safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. DR HAYA LAND

    Safari yangu ya Elimu ilivyokuwa ngumu na kupata Zero mara tatu katika mtihani wa Kidato cha Nne

    Safari yangu ya Elimu ya Secondary niliianza Mwaka 2011 katika Shule moja Maarufu pale Bukoba Mjini ikiitwa Lake View hakika Maisha ya pale yalikuwa mazuri tulisoma na wahindi huku shule hipo beach yaani kila kitu nilikuwa Safi, hasa ukizingatia nilisoma shule za kawaida katika Elimu ya msingi...
  2. J

    Waziri Mwigulu ziangalie vizuri takwimu zetu za uchumi tusije kupata tabu mbele ya safari

    Kupanda kwa gharama za maisha nchini UK na namna takwimu sahihi. Walizonazo zinavyowasaidia kupambana na hali hiyo kumenifunza kitu kikubwa sana. Tanzania tunapaswa kuwa na takwimu sahihi za uchumi wetu. Hasa takwimu za kilimo, Dunia inanyemelewa na balaa la njaa.
  3. Mohamed Said

    Safari ya Uhuru wa Tanganyika 1954 - 1961

    SAFARI YA UHURU WA TANGANYIKA Video hii imenivutia kwa kule kuieleza historia ya TANU na kutoka vyanzo vilivyoko nje ya historia rasmi na kutumia picha alizoacha Ali Msham na nyingine kutoka Nyaraka za Sykes. Halikadhalika kwa msomaji kutoa maelezo yake kama yalivyoandikwa ndani ya kitabu cha...
  4. Komeo Lachuma

    Tizama Mbowe anavyofurahia safari za Ikulu. Haonekani kuwa Serious Ndo Maana hata Mazungumzo ya huko yanakosa Tija

    Kila picha yeye utamwona anatabasamu flani hivi la.... Sisi watoto wa Mjini tunaelewa. Kuwa kwake mambo fresh... Wenzie wote huwa wanaonesha wapo serious. Yeye anapataje nafasi ya kutabasamu nchi yenyewe ishakuwa ngumu hii? Anachochekelea ni nini hasa? Yaani hata Samia anamshinda amechora uso...
  5. Rabonn

    Nimekumbuka nilichofanya siku kama leo mwaka 2019 katika safari yangu ya Mpanda

    Wadau natumaini mko njema kabisa. Heri ya Jumapili kwenu nyote. Technology ni kitu chema sana acha tu tukipe heshima yake. Leo kwakua nime dodge kwenda kanisani bas nilijikuta ratiba zangu ni za kutafutiza sana kwakua siku zote Jumapili kuanzia saa mbil asubuh mpaka saa Nane mchana huu muda...
  6. bafetimbi

    Safari Lager Vs Kilimanjaro

    Wasalaaaam wazee...... Hii battle nani anashinda!!!!!!??
  7. Lady Whistledown

    Safari za ndege kuahirishwa kutokana na uhaba wa mafuta Afrika Kusini

    Uhaba wa mafuta katika uwanja wa ndege wa OR Tambo wasababisha Safari 14 kuahirishwa na kuathiri zaidi ya abiria 3,000, huku mamlaka ikisema inajitahidi kukabiliana na uhaba huo. Maafuriko ya Mwezi uliopita KwaZulu Natal yanatajwa kuharibu reli ambayo ndio miundombinu ya usambazaji mkuu wa...
  8. The Assassin

    Nchi ambayo Wafanyabishara wanaweza kugharamia safari za Rais za Kitaifa na Kimataifa haiwezi kujali maslahi ya wananchi wa kawaida

    Juzi tuliambiwa gharama za safari za rais za kitaifa na kimataifa zinagharamiwa na wafanyabishara ambao hawatajwi majina. Katika akili ya kawaida, kama wafanyabishara wanagharamia safari za mkuu wa nchi nje ya nchi na ndani ya nchi maana yake tayari rais ameshakuwa compromised na...
  9. Nyankurungu2020

    Ni dhahiri kuwa Rostam Azizi na Kundi lake ndio waliodhamini safari ya Rais na kundi lote lile. Watanzania tukae mkao wa kutafunwa

    Ni wazi kabisa na kuna ushahidi wa kimazingira kuwa hayo mabilioni ya shilingi anayodai mkuu wa nchi kuwa yaligaharamiwa na watanzania kuwezesha ziara yake huko Usa yatakuwa yalitolewa na Rostam Azizi na kundi lake. Nani mtanzania wa kawaida anayeweza kuchangisha na kupata Zaidi ya bil 11...
  10. Nyankurungu2020

    Inakuwaje safari ya Rais inagharamiwa na Wananchi wachache ambao hawataji majina yao? Je, haya sio mazingira ya kulipana fadhila kwa ufisadi?

