sahihi

  1. The Sheriff

    Ndege ya Serikali kutumiwa na CCM kwa kazi za kichama ni sahihi?

    Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Tabora leo kushiriki mazishi ya Mzee Hassan Mohammed Wakasuvi. Nimeona Daktari ametimba mjini Tabora na ndege ya Serikali. Swali langu ni: Je, ni sahihi ndege ya serikali kutumika kwa kazi za kichama?
  2. T

    Lipi lililo sahihi kufanywa na rafikie Lowassa.. Aendelee na ukimya au aongee?

    Wataalamu wa sayansi ya saikolojia wanashauri nini hapa. Tuhuma za usaliti hazikomi. siamini kabisa kama ana amani moyoni, na kwa umri alionao sasa naona kama ameporomoka ghafla. Sioni kama heshima yake ipo tena. Kifo cha rakiki yake naona kimemnyanganya heshima yake yote. Ana uwezo wa kukemea...
  3. Crocodiletooth

    Je Rais wa Kenya W. Ruto yupo sahihi kwa hili?

    "Nimeongea na watendaji wa serikali yangu kuhusu baadhi ya wahubiri kucheza na imani za wakenya. Kuanzia sasa yule anataka kuuza maji asajiliwe na mamlaka ya maji, yule anataka kuuza mafuta asajiliwe na food and drugs authority, na yule anataka kuuza mbegu asajiliwe wizara ya kilimo. Watambulike...
  4. Makonde plateu

    Tafadhali jamani aisee! Kwa mujibu wa ukoo wa marehemu mimi ndiye mrithi sahihi wa mke wa marehemu

    Wajameni mimi ni mswahili kabisa na sifa moja ya mswahili ni ustaarabu na uadilifu aisee na wala sihitaji ugomvi na mtu yoyote ile aisee siku moja kabla ya msiba wa ndugu yetu tulikaa kikao na nikachaguliwa moja kwa moja kuwa mrithi sahihi wa mke marehemu mzungu wa nywele si mnaelewa...
  5. Matulanya Mputa

    CHADEMA tafakarini kama maandamano ya Februari 15 ni sahihi

    Taifa lipo katika msiba, huu ni msiba wa kitaifa na nyinyi mnataka maandamano, je mpo sahihi? Sisi kwa kanuni za kiusalama hampo sahihi na hatuungi mkono uvunjifu wa Amani, na pia hatuwezi ruhusu tarehe 15 mtaniambia nipo hapa. TUKUTANE MONDULI MIMI NATANGULIA LEO Pia soma - Mbowe...
  6. E

    Tunawalaumu sana CCM, je ni nani anaweza kuwapa nchi chama kama CHADEMA?

    Nawaheshimu sana CHADEMA kama chama kikuu cha Upinzani lakini ni ngumu sana kukipa Nchi chama ambacho marafiki na wadau wao wakubwa ni nchi za nje. Je, usalama wa rasmali za nchi utakuwepo? Ni swali kubwa la kujiuliza.
  7. B

    Je, ni sahihi kutumia 'ninyi' badala ya 'nyinyi'?

    Vitabu vingi vya sarufi vinadai kwamba badiliko hili ni sawa lakini siamini Wakuu wa lugha ya kiswahili, lahaja ipi inaruhusu "ninyi"?
  8. MamaSamia2025

    Tunahitaji mjadala wa kitaifa kuhusu umri sahihi wa mtu kuitwa kijana

    Binafsi mimi ni kijana mdogo wa miaka 38 na mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi. Huu uzi umeandikwa na kijana. Pamoja na kujitambulisha ila kama kichwa cha habari kinavyosomeka imefika sehemu kama taifa tunahitaji mjadala kuhusu upi ni umri sahihi wa mtu kuendelea kuitwa kijana tofauti na hali...
  9. P

    Kutumia condom ambayo ilikuwa expired mwezi huohuo, unaweza ambukizwa?

    Kuna mtu anauliza, Kama alishiiriki sex mwezi December , na mtu kwakutumia condom ambayo ilikuwa expired mwezi huohuo yaan mwezi December Je Kama huyo MTU Ana maambukizi anaweza kuambukizwa??
  10. RoadLofa

    Hili tangazo la ajira lipo sahihi kweli au mimi ndio sielewi?

    Ivi seminary na saints uwa zinaajiri kwa vigezo kama ivyo? Shule ya kiislamu inatafuta walimu wa masomo yafuatayo: 1. Advanced Maths & Physics (1 teacher) 2. English & Kiswahili (1 teacher). Sifa: Muislamu Jinsia ya kiume Amehitimu chuo kikuu kwa fani yoyote na awe amepitia Advanced level kwa...
  11. GENTAMYCINE

    Je, ni sahihi kwa Marais wa Afrika kufanya Promotions za Birthday Parties zao Redioni na Runingani huku nchi zao zikiwa ni Maskini na Wananchi wao?

