safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Tanzania safari Chaneli boresheni habari zenu; Mnaonesha utumbo mwingi sana kuliko ubunifu

    Ukizungumzia umhimu wa Documentary chaneli katika utalii Tanzania! Huwezi Kuacha kuizungumzia TANZANIA SAFARI CHANELI Chaneli hii imekuja kuonesha mageuzi makubwa sana katika sekta ya utalii Tanzania! Lakini pamoja na mazuri ya chaneli hii IPO shida kubwa sana katika namna wanavyowasilisha...
  2. kavulata

    Safari ya wanawake sio fupi kwa kiasi hicho

    Hakuna siku wanaume wamekaa na kuamua kuwakataza wanawake wasiwe viongozi, kwenda shule, wasifyatue matofali, wasiangue madafu kwenye minazi, kuendesha bodaboda, kufanya biashara Wala kuwinda. Tangu enzi hizo za kale kulikuweko na wanawake wanaopambana na biashara huko tabora, queen of Sheba...
  3. GENTAMYCINE

    Hii tabia ya kila mara Rais akitoka Safari anapokelewa na Umati wa Watu na Viongozi ni takwa la Kikatiba?

    Kwa mnaoijua vyema Katiba ya nchi naombeni mnionyeshe Kipengele kisemacho Rais akitoka Safari tu basi akitua Dar es Salaam ni lazima apokelewe na Umati mkubwa wa Watu wakiongozwa na Viongozi Waandamizi. Na wale mnaoijua vyema Katiba ya Tanzania niwekeeni Kipengele kuwa Rais akiwa anarejea...
  4. Suley2019

    Msigwa: Rais Samia hakukodi ndege ya Emirates wakati wa safari yake ya kwenda na kurudi Ufaransa na Ubelgiji

    “Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan hakukodi ndege ya Emirates wakati wa safari yake ya kwenda na kurudi Ufaransa na Ubelgiji. Mhe. Rais alisafiri kwa kutumia ndege hizo kama abiria. Ameokoa fedha nyingi ikilinganishwa na kama angetumia ndege binafsi ama angechukua ndege ya ATCL ama angekodi. Pia...
  5. J

    Yaliyojiri katika Clubhouse session ya Jamiiforums 15/02/2022: Safari ya matibabu kwa Mtoto mwenye Saratani

    Jamii Forums kwa kushirikiana na MUHAS, MNH, TLM wameandaa Mjadala utakaofanyika kupitia Clubhouse ya JamiiForums ili kuongeza uelewa juu ya Saratani kwa Watoto Nchini Tanzania. Kujua zaidi soma: Una swali lolote kuhusu ugonjwa wa saratani kwa watoto? Mjadala huu unatarajiwa kufanyika leo...
  6. Naja naja

    Nunua daftari na peni leo uanze safari yako ya mafanikio

    Ukitaka kufanikiwa kimaisha anza kwa kununua daftari na peni. Hakikisha kila siku kabla haujalala umeshapanga kesho yako ufanye nini na nini na matumizi gani muhimu uyafanye. Nini ufanye ili uboreshe utendaji kazi wako, maslahi yako, elimu yako, biashara yako nk. Kesho yake kabla muda wa...
  7. Mnyuke Jr

    Mo Dewji na safari ya kuwa Mwanahisa halisi wa simba sports club

    Simba sports club ni moja kati ya timu za ligi kuu Tanzania bara ambayo imekuwa ikiendelea na mchakato wa kufanya mabadiliko ya uendeshaji wa timu. Mwekezaji Mo Dewji ambaye ni shabiki na mwanachama wa timu hiyo aliyeamua kununua 49% ya hisa za klabu ili mchakato wa mabadiliko ya uendeshaji...
  8. Mparee2

    Muda wa kuanza safari za mabasi uangaliwe upya

    Nafikiri sheria tunayotumia kwa sasa ya kuanza safari saa kumi na mbili (06h00) asubuhi ni sheria ya miaka ya nyuma na hivyo inaweza kuboreshwa kwani mambo yamebadilika sana Fikiria safari za Morogoro to Dar unalazimisha basi liondoke saa 12 asubuhi hivi kweli hicho kipande kina hatari gani...
  9. F

    Safari – Tourism Sales Manager

    Summary: First Class Africa (FCA) is The Premier Provider of African Experience. We are a vibrant resilient fast growing team who imagine and do things differently. We have re-imagined the African tourism and hospitality delivery model and are now looking for an energetic, creative...
  10. The Boss

