Huenda bila mashirikiano mema ya Tanzania na Marekani bwana Trump asingeshinda u Rais wa Amerika.
Kwalo, juhudi binafsi za ukuaji wa demokrasia ndani ya Utawala wa Samia zimeufanya ulimwengu uone na kuiga mengi mema yanayofanywa na mama hali inayopelekea hata wao kujifunza kutoka kwake...
Najua kwasasa rais Samia yupo Havana nchini Cuba, karibu kabisa na jimbo la Florida, jimbo ambalo Master Donald Trump the Great amepiga kura.
Naomba Rais wetu ampongeze kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii. Pia amwambie kuwa tunatarajia atakata misaada ya hovyo barani Africa ili tujifunze...
Yani nisawa na kusema Rais wa Marekani aje mara 3 au 4 Tanzania kwa ziara ya kikazi lakini akute rais wetu yuko busy mara zote hizo na ashindwe kuonana licha ya jitihada za balozi.
Inauma sana asikwambie mtu. Mbaya zaidi ni kukosekana hata kapicha ka ushahidi ka chakula cha pamoja.
Na inauma...
Rais Mwinyi ameondoka kulekea China kwenye ziara ya maonesho ya bidhaa mbalimbali, ikumbukwe last week alikuwa Doha Qatar kwenye kongamano la familia. Mhe. Rais Samia alikuwa Marekani kwenye kongamano la Kilimo, kwa sasa yupo Barbados visiwani akisubiri kwenda Cuba kwenye Kongamano la Kiswahili...
The Head of the Southern African Development Community (SADC) Electoral Observation Mission (SEOM) to the upcoming National Assembly Elections in the Republic of Mauritius, Honourable Mohammed Chande Othman, former Chief Justice of Tanzania, arrived in Port Louis on 4th November 2024.
His...
Utangulizi
Ninajisikia huzuni kila wakati ninapofikiria jinsi mabadiliko yanayofanywa katika mfumo, muundo, na ufanyaji kazi wa Tanzania Mining Cadastre Portal yanavyowakilisha changamoto kubwa kwa wachimbaji wadogo.
Inasikitisha kuona kwamba mabadiliko haya yanafanyika bila kuwashirikisha...
kuhusu
maoni
mfumo
portal
rais
rais samia
rais samia suluhu
rais samia suluhu hassan
samiasamia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
tanzania
tanzania mining
Aliyasema hayo alipohutubia mabaraza hayo nchini Kenya.
Anasema anafurahishwa na upana wa demokrasia na kiswahili cha wakenya chenye vionjo vingi.
Hivi Anafuatilia bunge la jirani huku la kwake kalifungia!?
Aliyasema hayo alipohutubia mabaraza hayo nchini Kenya.
Anasema anafurahishwa na upana wa demokrasia na kiswahili cha wakenya chenye vionjo vingi.
Hivi Anafuatilia bunge la jirani huku la kwake kalifungia!?
Hapa kuna orodha ya baadhi ya marais wa kike duniani, wasifu wao, na bara wanakotokea. Muhimu ni kunote kwamba Samia Suluhu Hassan ndiye rais pekee wa kike barani Afrika kwa sasa.
1. Samia Suluhu Hassan - Tanzania (Afrika)
• Wasifu: Samia Suluhu alizaliwa mwaka 1960 Zanzibar, Tanzania...
MODS naomba msiuunganishe mada hii na nyingine.
Mimi mmoja wa waathirika moja kwa moja wa kusuasua kwa TANROADS, na amana yangu inaelekea kuuzwa na benki kutokana na TANROADS kushindwa kutulipa.
Hali ya kusuasua na kuelekea kufa kwa TANROADS ni hali ambao haijawahi kutokea toka Taasisi hii...
Binafsi simpendi Samia not personal but kwa vitu vyote anavyofanya kwa watanganyika.
Katoa Toto afya kadi kwa watoto watanganyika
Kaongeza mfumko wa Bei kuanzia nauli, vocha, mafuta,
Shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka kutoka 2200 mwaka 2021 mpaka 2700 mwaka 2024.
Kawawekea matozo ya kila...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Mkutano wa 11 wa Merck Foundation Africa Asia Luminary, Ukumbi wa Johari Rotana Dar es Salaam, leo tarehe 29 Oktoba, 2024.
https://www.youtube.com/watch?v=pO386W-gVjw
SAMIA HEALTH SPECIALISATION SCHOLARSHIP PROGRAM 2024/25.
ORODHA YA WATAALAM WALIOPATA UFADHILI WA MASOMO MWAKA 2024/2025.
JINA LA PROGRAMU & IDADI YA NAFASI
1. Super-Specialization 44
2. Mmed (Specialization) 334
3. Mdent (Specialization) 8
4. MSc. Midwifery Specialization 14
5. MSc. Nursing...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa kila jambo na wakati wake na majira yake kwa sababu maalumu.huu ni wakati na muda muafaka kabisa kuchapisha noti zitakazokuwa na picha na sura ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Hii ni katika kuweka historia...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan yuko tayari kuendelea kushirikiana na viongozi wa dini kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali kuhusu maendeleo na ustawi wa nchi.
Dkt. Biteko amesema...
Akiongea katika Ibada ya kuwaaga Watumishi wa Dayosisi ya Kati, Singida Majini, amesema Raisi Samia hakuingia madarakani kwa bahati mbaya Bali kwa Mpango wa Mungu.
Amesema Raisi Samia haitaji kufanyiwa uchawa wa kinafki na kampeni za kinafki, maana kuwepo wake ni kwa kibali Cha Mungu mwenyewe...
Kwa nini hakwenda Samia na Waziri Kombo kama alivyokwenda Indonesia na Januari.?
Mi nadhani nchi yetu ina special relationship na UK,rais alipaswa kwenda kwenye ule mkutano.
After all Malkia ndiye aliyeamua ugomvi na Maalim Seif katika Uchaguzi uliopita.
Magufuli alikuwa poised kumuondoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.