Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.
Muda huu niko kwenye kivuko, kuna mbaba wa makamo amejirusha kwenye kivuko cha Busisi, yaani kivuko kimesimama dakika kadhaa halafu kikaendelea na safari bila msaada wowote
R.I.P jamaa
Kuna vitu tumekua tunaogopa au kuhofia visije kutupata katika maisha yetu. Tukianza na mimi hivi ni miongoni mwa vitu ambavyo vinanisababishia hofu:
Kupata ajali ya aina yoyote pikipiki au gari
Kung'atwa na viumbe vyenye sumu kama nyoka, n'ge, tandu au buibui
Kuuawa
Kupata ulemavu wa viungo...
Serikali imekubali kuruhusu magari yanayofanya safari zake kupitia Wilaya ya Sikonge kutoka Jijini Dar es Salaama kuanza safari zake kati ya saa 9 na 10 usiku ikiwa watapenda.
Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Alhamisi April 13, 2023 na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamadi Masauni wakati...
Mkuu wa kikosi cha Polisi cha Usalama wa barabarani ACP Ramadhani Ngazi asema kuna changamoto za kiusalama. Ni kwenye baadhi ya mikoa kutokana na ujambazi n.k Akitaja maeneo ya Rukwa, Katavi, Kagera kuna mapori ambayo ni tishio kwa utekaji.
Akizungumza mbele ya kikao cha LATRA baada ya azimio...
Ni wazi kwamba ndege ya ATCL inayokwenda Chato huwa inaenda tupu, bila abiria
Abiria pekee ni mama Janeth Magufuli na watoto wake au Kalemani.
Nashauri ruti hii ifutwe kwa maslahi ya taifa.
wote tumekubaliana kuwa Arsenal hatobeba ndoo. Basi katika ile safari yake ya kutochukua ubingwa leo pale Anfield atachapika magoli 2-1. Kama unabisga subiria dakika 90.
Klabu ya Yanga ilikuwa jijini Lubumbashi kwa mechi yao ya mwisho na TP Mazembe na walitarajiwa kurejea nchini Tanzania juzi usiku.
Hata hivyo, kulikuwa na vita ya kifamilia kati ya matajiri wawili jijini hapo.
Tajiri namba moja wa Yanga, Ghalib Said Mohamed, alikuwa na faili zito la usajili...
Mvua zilizoanza kunyesha usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Aprili 3, 2023 katika maeneo mbalimbali mkoani Kilimanjaro imesababisha mafaruko na kusababisha kukatika kwa mawasiliano katika barabara kuu ya Moshi-Arusha eneo la kwa Msomali Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro kwa zaidi ya saa tatu...
Nshachoka hata kuhesabu. Hivi tuko na miaka mingapi kweli ya uhuru... Any way, whatever the number is ila bado hatuko serious.
Hatuna dira ya Taifa ya maendeleo, hata maandalizi tuu ya kuwa na hiyo dira hakuna, ila kunamchakato wa maandalizi. Unaweza kuona tuko nyuma kisi gani?!
Seriously...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuufahamisha umma juu ya kusitishwa kwa huduma ya usafiri wa treni ya abiria inayotoka Dar es Salaam kuelekea mikoa ya bara (Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma, Tabora, Mwanza, Mpanda na Kigoma) kuanzia tarehe 28.03.2023.
TRC imesitisha utoaji wa...
Sikumfahamu, nilimuona ni mwanamke tu amekaa sebuleni, nilimsalimia na kuendelea na shughuli zangu naye aliniangalia bila kusema chochote, hivyo ndivyo nilivyokutana na mama yangu mzazi kwa mara ya kwanza,” anaanza kusimulia Afande Sele katika mahojiano maalumu na gazeti hili akiwa nyumbani...
Baadhi ya Vijana wa BBT wakiwa katika kituo atamizi cha Bihawana jijini Dodoma, wakiendelea na mafunzo ya uandaaji na uzalishaji wa miche! Gharama yote ya mafunzo ikiwa ni pamoja na chakula na malazi itagharamiwa na serikali na baada ya Miezi 4 washiriki watapewa mashamba na ruzuku kwaajili ya...
Siku mbili baada ya kutangazwa kuibuka kwa ugonjwa wa Marburg nchini, Serikali imetoa mwongozo wa wasafiri kote nchini kwa kuzingatia kanuni za kimataifa, huku ikiagiza utekelezaji wake uanze mara moja.
Machi 21 Serikali kupitia Wizara ya Afya ilithibitisha uwepo wa ugonjwa Marburg katika...
Wanabodi hebu leo tutatazame kitu tofautI,
Majority ya wengi wetu tumekuja mjini kutafuta maisha. Na hii ni kwetu almost wote, at least 90%. Na hii inasababishwa na ukweli kwamba fursa nyingi zipo mjini. Wengi tukifika mjini tunapambana na kufanikiwa. Wengine wanajenga majumba na kumiliki mali...
Wale munaosema anafungua nchi, lengo ni nini? Jirani ni Rwanda na Kagame, mtu siriasi, hana safari za hovyohovyo na vitegauchumi vinamfuata. Dunia hii vitega uchumi havialikwi kama mkutano wa CCM. Vitega uchuni hufuata uongozi siriasi. Leo hii hata Ethiopia iko juu yetu, sisi tuko bize...
Nliwaambia mchumba wangu yupo Dodoma kahamia Dar. Kumbe kuna mbunge bwege alikuwa anamfukuzia. Sasa anaandika msg anasikitika kuwa yaani ndo amekosa K hivi hivi..
Mi nliona mchumba anachat nikamwambia anipe simu yake nione anachat na nani. Akataka kukataa maana alikuwa anaona naweza enda mpasua...
Mwezi wa pili wa mwaka 2023 ni mwezi ambao utaingia kwenye historia za Dunia ambapo idara nyeti ya usalama wa Taifa ikisaidiana na Pentagon walifanikisha safari nyeti ya Rais wa Taifa la Marekani na kuthibitishia ulimwengu kuwa wao sio wa viwango vya China au Urusi ila wao ni WA viwango vya juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.