rwanda dominated from the mid-eighteenth century, with the Tutsi kings conquering others militarily, centralising power and later enacting anti-Hutu policies. Germany colonised Rwanda in 1884 as part of German East Africa, followed by Belgium, which invaded in 1916 during World War I. Both European nations ruled through the kings and perpetuated a pro-Tutsi policy. The Hutu population revolted in 1959. They massacred numerous Tutsi and ultimately established an independent, Hutu-dominated republic in 1962. A 1973 military coup saw a change of leadership, but the pro-Hutu policy remained. The Tutsi-led Rwandan Patriotic Front launched a civil war in 1990. The presidents of Rwanda and Burundi, both Hutus, were killed when their aircraft was shot down on 6 April 1994. Social tensions erupted in the 1994 genocide that followed, in which Hutu extremists killed an estimated 500,000-1,000,000 Tutsi and moderate Hutu. The RPF ended the genocide with a military victory.
Rwanda's developing economy suffered heavily in wake of the 1994 genocide, but has since strengthened. The economy is based mostly on subsistence agriculture. Coffee and tea are the major cash crops for export. Tourism is a fast-growing sector and is now the country's leading foreign exchange earner. Rwanda is one of only two countries in which mountain gorillas can be visited safely, and visitors pay high prices for gorilla tracking permits. Music and dance are an integral part of Rwandan culture, particularly drums and the highly choreographed intore dance. Traditional arts and crafts are produced throughout the country, including imigongo, a unique cow dung art.
Rwanda has been governed as a unitary presidential system with a bicameral parliament ruled by Rwandan Patriotic Front since 1994. The country is member of the African Union, the United Nations, the Commonwealth of Nations, COMESA, OIF and the East African Community.

View More On Wikipedia.org
  1. Hili ndio suluhisho la mgogoro wa Congo na Rwanda, kati ya Kagame na Tshisekedi

    Kuna machaguo mawili ambayo wahusika wenyewe watatakiwa kuchagua. Na ikishindikana kuchagua kwa maana wote wawili kutochagua chaguo lolote, au kila mmoja kuchagua tofauti na mwenzake, basi itapigwa kura ambapo viongozi wataoongoza mkutano huo ndio watapiga kura kuchagua chaguo moja ambalo...
  2. Rwanda vs Tanzania Military system what in public makes Rwanda Stronger vs Tanzania and why Rwanda shouldn't try it.

    Guys Leo nimeona nizungumzie kuhusu air defense system ambazo Rwanda Wana deploy. Asilimia kubwa ya system ambazo ziko public Rwanda anazinunua zinatoka Russia lakini watz wengi wamekua na hofu kwamba Rwanda anakuwa more strong zaidi ya Tanzania na kubwa ambacho pia wengi hawaelewi ni...
  3. Kagame hafahamu kama wanajeshi wa Rwanda wako nchini DRC

    Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema hajui kama wanajeshi wa nchi yake wako Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ambako mapigano kati ya kundi la waasi la M23 na wanajeshi wa Congo yanaendelea. Sehemu kubwa ya Jumuiya ya Kimataifa inaamini kwamba Rwanda inaunga mkono waasi wa...
  4. Kagame: Wanaoiba Madini ya Congo ni Afrika Kusini na Wazungu wa Ulaya, sio Rwanda

    Kwenye interview ya CNN leo tarehe 3, Rais wa Rwanda amesema yeye haibi madini Congo, wezi wakubwa wa madini ya Congo ni Afrika Kusini na Wazungu wa Ulaya. Kagame anasema haibi madini ya Congo, anayo madini yake anachimba Rwanda. ================= President Paul Kagame says he doesn't know if...
  5. Congo: Wanadiplomasia wameondolewa Bukavu wamepekwa Rwanda. Nadhani Bukavu kutawaka moto mda siyo mrefu

