Maisha wanayoyataka Taasisi za kidunia ni aina ya maisha ya utumwa ambapo wanaforce kila jambo liwe fursa na kwa sababu hii ndiyo ugumu wa maisha unazidi kuongezeka.
Imagine zamani mtu anatoka home saa 12 asubuhi halafi anarudi 5 kutoka shamba, anapata muda na familia yake, muda wa kupata...
"Mwanamke akikupa pesa yake wivu wake unaongezeka maradufu, na anataka uwe wake peke yake, yaani ni kusema achilia mbali kutaka kumiliki moyo wako lakini pia anataka na roho yako.
"Pesa ya mwanamke ina masimango sana, ukizoea kupewa pesa na mwanamke kubali kudharauliwa."
Kama una date dem wa kinyakyusa hakikisha hatokei Kyela. Wanawake wa Kyela wana viburi sana alafu wanabishana sana, anaweza kukufokea hadharani ukabaki unajilaumu kwanini ulioa. Alafu wanapiga juju hao balaa, unaweza jikuta unamtumikia.
WANAWAKE WANAJUA NI MUDA GANI SAHIHI WA KUMSHINDA MWANAUME.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Mwanamke yeyote anayejifanya mjuaji kikawaida huwa na akili ndogo. Ni wengi huishia kwenye kushindwa vita nyingi kwa sababu ya upeo mdogo.
Kwa sisi Watibeli, tunajua moja ya mbinu za Watu Smart hasa...
Upo vitani. Unapigania "uhuru" au "Haki" yako. Adui unayepambana naye ni mwenye nguvu sana. Ukisema upambane naye hummudu. Ni sahihi kutumia ugaidi kupambana naye. Hapa ugaidi namaanisha kupiga watu na vitu vyake visivyo vya kijeshi? All is fair in war?
Vita vya mara kwa mara nchi DRC ni usumbufu wa nchi ya RWANDA.sasa sioni maana ya kuwa member wa EAC wakati nchi mwanachama anakuletea usumbufu wa mara kwa mara.
Kama EAC haitangilia mzozo wa DRC ni dhahiri itakuwa kama Urusi na Ukraine.
Jamaa anadai huyu Jenifer ( siyo jina halisi) alikuwa mke wake wa ndoa, walipofunga ndoa jamaa alifanya janja janja ili angalau na mke wake apate sehemu ya kupata kipato chake
Akiwa ndo wana mtoto mmoja jamaa aliandaa mazingira fulani akapata cheti na kufanikisha mke wake kuingia chuo na baada...
Habari za wakati huu;
Nimeona watu wakitoa maoni yao mbalimbali kuhusu tahasusi mpya zilizotangazwa na TAMISEMI. Katika kufuatilia mijadala, nimekutana na maoni mengi sana ila nalazimika kusimama hapa na kuiunga mkono serikali kwa uamuzi wake huu. Uamuzi huu ni uamuzi sahihi kwa wakati sahihi...
Wengi wanashauri, ili ufanikiwe lazima ufanye kazi kwa bidii; lakini miaka nenda rudi, kuna wasukuma mikokoteni wanafanya kazi kwa bidii, waponda kokoto wanafanya kazi kwa bidii, mkulima analima kwa bidii, mchoma mahindi anahoma kwa bidii, muuza nyanya anafanya kwa bidii n.k lakini maisha yao...
Katika ubatili niliojifunza katika Dunia hii ni pamoja na kujitahidi kufanya mambo ili kuwaoneshea wengine kuwa wanavyosema au wanavyonitazama ni tofauti na nilivyo.
Huu nao ni utumwa mkubwa sana kwa sababu inamfanya mtu kuishi kwa sababu ya wengine badala ya kuishi kwa ajili yake mwenyewe...
Kwema Wakuu!
Tukio la kupigwa kwa mchungaji na wanakijiji kisa Watoa uchawi maarufu kama Kamchape limezidi kudhihirisha dini na uchawi kwa sehemu kubwa ni utapeli.
Hakukuwa na sababu ya Mchungaji kuwazuia hao waganga kuja kutoa Uchawi. Zaidi hakukuwa na sababu hata moja ya kupiga simu polisi...
NI WAKATI SAHIHI KWA SERIKALI KUANZISHA SHERIA ZA PRENUP KWA WANAOTAKA KUINGIA KWENYE NDOA KUEPUSHA MATAPELI.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Huwezi ukawa na sheria ya Talaka alafu muda huohuo isiwepo sheria ya PreNup. Huko ni kutengeneza mazingira ya utapeli, dhulma na kuifanya ndoa isiwe...
Mradi wa DART umepewa mkurugenzi mpya ambaye ni Kindammba. Kwa utendaji wa Kindammba kama mkuu wa mkoa sidhani kama huyu ni kiongozi wa nafasi za kitaalamu kama makampuni.
Najiuliza baraza la mawaziri lililokaa wiki hii na kumpitisha lilijishauri vyema au lilitumia influence ya kiongozi mkuu...
Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka jana na nilipata ufaulu ufuatao
CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D'
Ni kipi kitakuwa sahihi zaidi kwangu kusomea (haijalishi kipo advance au college)
Naombeni ushauri katika hilo
Kuna haja gani ya kuwa na Wizara ambayo heileti solution? Kama hadi sasa hakuna muongozo wa Wizara kuhusiana na tatizo hili, matokeo yake watu wanajipaka tuu madude yasiyoeleweka na kupelekea wengine kupata upofu.
Hata ukienda hospitali wanakwambia hatuna maelekezo hivyo mkanawe tuu!
Hii ni...
Kama mwanume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi pia mwanamke kumkimbia mwanaume akifukuzwa kazi Au akikosa kipato tena bila huruma.
Kweli, matumizi ya taa za gari ni muhimu sana kwa usalama barabarani. Kutumia mwanga mkali (full light) katika mazingira ya foleni au msongamano wa magari kunaweza kuwa hatari kwa sababu ya athari ya kumulika moja kwa moja kwa madereva wengine.
Hii inaweza kusababisha kutopata mwelekeo mzuri wa...
Msikilizeni Mwalimu enzi za uhai wake kwenye Issue ya Wanyamulenge ambayo mpaka leo Viongozi wa Kiafrika wamekosa solution zaidi ya kuuwa Watutsi huko Kongo
https://youtu.be/lN4xauSXN7o?si=LpHu_r6GTALFayCw
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.