Salaam JF Tech,
Kama kichwa cha habari hapo juu kilivyo, simu yangu ya Samasung inakataa kutafuta au kunasa Wi-Fi.
Simu zingine zinakubali.
Tatizo nini? Msaada.
Habari ya muda huu wana jamvi la Jf?
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza ningependa kila mmoja aeleze ni Features gani zinamfanya apende smartphone kutokea kampuni hii,
Mimi kwa upande wangu kuna ile feature ya private mode na smart silence zinazoptkana katik S series na Note series huwaga...
Simu kali sana used kutoka dubai zinauzwa bei ya kutupa.
Kuanzia 250,000 unajipatia samsung S7
samsung S8 kwa 290,000
Samsung S9 kwa 320,000
Samsung S9+ kwa 380,000
Samsung S10 kwa 400,000
Samsung S10+ kwa 490,000
Samsung S20 5G kwa 560,000
Samsung S20+ kwa 660,000
Samsung S20 Ultra kwa...
Simu yangu Samsung A10 imekufa kioo nataka kubadilisha sasa nahitaji kujua wapi naweza kupata kioo original maana nasikia kuna feki itakuwa vema nikikipata hapa nilipo sasa mbeya pia nahitaji kujua bei zake pamoja na kubadilisha.Msaada tafadhali wadau
Samsung imetajwa kuwa ya kwanza kwenye orodha ya Forbes ya ‘Waajiri Bora Duniani 2022’ kwa mwaka wa tatu mfululizo.
Kwa ushirikiano na Statista, Forbes ilifanya utafiti kwa zaidi ya wafanyakazi 150,000 katika makampuni 800 duniani kote, yakiwemo makampuni kutoka Uingereza, Ujerumani, Marekani...
Angalia maajabu ya Samsung Galaxy S22 Ultra.
Kwa teknolojia ya kisasa ya kamera ujue hakuna usiri tena.
Unaweza kufanya jambo ukiamini hakuna anaekuona kumbe mtu yuko kilomita kadhaa anakuangalia tu.
Juzi baada ya Apple kutoa Iphone 14 nikawa naangalia reviews kadhaa online ikiwemo ya...
Wakuu msaada kidogo hapa,,, nimenunua hii Simu S6 Ila nilijaribu kuweka line yangu haisomi.. tatizo nini wadau nashindwa kuelewa kabisa..
Simu hii ni Used, nadhan zinajulikana yaan zimetumika kidogo..
Halafu juu ya screen Kuna hicho kiduara sijui ndo kinachosababisha Simu yangu isisome...
Habari za mchana ndugu zangu,
Nina Samsung S9 Plus imeharibika kioo sasa ninataka aidha kurudishia kioo au kupata fundi wa kurecover contact zangu zilizopo kwenye hiyo simu. Niliisajili online na nilikuwa nafanya backup online ila sijui kama kuna jinsi ya kurestore hiyo backup bila kutyumia...
Ni brand gani unaikubali kuanzia upande wa software zao, camera, battery life, video na durability. Binafsi Naikubali sana mnyama iphone ambaye hana mpinzani!
N.B WALE WA TEKINO NA INIFINIKSI CHONDE CHONDE NISIWAONE HUKU!
Asilimia 82% ya vioo vya iPhone zote, zimetengenezwa na kampuni ya Samsung. Asilimia 12% ya vioo vya iPhone mpya, vimetengenezwa na kampuni ya LG; na asilimia 6% ni ya vioo vya iPhone 14 inatengenezwa na BOE ya China.
Ripoti mpya za ndani ya Apple zinaonyesha Apple ina mpango wa kuingiza sokoni...
Wataalamu wa mambo simu yangu Samsung imejiweka kialama cha funguo kwa juu huku upande wa inapoonyesha betri.
Siwezi kushusha skrini ili niwashe data, torchi etc. Wataalamu wa mambo msaada wa kukiondoa hiki kifunguo.
bei
camera
cover
dubai
free
from
galaxy
google
google pixel
hot
huawei
infinix
iphone
iphone 11
iphone x
kali
laini
mbili
mtandao
note
note 9
offer
oppo
pro
ram
redmi
samsungsamsung galaxy
sana
sony
spark
tecno
used
Samsung galaxy M31
Storage: 128GB
Ram: 6GB
Camera kali mno: 64 megapixel main, 32 megapixel front
Battery: 6000mAh (inakaa na charge mpaka inakera)
Coluor: Dark Blue
Condition: Excelent/Almost New
Bei: 350,000/= fixed
Location: Mwanza Ilemela
Ni ya kwangu mwenyewe ninaitumia, haina magumashi...
Kama unatumia Samsung siku ukishika simu nyingine za Android unatamani urudi Samsung mapema sana.
Nimetumia Oxygen OS ya One Plus, Color OS ya Oppo, MIUI ya Xiaomi na nyinginezo lakini hakuna inayoifikia One UI ya Samsung kwa utamu wa mpangilio wa apps, fluidility, visual impressiveness nk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.