saa

  1. Natafuta nafasi ya kazi ya kufanya usiku tu kuanzia saa 4 usiku hadi saa 12:00

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Jinsia ni Me Mkoa : Dar es salaam. Kazi : yeyote iwe ya kutumia nguvu au akili Niko tayari Mawasiliano kwa sababu za kiusalama nisingependa kuweka hapa ila kwa pm tunaweza kuwasiliana zaidi
  2. Ulega Atoa Saa 72 Mawasiliano Daraja la Gonja Mpirani Yarejee

    ULEGA ATOA SAA 72 MAWASILIANO DARAJA LA GONJA MPIRANI YAREJEE Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa saa 72 kwa Wakala ya Barabara nchini (TANROADS) mkoa wa Kilimanjaro kurejesha mawasiliano katika daraja la Gonja Mpirani. Hatua hiyo inafuatia kuvunjika kwa daraja hilo hivi karibuni kufuatia...
  3. S

    Salim Kikeke kufanya mahojiano na Mbowe kuanzia saa 12 jioni ya leo

    Hii ndio habari nimeona mtandaoni jioni hii: Mahojiano yatakuwa live kupitia YouTube. https://www.youtube.com/watch?v=PjKQHmASvCM
  4. Nahisi panaelekea kukucha, inshu ya Ben Saanane huenda watu wengi wakahusika zaidi

    Nimenukuu kutoka kwa mdau mmoja kutoka kwenye chombo kimojawapo cha habari. Kwa mtazamo wangu na uchunguzi wangu kwa kuunganisha Dot. Pamoja na inshu ya Sasa ndani ya CDM Kuna mambo mengi nahisi kuyaona. Na chelea kusema kwa namna moja ama nyine Mh FAM anahusika na uwenda yupo pale kwa msaada...
  5. Tumekaa zaidi saa moja tunasubiri kwenye kituo cha mwendokasi Msimbazi

    Kwenye kituo cha mabus ya kutoka gerezani kwenda Mbezi Mwisho abiria tumejaa tu humu mabus yanatupita hadi watu wamepaniki na kuwatupia lawama walinzi wa kituo.
  6. S

    Tundu Lissu kuhutubia Taifa leo 01/01/2025 majira ya saa 6 mchana

    Habari ndio hio wadau kwahiyo kaeni mkao wa kula.
  7. Sisi Wasabato tunasherehekea Mwaka Mpya saa kumi na mbili jioni

    Sisi tunaangalia mwaka wa Biblia sio mwaka wa kidunia. Ikawa asubuhi ikawa jioni siku mpya. Kwenye biblia hamna ikawa asububi ikawa usiku siku mpya. Hayo ya Usiku ni mambo ya Kidunia Heri ya Mwaka mpya 2025
  8. Traffick mtupime kuthibiti Pombe njian ♌ usiku huu kupunguza ajali....vijana wako bar Toka saa nane mchana

    Polen najua nawachukulia mda WENU kufurahia MWAKA mpya Kumekuwa na ajali za ajabu sana MWAKA mpya ambapo Kama kungekuwa na upimaji wa vilevi huko njian walipotokea Tungeeweza kuthibiti vifoo kadhaaa TUNAOMBA leoo tukeshe wote kulinda uhai wetu Dec imekula sana JAMAN kupitilixa Mpaka...
  9. K

    Nimenunua pressure cooker, Cha ajabu natumia saa moja na nusu kupika maharage. Nakosea wapi?

    Kutokana na mazingira machafu ya baadhi ya mama ntilie Mwanaume nimeamua kupika Sasa Jana nimenunua pressure cooker ili kupikia maharage na nyama Cha ajabu naona maharege natumia saa moja na nusu ila maji hayajauki mpaka kupungunza Nakosea wapi wakuu
  10. ATC ya saa 5 usiku JRO-DAR tunaondoka saa 9 alfajiri?

    1. Tumelala KIA(JRO) baada ya ndege yetu ya saa 5 usiku kucheleweshwa mpaka saa 9 na nusu alfajiri. 2. Domestic flights mtu unalala airport Karne hii? Mwezi uliopita Mwanza-Dar delay masaa 12 no apology na hakuna anayejali. 3. ATC ina CEO/MD? NB: European Union wana kila sababu kuipiga pini...
  11. DC Mpogoro, nilidhani ni habari njema kwa wenye maghorofa chakavu kariakoo kuyavunja, huyu kaamua kuvunja, wewe umemkasirikia na kumuweka ndani saa 48

