samsung

  1. Samsung_Store_Tanzania

    Phone4Sale Samsung Galaxy A03s zimeshafika brand new 350k

    Samsung Galaxy A03s zimeshafika brand new Karibu tukuhudumie tupo kariakoo china plaza ground floor shop no 4 ,tupigie 0622666111 zinakuja na warranty ya miaka 2 Key Specs ☑️Display 6.50-inch (720x1600) ☑️Processor MediaTek Helio P35 ☑️Front Camera 5MP ☑️Rear Camera 13MP + 2MP + 2MP ☑️RAM 3GB...
  2. Samedi Amba

    Natafuta Samsung Tab 8 Mpya

    Hello Wadau, Niko Dar. Natafuta tab 8 mpya. Isizidi laki 4. Au Tab T. Nishtue inbox. niko Dar mpaka kesho jioni
  3. dardealz

    Phone4Sale Samsung S8+ / S9+ bei nafuu sana

    Offer BABKUBWAAA[emoji419] USED SmartPhones (clean condition) from Japan, UK & Dubai sasa zinapatikana bei rahisi[emoji3578] S8 Plus - 415000/=[emoji736] [emoji3541] Storage 64GB [emoji3541]Ram 6GB Colors - Mix S9 Plus - 465000/=[emoji736] [emoji3541] Storage 64GB [emoji3541]Ram 6GB Colors -...
  4. Mtalebani Mweupe

    Phone4Sale Samsung S8 Inauzwa

    Nauza Samsung Galaxy S8 Edge Ina 4GB Ram 64GB Storage Battery health 100% Inakuja na Original Fast Charger na Kava lake. Haina crack wala mchubuko wowote. Imetumika miezi 2. Bei 390,000 maelewano yapo. Contact 0623464795
  5. The Assassin

    Samsung Galaxy S21 Ultra ni habari nyingine

    Wakuu, habari za jumapili? Niliamua ku-upgrade simu yangu kwenda Samsung S21 Ultra na ku-test the difference, nikanunua hiki chuma, aisee hii chuma ni habari nyingine. Kwanza kiko smooth, hii 120HZ screen refresh rate ni habari nyingine kabisa. Simu laini, ukigusa tu kidogo app ishafunguka...
  6. beth

    Afrika Kusini: Samsung yafungia Smart TV zilizoibwa wakati wa ghasia

    Kampuni ya Vifaa vya Kielektroniki ya Samsung imesema imezifungia runinga za kisasa (Smart TV) ambazo ziliibwa kufuatia ghasia zilizotokea baada ya aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Jacob Zuma, kuhukumiwa na kuanza kutumikia kifungo cha miezi 15 gerezani. Hukumu ya Zuma ilipelekea maandamano na...
  7. L

    Msaada namna ya kuweka dark mode kwenye Samsung J7

    Ni Samsung Android version 6.0.1
  8. maficpgt

    Phone4Sale Nauza simu samsung s8 plain

    Bei ni 320,000/= 64gb|4gb RAM In a very Good condition ▪︎Doted (ina kidoti kidogo kwa juu) ▪︎Haina mchubuko wala mkwaruzo ▪︎Nakupa wire na earphone ▪︎Sehemu yoyote unayoitaka tunaeza fanyia biashara(Hata kituo cha polisi) Contacts: call/sms/whatsapp0654030252
  9. Shark

    Cable ya "One connect" kwenye Samsung TV

    Wakuu Kwema? Kuna TV funa nakaribia kuipata, mazingira yenyewe ni kua naipata TV tupu, sasa nimeicheki nimeiona kwenye Pots zake kuna One Connect, USB na Internet tu. Huu wa ONE CONNECT ndi utaunga device itakayokua na pots za HDMI, AV, etc. Sasa nauliza hii device ya One Connect naweza...
  10. Ziroseventytwo

    Msaada Samsung A20s imejilock

    Imejilock. Na password yake ni 2000. Siwezi kufanya chochote napokea simu tu. Ikitaka passwaord nikiweka inaniambia nijaribu baada ya sec 30. Kila nikijaribu inarudia tena hivyo hivyo. Kama kuna maujanja mnisaidie tafadhali. Chief-Mkwawa reyzzap
  11. Dyf

    Phone4Sale Samsung A72 used inauzwa

    Samsung A72 RAM :8GB STORAGE: 128GB SIMU HAINA TATIZO LOLOTE-IMETUMIKA MIEZI MIWILI TU, FULL BOXED INCLUDING RECEIPT NAIUZA KUTATUA CHANGAMOTO LOCATION :DAR ES SALAAM- UBUNGO SURVEY PIGA SIMU: 0658323300 750,000TZS
  12. Below 40

    Samsung s6 edge+ inafeli ku acces internet data.

    Asalam wakuu natumaini wazima. Kuna simu Samsung s6 inazingua accessibility ya internet kila nikijaribu ku surf inanambia unblock Samsung internet first hata nikitumia wi fi mziki ni uleule,naombeni ushauri kabla sija restore factory au kuiflash nifanye nini?
  13. J

    Samsung note 4 firmwale

    Members msaada, nahitaj kuapdate mannual samsung note 4 ifike android 6, kwenye web ya samsung ukitaka kidownload wanataka uchague nchi ila tanzania haipo, nichague nchi ipo hapo au yoyote tu maana kwa africa naons south africa (vodafone)
  14. R

    TV4Sale Samsung Smart TV inch 40 bei laki 550

    TV inapatikana Sinza Sweet Corner. Ni samsung inch 40 smart. Haina shida yoyote ile.
  15. Shiningraytz

    Display ya Samsung A30 Original

    Nina kioo cha Samsung A30 original, simu ilizima ikiwa na mwezi mmoja tu. Hakina mikwaruzo Nahitaji mashine, ila kama una mashine unahitaji kioo nicheki 0622009372 . Location: Songwe Mbozi
  16. W

    Natafuta kioo cha samsung A70

    Husika na kichwa hapo juu mwenye nacho anicheck kwa no 0678288666 hii kiwe used au kipya kwa bei za kitanzania.
  17. rikiboy

    Samsung 12 ni kiboko

    Leo nilikuwa maeneo flani nikakutana na Rafiki angu akawa amenipa simu yake niandike namba yangu lakini nikasema sio mbaya niangalie property za simu ofcourse CAMERA yake ni kali sana... Storage ya kutosha lakini kwenye betry ndo nilichoka yani simu ina 60% lakini inaandika 1DAY mpaka iishe...
  18. Sam Gidori

    Samsung yaipiku Apple kwa mauzo ya simu robo ya kwanza ya mwaka

    Uamuzi wa kampuni ya simu ya Samsung kushusha bei ya simu zake aina ya Galaxy S21 unaonekana kuipa faida kampuni hiyo baada ya kumpiku mpinzani wake wa karibu, Apple katika mauzo ya simu duniani kwa robo ya kwanza ya mwaka huu. Kampuni hiyo ya Korea Kusini imeonekana kufanya vizuri katika mauzo...
  19. hp4510

    Mwenye Samsung note 10 kwa laki Saba

    Wakuu Niko dar es Salaam, Naitaji Samsung note 10 Bajet ni sh laki saba cash Simu iwe kwenye hali mzuri no michubuko kabisa, Mwenye nayo ani dm
  20. oxlade

    Samsung A 02S Vs samsung A 12 Ipi ninunue?

    Salaam wadau, nataka chukua simu kati ya hizo mnili, ipi inafaa kwa matumizi ya kawaida? Au ni simu gani nyingine nichukue kwa bajeti inayoendana na hizo yaani 300-450k
Back
Top Bottom