    Nasisitiza tena hapa nawaongelea Marais wote tu wa Afrika, sasa Wewe jitutumue kuja Kukurupuka namsema wako nikupe ulichokuwa ukikitafuta kwa huko Kuwashwawashwa Kwako.
  12. D

    Kipimo cha HIV/AIDS (Bioline) kinaweza kutoa majibu sahihi hata ukitumia water for injection (maji ya kuchanganyia dawa za sindano) badala ya buffer

    Niliwahi ambiwa na wataalamu wa hospital DOCTORS AND NURSES..Kuwa ukipima HIV/AIDS kwa kutumia kipimo cha Bioline ukikosa maji yake..unaweza kutumia hata water for injection na majibu yakatoka sahihi Nakiri ni kweli baadhi ya sample niliwajaribu kuzipima kwa kutumia buffer pia sample izo izo...
  13. DON YRN

    Ni kweli tumetolewa; hatukatai. Umri wa wachezaji wetu uko sahihi?

    Ni katika kujaribu kuwaza na kufikiria nje ya box na mawazo yangu binafsi. Mm siyo mtu wa mambo ya mpira sana lakini kwa hii AFCON nilikuwa nipo macho kuifuatilia timu yangu ya Taifa kwa kila hatua. Kitu nilichokigundua kwa macho na akili na umakini niliokuwa nao kwa namna wachezaji wetu...
  14. GENTAMYCINE

    Je, ni sahihi kwa Mtangazaji wa TBC Taifa kutamka haya Hewani?

    "Tafadhali ewe Mtanzania fanya kila uwezalo na kama una Babu yako Mganga wa Kienyeji mwambie asaidie kwa Ndumba ili Taifa Stars iifunge Zambia na hata tulicheza na Congo DR tushinde pia" Kuna Mtu miaka ya nyuma aliwahi kuniambia kuwa kama kuna Media ambayo Watumishi wake Wanarogana / Wanapigana...
  15. comte

    Pre GE2025 Kwa maelezo ya Baba Mwita na kuwepo kwa kipindupindu jijini DSM RC yuko sahihi kutumia jeshi JWTZ

    RC, hana mamlaka ya kutoa AMRI kwa JWTZ. Kanuni za jeshi zinamtaka yeye (RC) kufanya maombi kwa fomu maalum kwa Waziri wa Ulinzi ili jeshi lije uraiani. Lakini, kuna masharti, kabla ya kupeleka ombi, ni lazima eneo husika liwe na FUJO (riot) au shughuli hatarishi ambapo jeshi hupelekwa KULINDA...
  16. Mwamuzi wa Tanzania

    Naomba ushauri: Nimdhamini au niachane naye?

    Ni mtu ambaye miaka 10 tulikutana katika harakati za utafutaji kazi. Tukapoteana tulionana mjini Dar mwaka jana. Mwaka jana kibarua chake kiliota nyasi. Si unajua sekta binafsi mistake ndogo tu wanapita na wewe. Familia ina hitaji kula, umri umeenda kahangahika kaamua aende kampuni ya Uzinzi...
  17. THE FIRST BORN

    Amrouche Alikua Sahihi 100% Morroco Wanabebwa Sana hawana huo uwezo Saiv, TFF Ya Karia Hamjui Mpira

    Nasema hivi Weusi sisi ni Njaaa sana, Tumempata Kocha atakae tuponya atakae tuambia ukweli tuendeleee katika soka ila kwa kua tuna watu wasiojua Mpira saiv wanapanga kumfukuza kocha. Mnamfuta kazi kocha Kisa kasema maneno ya ukweli na wameshamfungia ila alietazama Match zote za Morroco ameelewa...
  18. X

    Nimechoka kujifanya najua, hebu tusaidiane hapa

    Naombeni matumizi sahihi ya iko na ipo au tuko na tupo. Ukitoa maelezo na mfano wa sentensi itakuwa vizuri zaidi
  19. JamiiCheck

    Tafsiri isiyo sahihi husababisha upotoshaji wa taarifa

    Tafsiri ya lugha inaweza kuwa ngumu na kuweza kusababisha upotoshaji wa taarifa kulingana na utofauti wa lugha, na uwezo wa mtafsiri. Wakati mwingine, maneno au misemo inaweza kuwa na maana tofauti katika lugha nyingine, na mtafsiri anaweza kushindwa kuchagua maneno yanayofaa au maneno sahihi...
  20. Clepatina

    Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
Back
Top Bottom