safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Mag3

    Kazi iendelee na safari iendelee, tutafika tu. Ni wapi na kwa namna gani, tutakomaa tu!

    Katika pita pita yangu humu JF nimekutana na huu mjadala kati ya ninaoamini ni watetezi wakubwa wa kazi iendelee na wana CCM kindaki ndaki. A: Kazi iendelee, Shaka apewe Urais tu! B: Bado hajakomaa vizuri... C: Atakomaa huko huko! Nakiri sikushangaa hata kidogo. Huwezi ukapanda mchicha...
  2. Suzy Elias

    Safari za Kikwete hugharamiwa na nani?!

    Hizo safari za kila uchwao za Kikwete toka alipo staafu u Rais hugharamiwa na nani?
  3. Lanlady

    Kama Mtanzania wa kawaida, naomba kujua umuhimu wa hizi safari

    Makamu wa Rais yuko Marekani kuhudhuria mkutano, Rais yuko Uingereza kwenye msiba. Kuna mawaziri wako nje ya nchi kwa ziara mbalimbali. Mambo haya ni tofauti na awamu iliyopita. Natamani kufahamu umuhimu wa hizi safari hasa hii ya makamu wa rais. Ikiwa baadhi ya marais wako msibani kuhudhuria...
  4. GENTAMYCINE

    Huenda Safari ya 'Mafahari' Wawili wa Tanzania zikaishia Angola na Sudan

    Leo natabiri mapema hapa kwa niliowaona wa kule Angola na wa Sudan ama Mafahari Wawili Wakatolewa ( Wakafurumushwa ) Wote au Mmoja wao tu ndiyo akabahatika Kufuzu Kundini lakini siyo Wote kwa pamoja ( kama Mafahari ) ndiyo watapita. Wengine tumeumbwa kuwa Wakweli halafu tuna Macho ya Kimpira...
  5. BARD AI

    Rais Ruto ameanza safari yake ya kwanza nje ya Kenya, atakutana na Mfalme Charles III na Rais Biden

    Akiwa huko, Rais atakaribishwa kwa chakula cha jioni na Mfalme Charles III na pia atahudhuria Ibada ya Viongozi wa dunia leo jioni Jumatatu, Ruto atakuwa miongoni mwa viongozi wa dunia watakaohudhuria mazishi ya Malkia Elizabeth II. Ruto ni kati ya viongozi 500, ikiwa ni pamoja na Rais Joe...
  6. Idugunde

    Zitto Kabwe yupo Lyv Ukraine anafanya nini huko wakati kuna vita? Nani anadhamini safari yake?

    Huyu kiongozi wa ACT Wazalendo mbona hasomeki?
  7. BARD AI

    Mkurugenzi aliyefariki kwenye ajali Mbeya alionywa asiendelee na safari akadai ana haraka

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Zuberi Homera amesema Askari waliokuwepo eneo la Inyala Mbeya waliwashauri Mkurugenzi wa Halmashauri ya Igunga Fatma Omary na Dereva wake kutoondoa gari leo eneo hilo kusubiria Malori yapite ili magari madogo yaruhusiwe kama utaratibu unavyotaka lakini wawili hao...
  8. U

    SoC02 Safari ya kijani kibichi

    Hakika lilikuwa taifa la kushangaza, ilikuwa ni nchi ya kuvutia macho na kupendea kwa kutazamwa kwa macho. Ilikuwa ni sehemu ambayo yeyote angependa kuitembelea, eneo lenye mapori ya kipekee, misitu minene, na savana yenye wanyama wengi mno. Mwenyezi Mungu ali iipendelea kwa kuimwagilia kwa mvua...
  9. JanguKamaJangu

    Tanzania tumepigika tena, safari hii 3-0, Uganda haooooo wamefuzu CHAN 2023

    Safari ya timu ya taifa ya Tanzania kufuzu kucheza Kombe la Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN 2023) imefikia tamati baada ya kupata kipigo cha magoli 3-0 dhidi ya Uganda, leo Jumamosi Septemba 3, 2022. Kwa matokeo ya mechi hiyo iliyochezwa Uganda, Tanzania imetolewa kwa jumla ya...
  10. mirindimo

    Pamoja na safari nyingi za JK lakini tulikula bata

    JK alisafiri kila leo, alijenga Shule nyingi za Kata, aliajiri Watumishi wengi kila mwaka, alipandisha Mishahara na pia alilipa hadi Watumishi hewa bila TOZO, kitaa Maisha yalikuwa mazuri dola 1 ilikuwa 1,600 tu.
  11. Jamhuri ya Zanzibar

    Ya Bamkwe yangalipo: Safari yangu ya gerezani bila kupitia polisi wala mahakamani

