Hello JF.
Wazoefu zaidi yangu naomba ushauri ipi ni simu sahihi kuchukua hapo kati ya hizo tatu. Huawei Y7 Prime (2019) vs Samsung A10s (2019) vs Samsung A600FN (2018)
Price: Zote napata kwa bei moja ya 220000/= (Used , import from Dubai). Zote storage ni 32GB. Condition: Clean as new
Cc...
Nauza Samsung NX30 camera system .
camera body ipo katika hali nzuri kabisa original box, CDs and camera strap.
Na inauzwa pamoja na lens zake 3 kama unavyoonekana katita picha
Samsung 18-55mm f/3.5-5.6 OIS III
Samsung 50-200mm F4-5.6 ED OIS III
Samsung 30 mm f/2.0 is pancake lens
External...
Nimebadilisha battery mara 2, lakini bado inapata moto hatari, japokuwa siitumii sana ila nikiiwasha tu inapata moto mno. Nimeweka apps kama Wake Lock nk lakini bado tu, tusaidiane wakuu.
Nimekuwa mtumiaji wa Samsung A-series tangu za 2015,
hizi ni mid-range Samsung smartphone, na wamekuwa wakizibadilisha muonekano mwaka kwa mwaka (binafsi toleo la A-series la 2016 ndio bora kwangu mpaka sasa).
Samsung A-series na M-series za mwaka huu, ukiondoa A60, A80 na M40 yaani zote...
Samsung A7 (2018) inakuja na feature mpya ya camera 3 na uwezekano wa bei kupungua ili kushindana na simu za kichina.
Lakini Samsung katika siku za hivi karibuni, imeshambuliwa na ushindi kutoka kwa wachezaji wa Kichina kama vile Huawei na Xiaomi, ambao wametoa vifaa vingi vya ubunifu katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.