    Waasi wa M23 wameingia Kavumu ni km 25 toka Bukavu airport hatua hiyo imepeleka wanadiplomasia kuondelea Bukavu kwenda Rwanda, tutegemee kuona mapigano ktk jiji la Bukavu siku siyo nyingi.
  6. Rwanda: Vifo vilivyotokana na makombola kutoka DRC vyaongezeka

    Kutokana na vita vinavyoendelea mashariki mwa DRC,tarehe 26 na 27 January 2025, watu 5 nchini Rwanda walipoteza maisha kutokana na risasi na makombola yaliyotua nchini Rwanda, mjini Rubavu unaopakana na Goma, na kusababisha vifo vya watu 5 nyumba na majengo ya shule vikiharibika. Kwenye mkutano...
  7. Uzembe wa SADC kuligeuza jeshi lake liwe la kulinda amani DRC badala ya kupigana ndicho kinachofanya M23 na Rwanda waonekane kama wana uwezo mkubwa

    Jumuiya ya SADC inafanya maamuzi kiwepesi na kutekeleza maazimio yake ya kuilinda Congo DRC kwa mtindo wa kizimamoto. Mwezi Mei 2023,SADC ilipitisha azimio la kupeleka jeshi lake Congo DRC,ambayo ni nchi mwanachama ili kusaidia kurudisha hali ya amani eneo la mashariki DRC. Jeshi la SADC...
  8. Ya DRC,SADC na Rwanda je,MOSSAD,CIA na M16 ni Wanufaika Wakuu ama ni Kweli HIMA EMPIRE inatawala 75% ya EAC?

    Wakuu Mchungaji Mtikila aliwahi kuzungumza jambo zito sana miaka 12 nyuma leo Athari yake tunaiona ndani ya Ardhi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa hakika yajayo yanafikirisha sana JWTZ,TISS,MIGRATAION na PT lindeni Kitabu chetu kwa Wivu na Upendo Mkubwa Mnoo.
  9. Wanaoisifia Rwanda na Kagame either kwa makusudi au kutojua kuna jambo mhimu hawalisemi na ndio weak point ya kagame.

    1. Wahutu wanahisi kukaliwa kimababu, mkono wa chuma na Kagame, hivyo kikipigwa Rwanda sio wamoja 2. Uchumi wa Rwanda ni fragile 3. Population ndogo All in all vita ni mbaya maana ukiachana na vifo na wakimbiI, hufanya nchi maskini kuwa maskini zaidi.
  10. A

    Mkuu wa Ujasusi wa Rwanda, Lt. Gen Kayumba Nyanwasa, asema Kagame ni chanzo cha matatizo yote Congo na maziwa makuu

    Aliyewahi kuwa mkuu wa ujasusi Rwanda na Balozi wa Rwanda nchini India, Lt. Gen Kayumba Nyamwasa anasema matatizo yote yanayotokea mashariki ya Congo yanasababishwa na kagame. Anasema Congo hamna tena tatizo la Banyamulenge ,lilishakwisha zamani na wana haki sawa na wanahudumu hata sasa katika...
  11. Kuna maswali tata ambayo Rwanda na Uganda wapo kimikakati sana kwa tanzania.

    Mzozo unaondelea upande congo kule goma kumekuwa na shutuma nyingi kuhusu rwanda na uganda kuwa wahusika wakubwa wa mgogoro japo wenyewe kukanusha. Ukiangalia ni kama mikakati ya ambayo imesukwa mda mrefu.Tuje kwenye mada kuhusu uganda ili bomba la mafuta lilopita hapa linaweza kutunyamazisha...
  12. Naomba tuweke mambo sawa Rwanda wahutu ni wengi kuliko watusi. Hii ni kwa wale ambao tumewahi fika Rwanda

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA Nimeona nije hapa niweke mambo sawa Maana nimeona Kuna watu wanapotosha sana Mimi nimefika Rwanda napajua vizur sana na nchini Rwanda wahutu ni wengi sana kuliko watusi Robo tatu ya watu wa Rwanda ni wahutu Asante sana kwa kunisikiliza Sisi wafuasi...
  13. DR Congo asks clubs to end Visit Rwanda sponsorship