    Na; Ahmed Omar UTANGULIZI Kwa takriban miaka kumi hivi tokea kufanyika kwa Mapinduzi ya 1964 palikuwa pakifanywa uhalifu mkubwa hapa Zanzibar kwa jina la Mapinduzi hayo. Moja ya eneo maarufu ambalo lilikuwa limeshtadi kwa mateso na ukaltili ni gereza la Kwa Bamkwe. Huku gerezani Kwa Bmkwe...
  12. and 300

    Tetesi: Qantas airline kuanza safari Sydney - Zanzibar

    Katika kuunga mkono mafanikio shirika la ndege la Qantas (Australia), wamekusudia kuanza safari za Sydney -Zanzibar kupitia Kilimanjaro ili kukuza utalii na Uchumi wa buluu.
  13. mike2k

    Nasa artemis 1: Kesho kuanza safari ya kuelekea katika mwezi

    ROCKET YA MWEZINI KURUSHWA SIKU YA KESHO 29 AUGUST Shirika la uchunguzi na tafiti zinazohusu anga za juu kwa ujumla NASA kufanya majaribio ya rocket itakayoweza kutumika katika safari za kuwapeleka wanaanga na vifaa mwezini katika masiku yajayo kwenye mission mbalimbali za kwenda kwenye gimba...
  14. mzeelazaro

    SoC02 Safari ya Dar es Salaam

    Safari Ya Dar es Salaam Dar es Salaam ni moja mkoa kati ya mikoa 33 na moja ya jiji kati ya majiji 5 katika nchi ya Tanzania. Dar es salaam ina wilaya 4 ambazo ni Kinondoni, Ilala, Temeke na Kigamboni. Dar es Salaam ni jiji mashughuli linalozungumziwa Zaidi katika mikoa mingine kuwa ni jiji la...
  15. Mpinzire

    NI Ujinga uliopitiliza kuongeza Posho za safari mpaka Tsh 250,000 kwa siku huku mkitujazia matozo kila sehemu sie walalahoi.

    Rejea Gazeti la Mwananchi la May 27, 2022 Serikali imetoa kibali cha kurekebishwa kwa posho ya kujikimu safarini kutosha Sh120,000 hadi Sh250,000 kwa daraja la juu na Sh80,000 hadi Sh100,000 kwa daraja la chini. Taarifa hiyo imetolewa leo Ijumaa Mei 27, 2022 na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais...
  16. ChengulaJr

    SoC02 Busara za Babu na Safari ya mjukuu

    Nilimkuta amejikunyata ndani ya blanketi lake lililokuwa na rangi ya udhurungi, macho yake hafifu yalikua yakilitazama jua, ambalo lilikuwa likitoka huko mafichoni lilikokuwa ili kuja kuungaza ulimwengu, katikati ya mapengo yake ya mbele, alikua amekibananisha kiko chake vilivyo ili moshi wa...
  17. DustBin

    SoC02 Maisha ni Safari

    Nilipohitimu shahada yangu ya kwanza ya elimu mwezi wa saba mwaka 2014 kule Mtwara kwenye chuo cha STAMUCO nikaamua kurejea nyumbani Dar-es-Salaam, nikaona nisibweteke na kungojea ajira za Serikali, nikaamua kujiunga na shughuli za hapa na pale angalau niwe napata hata fedha za kuweza kununua...
  18. Sky Eclat

    Desert Boots tuliziita Safari Boots

    https://www.zappos.com/p/clarks-desert-boot-sand-suede-1/product/105990/color/227296?PID=100039162&AID=14044464&utm_source=Skimlinks&splash=none&utm_medium=affiliate&cjevent=989dda15173111ed836c119e0a180514&utm_campaign=5370367&utm_term=100039162&utm_content=14044464&zap_placement=74968X1525077Xb...
  19. Revocatus Mweyunge

    SoC02 Safari ya Mwanafunzi

    Utangulizi Elimu ni ufunguo wa Maisha ni neno ambalo limekua likizungumzwa sana katika jamii yetu. Neno hili limekuwa likitumika kuhamasisha wanafunzi kupenda shule na kuongeza juhudi zaidi katika masomo yao. Wazazi wengi wamekua wakiamini na kuwaaminisha watoto wao kuwa bila ya kuwa na elimu...
  20. Pascal Mayalla

    Licha ya vikwazo kadhaa, hatimaye nimefanikiwa kuianza ile safari. Asanteni kwa sala zenu zimesaidia ila bado zinahitajika sana! Mungu nisaidie

    Wanabodi, Ukiwa na jambo lako, ukaomba msaada wa usaidizi kwa public ili usaidiwe, the public ulioomba msaada ika respond positive, ukasaidiwa kwa michango ya hali na mali, baadhi yetu ni huwa wanyenyekevu wakati wa kuomba tuu, lakini tukisha fanikiwa, tunatabia ya kujisahau. Haturejei...
Back
Top Bottom