Miye ni mapenzi mkubwa wa Simu za kampuni tajwa hapo juu.
Nimefanikiwa kutumia baadhi ya Simiu zake,
Lakini ndoto yangu ilikuwa kumiliki samsung a80,
Je, bado zipo kwenye stock na kwa sasa bei yake ni shs ngapi?
Mwenyekioo cha hii simu anicheki haraka, Kiwe used. Offer chini ya 100k. Maeneo ya Dar, Moro na Dom tunaweza kuwasaliana kwa haraka zaidi. Mawasiliano 0715175518.
Tarehe ya mwisho ya Septemba 15 inaonekana inazidi kutisha kwa Huawei - laini ya usambazaji ya kampuni hiyo itapungua pamoja na kukatwa kutoka kwa supplier wa chip wa TSMC. Reuters inaripoti (ikinukuu media ya Kikorea) kwamba Samsung Display na LG Display zinatarajiwa kusitisha uuzaji kwa...
Kampuni za electroniki za Samsung na LG zimesitisha rasmi mkataba wa kuiuzia kampuni ya Huawei vioo au screen panels zinazotumika kwenye simu.
Kampuni ya Samsung ndiyo muuzaji mkubwa wa vioo vya simu ama display za OLED, AMOLED na LCD zinazotumika kwenye simu nyingi Duniani.
Samsung na LG...
Nataka kununua Simu.
Naomba ushauri toleo gani zuri la Samsung.
Bajeti yangu 300,000/= ~ 400,000/=.
Nazingatia zaidi good camera na muonekano.
Update
Niliongeza pesa kidogo nikachukua Samsung A 51, nimeipenda ni nzuri. Asanteni.
Kwa mara ya kwanza Katika ulimwengu wa kampuni KUBWA na MAARUFU za Simu(Tuelewane hapo, usikimbilie ligi uje unitajie Doogee, Energizer au ulefone).
Hatimaye leo mchana samsung ametoa ingizo jipya katika series yake ya 'M', series inayojuulikana kwa kutoa simu zenye battery kubwa.
Hii ni...
Kamati ya EISA imekagua simu janja ambazo zilizindua mwaka huu na kuzawadiwa bora zaidi kati yao - hapa ndio washindi.
The OnePlus 8 Pro walipata tuzo bora ya Smartphone. Jopo la waamuzi lilifurahishwa na jinsi kifaa huchanganya muundo na cutting edge, ikionyesha display ya 120 Hz 1440p +...
Kampuni ya electronics, XIAOMI, Imezindua simu mpya ( Xiaomi Mi 10 Ultra) yenye 4,500 mah battery inayoweza kwenda 0% to 100% charge ndani ya dakika 20 tu ikitumia official charger ya watts 120 🔥
Pia simu hiyo ina support 50 watts wireless charging ambapo itatumia 40 minutes pekee kujaa
Simu...
Kwa ambao hatuelewi chipset, hii ndio brain ya simu. Hiki ni kifaa kinachojumuisha vifaa vyote vya simu ama vinavyofanya simu ifanye kazi kama processor (or CPU), graphics processing unit (GPU), memory controller, modem, and other controllers are built into this single chip that it the chipset...
Habari wanajamii na Skukuu ya Eid njema.
Nimenunua Tv ya Samsung Smart tv used, nimeunganisha internet na simu yangu na imekubali vizuri tu na simu yangu ina Gb za kutosha za kuweza kuperuzi internet. Vilevile ninapojaribu kufungua internet kwenye web browser, mwanzo inafunguka vizuri na...
Wakuu nauza simu Aina ya samsung a50 kwa bei rafiki kabisa ya 550k
Karibu PM au piga simu namba 0692377018 kwa biashara.
Simu bado ni mpya imetumika ndani ya mwezi tu mmoja iko na kila kitu chake kama earphone,charger na risiti yake au kwa mwenye samsung s8 edge karibu kwa mabadilishano...
Habari wanaforum,
Natafuta kioo cha Samsung Galaxy A20 kilichotumika na bajeti yangu ni 100,000/=.
Nipo Dar es salaam Kinondoni.
Kama atapatikani anitafute ili tuonane twende kwa fundi ili nikakifix na kuona kama kinafanya kazi ili tulipane pesa hizo.
Pesa yangu iko mfuko wa shati na hiyo...
Wakuu,
Simu yangu samsung A50, nikipiga au kupigiwa simu, baada ya dakika chache wakati naongea hukatika na kuwa kama inaji-restart hivi. Yaani siwezi kuongea zaidi ya dk. bila kukatika.
Tatizo litakuwa ni nini?
Wakuu msaada . Simu yangu samsung note 5 touch yake hairespond na hata pen yake haifanyi kazi.
Je kwa wazoefu tatizo kama hili linatokana na nini na linatatulikaje? Gharama zake inaweze kuwa kiasi gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.