Waziri Kombo amwakilisha Rais Samia ufunguzi rasmi wa Mkutano wa CHOGM
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi rasmi wa Mkutano wa 27 wa Wakuu wa...
Kuna ujumbe wa picha ya Raisi Samia na chini kukiwa na hayo maneno unasambaa kwenye ma-group ya WhatsApp ukionyesha kuwa Raisi Samia ametoa hiyo kauli.
Je, ni kweli Raisi Samia katoa hiyo kauli?
Kama ni kweli, kauli hiyo kaitoa lini na wapi?
Kama ni kweli, mimi naona itakuwa poa tu ili siku...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 49 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola (CHOGM) unaoendelea Apia, Samoa kuanzia Oktoba 21 hadi...
Ndugu zangu Watanzania,
Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Mama mwenye moyo wa huruma, upendo, unyenyekevu na ukarimu ametoa salamu za pole kwa Mchungaji Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka uangaze.kufuatia kifo cha Msaidizi wake Mkuu...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika ni jambo la kumshukuru sana Mungu kwa Maisha ya Rais Samia hapa Duniani.ukifuatilia namna anavyoongoza Nchi,namna anavyo chapa kazi,namna anavyopambana kutatua kero na changamoto mbalimbali,namna anavyotekeleza miradi ya maendeleo,namna anavyohangaika huku na...
VIONGOZI WA DINI WAPONGEZA JUHUDI ZA RAIS SAMIA KULETA MAENDELEO NCHINI
▪️Waandaa maombi ya wiki nzima kumuombea Rais Samia na Taifa
▪️Wahamasisha ushiriki wa Watanzania kwenye uchaguzi seriklai za mitaa
▪️Mbunge Mavunde apewa tuzo ya pongezi ya shughuli za kijamii
📍 Dodoma
Viongozi wa Dini...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Nchi zetu zinazoendelea hususani barani Afrika kiongozi mkuu wa Nchi yaani Rais Wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu Anaweza leta nuru ama giza katika Taifa na mioyoni mwa Watu,anaweza leta Matumaini au kuwavunja watu moyo ,anaweza wafanya watu kuona leo ni afadhali ya jana...
KATIKA kipindi ambacho CHADEMA imekuwa ikieneza propaganda potofu kuhusu hali ya demokrasia nchini Tanzania, ukweli umeonekana wazi kupitia matamshi ya Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) la Marekani.
Viongozi wa juu wa CHADEMA, akiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu, wamekuwa wakiandika barua...
Kwenye gazeti la leo la Mwana Habari pana habari inayosemeka 'Rais Samia apeleka kicheko elimu ya juu'.
Habari hii inahusu mikopo kwa wanafunzi wa vyuo.
Kwa kweli nimefadhaika mno kwani niña binti ambae kateuliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salamm (UDSM) kwa mwaka wa kwanza.
Tarehe 4/09 nililipa...
WANU H. AMEIR - KUPATA ELIMU YA AFYA NI JAMBO MOJA, LAKINI MUHIMU SANA NI KUPIMA KUJUA AFYA YAKO
"Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) tunaunga mkono Serikali zote mbili, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika masuala ya Elimu, Afya na Uchumi" -...
Viongozi wa CCM pigeni marufuku pikipiki za 'Samia 2025' kutumika kama 'bodaboda' Ila kama hawa viongozi wa huku kwenye mashina mmewapa ziwe za kwao basi tujue. Hali ikiendelea hivi 2025 zitafika zimechoka.
Ni hayo tu
MHE. WANU HAFIDH AMEIR AJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Wanu Hafidh Ameir amejiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa linaloendelea nchi nzima tangu...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Tanzania inapeleka mwenge wa uhuru juu ya mlima Kilimanjaro ili kuitangazia dunia kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni imara na pia itaendelea kulinda Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar...
Ukiwaza na kufikiri kwa kina sana utagundua Chadema wananufaika na hawa wabunge 19.
Hili halishangazi ila kuwaacha watu wanaokula mamilioni kinyume cha sheria na kutaka kumtoa Samia kitu ambacho wanajua kabisa hawataweza ndio kinashangaza.
Kuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.
Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampende?
Salaam, Shalom!!
Sisi wengine shule zetu ndogo, unakaa unajiuliza ikiwa tuna Nchi Moja Tanzania, na Rais Samia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, iweje akiwa Zanzibar Hana mamlaka kama huku bara?
Sasa huu Muungano mbona utata mtupu? Kwanini hawezi kugusa hata kisiwa kimoja kule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.