    Rais anaenda kukaa USA zaidi ya wiki mbili. Huko anaenda kufanya shughuli za kiserekali na kubwa zaidi ni Uzinduzi wa filamu ya royal tour. Kila siku tunaambiwa hii filamu ilitengenezwa kwa pesa kiasi cha bil 7 na sio pesa za Serikali. Sisi akina Kabwela tukajua ni pesa za akina Greenberg na...
  11. M

    AJIRA ZA WALIMU: Safari hii hatutavumilia figisu figisu kwenye ajira ya walimu kama nyakati nyingine

    Imekuwa ni kawaida kuona figisu figisu ikitawala katika ajira za walimu. Baadhi ya figisu figisu hizo ni kama ifuatavyo. 1. Kutangazwa kwa nafasi za walimu wa Physics na Hesabu lakini wakachaguliwa baadhi ya walimu wa biology na chemistr. Walimu wa chemistry na biology ambao hawakuomba wakaona...
  12. Analogia Malenga

    Rais Samia atua Tanzania, aongelea mafanikio ya safari yake Marekani

    Akizungumza baada ya kurejea Nchini Tanzania kutoka Marekani, amesema Watanzania wategemee matunda kutoka Filamu ya TheRoyalTour na Nchi ijitayarishe kupokea wageni wengi Amesema Fedha za kutengeneza Filamu hiyo zimetokana na michango ya Wafanyabiashara mbalimbali Ndani na Nje ya sekta ya...
  13. Stuxnet

    Si kweli kuwa ATCL imefuta safari za Ndege kuelekea Chato Geita

    Yasemekana hauna abiria wa kutosha kupeleka ndege. ===== UPDATES ====== Fact Check: Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) halijafuta safari zake kuelekea Geita ambapo ndege hutua katika Uwanja wa Ndege wa Chato. Hivi karibuni kumekuwa na uvumi unaonezwa katika mitandao ya kijamii ambayo haina...
  14. L

    Siku ya Safari za Anga za Juu Duniani: Kuchunguza ulimwengu ni ndoto ya wanadamu wote

    Leo Aprili 12 ni Siku ya Safari za Anga za Juu Duniani au kwa jina lingine ni Siku ya Kimataifa ya Binadamu Kwenda Angani. Kutoka "mazungumzo kati ya mbingu na dunia" na wanaanga wanaotekeleza majukumu kwenye anga za juu, kujibu barua za wanasayansi wazee walioshiriki katika operesheni ya...
  15. Gordian Anduru

    Tujikumbushe safari ya yanga 8 bora CAF confederation cup 2016

    Kwa kuwa Simba wameingia nane bora ya Caf confederation cup si vibaya tukawaambia kuwa wao siyo wa kwanza kuingia na Mwaka 2016 Dar es salaam Young Africans waliingia nane bora kisha yakapangwa makundi mawili katika hatua hii Yanga walibahatika kumchapa MWARABU Mo Bejaia ya Algeria bao moja...
  16. K

    Je, CHADEMA safari hii kwenda na nani kwenye uchaguzi wa Kenya?

    Nakumbuka kipindi kile walimtosa mpinzani mwenzao Raila na kumuunga mkono Uhuru Kenyatta tena nakumbuka mzee Lowassa alifunga safari mpaka Kenya kwenda kuwashawishi wamasai wamuunge mkono Uhuru Kenyatta. Sasa mwaka huu Raila anaungwa mkono na Uhuru Kenyatta. Je,CHADEMA watalazimika kumuunga...
  17. Eyce

    Tuzo za Muziki Tanzania 2021, Bado tuna safari ndefu sana

    Kiukweli nilikuwa hata sijui kama ni leo ila Katika pitapita za kubadilisha TV channels ndio nakutana nazo Ukiachilia promo ambayo imeonekana kuwa na udhaifu, bado kuna mambo mengi ya kuboresha 1. Utoaji wa Tuzo Nimeona kuna tuzo 3 za heshima ikiwemo ya Ruge Mutahaba na Diamond platnums bado...
  18. Mr sule

    Changamoto zilizokutana nazo katika kuanza safari yangu ya kuwa mfanyabiashara

    Poleni kwa majukumu ya kila siku, ni matumaini kila mmoja wenu ni Mzima wa afya tele na Mungu aendelee kubariki uzima huo ili kufikia malengo na majukumu ya kila siku. Leo nataka ni share nanyi safari ya nilioanzisha na bado inaendelea ya kuwa mfanyabiashara mkubwa. Kuwa mjasiriamali ni moja...
  19. MK254

    US hotel chain Marriott to open luxury safari lodge in Maasai Mara

    An artistic impression of JW Marriott Masai Mara Lodge’s junior suite tent bedroom. PHOTO | COURTESY | MARIOTT INTERNATIONAL Global hotel chain Marriott International has signed an agreement with Baraka Lodges Limited to open its first luxury safari lodge in Masai Mara, Narok County. The JW...
  20. Mia saba

    Kuna Msemo wa Maisha Ni safari, yako imefikia wapi

    Safar ya Mwanadamu ya mapambano inaanza punde tu anapozaliwa. Hiyo safari iliyosemwa na wahenga yako iko wapi?
Back
Top Bottom