    Hii habari inashangaza, mtu kaona ghorofa lake ni chakavu, lina nyufa, na linatumiwa na watu na juu ni stoo ta mizigo. Kaamua kulivunja pengine ajenge lililo imara zaidi. Mkuu wa Wilaya wa eneo ambalo yalitokea maafa ya ghorofa kuanguka, anamkamata na kumuweka ndani. Ebooo! Kwa hiyo Mkuu wa...
  12. Kids digital watch ( Saa za kisasa za watoto)

    PRICE 8000/- 🚫saa sa kisasa za watoto zinapatikana 💦haziingizi maji 💪zinatumia battery ambayo inadumu kwa miaka zaidi ya miwili ✌️ni nzuri sana kwa watoto wa mashuleni wanakua sharp na kutunza mda ☎️0753409810/ 0674582231 📍tupo MANZESE TIPTOP OPPOSITE JM HOTEL NB: TUNATUMA MIKOA YOTE KWA UAMINIFU
  13. Mwanamke Masikini, Mama Pendo (Single Mother wa Watoto Wawili) wa Tageta Machinjioni anavunjiwa Banda lake Saa Hii: Tumsaidie Mamlaka kuingilia kati

    Wanabodi Nimepigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwa jina la Mama Pendo akiomba msaada wa haraka,anavunjiwa kibanda chake cha kuishi eneo la Tageta Machinjioni。 Anaomba media tupaze sauti wenye mamlaka wasikie wamsaidie kumnusuru。 Please tumsaidie huyu Mtanzania mwenzetu ambaye ni masikini...
  14. KERO Tumekwama ndani ya Treni ya SGR hapa Ngerengere kwa saa tatu sasa, tunaambiwa kuna suala la kiufundi

    Baada ya Treni ya SGR kukwama awali asubuhi ya leo, Desemba 4, 2024, mimi ni mmoja kati ya abiria ambao walikuwemo kwenye treni hiyo, nikaona JamiiForums imeripoti kuhusu tukio hilo. Mpaka muda huu naandika hapa saa Tatu usiku huu ni kwamba tumekwama kwenye kituo cha Ngerengere tukiwa tunatokea...
  15. Mjadala Mzito: Umuhimu wa Tanzania Katika Mtangamano wa Afrika Mashariki (Leo Kwenye Space 04 Dec 2024 19:00 East Africa )

    Leo kuanzia saa moja kutakuwa na mjadala mzito utakaoendeshwa online kuhusu Umuhimu wa Tanzania Katika Mtangamano wa Afrika Mashariki Sote tunakaribishwa: https://x.com/i/spaces/1OwGWNkRORVKQ/peek Wazungumzaji nguli watakuwepo. Mnakaribishwa na kutakuwa na Live Update hap JF:
  16. Kariakoo yote sasa kufungwa kamera ili kudhibiti uhalifu na kuwezesha biashara kufanyika kwa saa 24

    Sasa ni rasmi serikali inakusudia kufunga kamera za ulinzi (CCTV), katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam, ili kudhibiti uhalifu na kuwezesha biashara kufanyika kwa saa 24. Mkurugenzi wa Jiji la Ilala, juzi alitoa taarifa ya kumtafuta mzabuni akayetekeleza kazi hiyo na jana ilikuwa ni...
  17. N

    KERO Hospitali ya Kimara mpo serious kweli? Zaidi ya saa nne hakuna huduma

    Ni zaidi ya saa nne sasa hakuna huduma kwasababu ya mtanndao! Kila Mgonjwa anayefika hapo anaambiwa kirahisi rahisi tu kuwa hakuna mtandao Cha kusikitisha zaidi ni majibu tunayopewa ni wakavu Hawana huruma watu wanauliza na kuambiwa kwani kuna aliyezidiwa hapa? Ukiuliza sana unaambiwa Nenda...
  18. Q

    LGE2024 Saa 12 asubuhi yamekutwa mabox matatu tayari yamejaa kura. Hii ndio Tanzania.

    https://x.com/godbless_lema/status/1861661004586983644
  19. Wakenya wanaolalamika kulipwa 2USD kwa Saa kuifundisha AI wapo Sawa kutupia lawama Kampuni Husika, au wawalaumu Watunga Sera wao kuwafanya desperate ?

    Nimeona hio Documentary ya 60 Minutes; Kwa ufupi AI inahitaji kuwa trained ili iweze kugundua vitu kama picha, watu emotions n.k. Sasa Serikali ya Kenya imekuwa ikivutia makampuni kuja kuwekeza Kenya kwamba watu wana knowledge na labor ni cheap (kama walivyokuwa wanakwenda sana nchi kama India)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…