    The Democratic Republic of Congo’s foreign minister Therese Kayikwamba Wagner has urged soccer clubs Arsenal, Bayern Munich and Paris St Germain to end their "blood-stained" sponsorship agreements with "Visit Rwanda" following the worsening humanitarian crisis in the country. The DR Congo health...
  14. B

    Siungi mkono JWTZ kwenda kupigana na Rwanda au M23

    Kuna watanzania wamepanic kuhusu M23 kuchukua eneo la Goma DRC na kauli ya Paul Kagame wa Rwanda. Ndugu zangu vita sio jambo la mchezo wala la kuliomba. Lakini pia tukumbuke hakuna nchi ndogo kwenye uwanja wa vita. Wote tumeshuhudia namna Israel taifa dogo kijeografia lakini ilivyo wapelekea...
  15. A

    RAIS MSTAAFU MH JAKAYA MRISHO KIKWETE ALILENGA KUPATA SULUHISHO LA KUDUMU ILA RWANDA WAKASHUPAZA SHINGO

    Sikiliza mwenyewe kupitia hii link https://x.com/EggleVuvu/status/1885185539365564674?t=eqx2xm8OPAYKondHhO_7DQ&s=08
  16. Suluhisho la Kudumu la Mgogoro wa Maziwa Makuu (Rwanda, Congo et al) ni kutenga na kupata nchi ya hao waliopo hapo sasa (North Kivu)

    Kwanza kabisa mimi sio Mtaalamu na baada ya kuangalia kwa haraka matakwa ya pande tofauti nimeona ni vigumu sana kwa upande mmoja kukubaliana na matakwa ya upande mwingine kutokana na usalama wao na kutokuaminiana; Hivyo Suluhisho pekee ni hapo katikati kuwepo na nchi ya hao waliomo. Kwa...
  17. A

    Kwanini Zitto Kabwe anasapoti vita ya Rwanda ya M23 dhidi ya Congo?

    Huyu kiongozi mkuu mstaafu wa ACT wazalendo mzaliwa wa kigoma, Mwami Zitto Kabwe ukifuatilia tweets zake zote ni anasapoti kile wanachokifanya Rwanda kupitia M23 nchini Congo. Anajaribu kuleta utetezi wa kihistoria ambao hata kagame ni kama hautaki. Kagame analazimisha Congo 🇨🇩 wakae chini...
  18. Tanzania tupo kwenye Mtego. Ni Lazima tuhakikishe amani inapatikana kati ya Congo na Rwanda kwa ustawi wa uchumi wetu

    Kwa namna yeyote ile ni lazima Tanzania ihakikishe amani inapatikana congo na Rwanda. Nchi zote mbili hizi Zina mchango mkubwa katika Uchumi na biashara katika nchi yetu. Tanzania kwa sasa tupo katika mtego ambao ni lazima tuutegue katika njia ya amani kwa ustawi wa taifa letu. Kila la heri...
  19. Rwanda inataka kujifanya "Israel ya Afrika mashariki", haiwezekani na yapasa adhibitiwe haraka

    1. Zote ni vinchi vidogo kieneo. 2. Watu wake wanajiona ni "special/superior" kuliko wengine. 3. Viongozi wao wote hawataki kutoka madarakani, madikteta uchwara. 4. Wote wana wazo la kujitanua kieneo zaidi mfano "Greater Israel" 5. Wote karata yao ya mwisho ni mauaji yaliotokea i.e Rwanda...
  20. Maswali ninayojiuliza kwenye huu mgogoro wa DRC

    Nadhani Kagame anawapa ufadhili wa silaha na wanajeshi ili kumsaidia Mtutsi mwenzake anayebaguliwa Congo. Pia Nadhani, anawapa msaada waasi kwasababu Congo iliwaunga mkono waasi wa kihutu. Unaiunga mkono FDLR basi Nami nitawaunga mkono M23. Sasa kama Kama ni kweli Rwanda inahusika 1. Kwanini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…