    AFCON: Kilichoitoa timu ya Ghana, Afrika tuna safari ndefu

    Hii timu inaonekana ushirikina ndo chanzo zaidi.... Ajabu wachezaji karibu wote wanacheza Ulaya... Nimeshangaa sana
  11. GENTAMYCINE

    Wanafunzi wanaosoma katika shule ya msingi Kododo mkoani Morogoro, wapo katika hatari ya kuangukiwa na madarasa

    Wanafunzi wanaosoma katika shule ya msingi Kododo Tarafa ya Mgeta wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, wapo katika hatari ya kuangukiwa na madarasa wanayoyatumia kufuatia madarasa hayo ambayo yamejengwa kwa mawe tangu mwaka 1970 kuanza kupasuka kisha kudondosha mawe. Chanzo: EastAfricaTv...
  12. C

    Mrejesho: Maombi yenu jamani, safari ya Popeye Malta inakaribia

    Wanajf naomba mniombee safari yangu kwenda kisiwa cha Malta imekaribia baada ya kuhangaika hapa na pale kusaka visa nimefanikiwa ingawa ilikuwa na vikwazo vingi kutokana na Janga la corona. Siku zinakaribia kuondoka kwenda kukutana na mrembo J lakini nikiwaza itakuwaje huko nchi za wengine...
  13. Miss Zomboko

    Huduma ya 5G yadaiwa kuathiri Mawasiliano ya Ndege. Mashirika makubwa yasitisha safari zake Nchini Marekani

    Mashirika makubwa ya ndege Emirates, Air India, Air Nippon na Japan Airlines yamesitisha safari zake za kwenda Marekani kutokana na huduma ya mtandao wa 5G. Jana asubuhi huduma ya mtandao wa 5G ilianza kutumika nchini Marekani kwa kuwashwa minara 4500 ya 5G. Mashirika hayo ya ndege yamesitisha...
  14. M

    Pablo hii ndo ligi kuu soka Tanzania bara, kuwa mvumilivu vinginevyo safari itakukuta mapema

    Uyu kocha naona ana hasira za haraka sana, awe makini zisije zikamgharimu pale zitakapokwenda mpaka kwa wachezaji, ajue hii ni ligi kuu na sio kombe la mapinduzi hili kila timu inajituma kwasababu kuna pesa ndefu asitegemee ushindi wa bwelele. Lakini pia ajue gape la point 5 na anayeongoza ligi...
  15. MK254

    University of Nairobi students join historic mission flying world leaders to space

    Entrance to the University of Nairobi (left) and a spacecraft taking off. University of Nairobi (UoN) students are now part of a historic space mission targeting world leaders including wealthy billionaires. Namira Salim, a Dubai-based diplomat is working towards sending a peace mission to...
  16. B

    Nimeshtusha kusikia Mawaziri na Manaibu Waziri wanalogana na kuchukiana kisa safari za Mikoani kuja kutafuta namna yakuwatumbua wasio na hatia

    Kama nchi Hadi kufikia mwaka huu 2022 Waziri anaweza kumzui Naibu Waziri kufanya kazi au Katibu Mkuu kuficha Fedha Waziri asilipwe na ikawa agenda basi tuna safari ndefu. Waziri unapitisha Fedha Bungeni bila kuwa na mamlaka na Fedha? Naibu Waziri unapijibu majibu Bungeni kumbe hata haki na...
  17. GENTAMYCINE

    Chuma cha Kizambia 'Baba wa Pasi za Upendo na Mpenyezo' keshatua nchini Kesho Kutambulishwa na kuwemo Safari ya Mbeya

    Pape Ousmane Sakho, Kibu Denis na Medie Kagere watafunga Magoli mpaka Watachoka kwani mwenye Pasi zake na Fundi wa 'Miauta' Raia wa Zambia ameshatua nchini. Kuna Watu sasa naona ile nia yao ya Ubingwa inaenda Kutoweka na tayari Coastal Union FC ya Tanga wameshaapa, kulishana Yamini na kusoma...
  18. Analogia Malenga

    Rais Samia: Mawaziri na Manaibu wenu, msigombane kisa safari

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Mawaziri wasiwe na ugomvi na Manaibu Waziri kwa kuwa kila mmoja ameteuliwa kwa vigezo tofauti. Ametaka kila mtu ajue nafasi yake. Amesema mara nyingi watu hugombana kwa sababu ya safari na maslahi ambayo mara nyingine huwa ni maslahi ya wananchi. Rais amesema...
Back
Top Bottom