Wadau nina bajeti ya 600k Hadi 800k mwisho, nahitaji Samsung inayobamba Sasa hvi huko mjini Darisalama,
Ni aina gani ya Samsung.
Wadau wa Samsung naomba mukije huku.
nchi ya China, inatengeneza bidhaa kwa ubora aina 2, kuna ambazo made for china (kwa matumizi ya ndani ya china ,zinakuwa imaa mno na mara nyingi hazina box. Pia kuna aia ya pili made for out of china(kwa kuuza nje ya China) zinakuwa na ubora wa kawaida na box. Leo natambulisha kwenu samsung...
Samsung Galaxy A54 5G
Inauzwa imetumika mwezi moja,
Haina shida yeyote,
Ina warrant ya miaka miwili.
Hizi ni baadhi ya specs zake.
Reased 2023, March 24
202g, 8.2mm thickness
Android 13, One UI 5.1
256GB storage, microSDXC
8GB RAM,
Display 6.4
OS Android 13, One UI 5.1
Chipset Exynos 1380...
Takwimu za mauzo ya Simu zilizotolea na Mtandao wa #StatCounter zimeonesha kampuni ya Kampuni ya #Samsung inaongoza kwa idadi kubwa ya Simu zake kununuliwa kwenye Soko la #Afrika huku ikishi nafasi ya pili kwenye soko la Dunia nzima.
Kampuni ya #Apple ikiwa na Simu za iPhone iko nafasi ya 2...
Wakuu inakuaajee
Nataka nichukue Mali moja kati ya hizi zote naztaka lakini nataka nichukue moja tu naombeni ushauri ipi nipite nayo kati ya Samsung S10 plus au iPhone X plain
S10+ ram 8gb internal 128gb bei ni 400,000 used
iPhone X plain ram 4gb internal 64gb bei ni 550,000 used
NB...
Bidhaa zote za kielectronic Simu, Pc, Tablet, Sabufa, Tv na Fridge vinapatikana kwa bei rahisi sana, simu zetu zipo used from Dubai na Full boxed mpya kabisa tunauza Iphone, Samsung, Google pixel, Sony, Oppo na Infinix warranty ni uhakika Tv pia zipo Hisense, Samsung ukubwa tofauti tofauti...
Imeripotiwa kuwa Samsung wana mpango wa kuanza kutumia Bing ya Microsoft kama default search engine.
Taarifa zinasema kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya AI ambapo ChatGPT iliyo chini ya Microsoft kuonekana kuwavutia wengi imefanya Samsung wafikirie kutumia Bing kama default search engine...
Imeripotiwa kuwa Samsung wana mpango wa kuanza kutumia Bing ya Microsoft kama default search engine.
Taarifa zinasema kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya AI chatbot ambapo ChatGPT iliyo chini ya Microsoft kuonekana kuwavutia wengi imefanya Samsung wafikirie kutumia Bing kama default search...
Wakuu
Nina jambo Hapa niwaulizeni hivi kati ya Samsung Galaxy S10 na iphone 7+
Ipi ni sim Kali kuanzia storag ,ram ,camera nk
Maana naona hiv vitoto vnashobokea Sana iphone
Anyway binafsi Samsung nazchukuliaga ni zakibaba Ila iphone ni za vidada
Labda kwanzia 11 kwnda juu hzo n zakibabee
Oky...
Jipatie simu Samsung note 9 kwa bei ya kutupa laki 350,000
Storage GB 128
Ram gb 6
Haina cracks.
Used but in good conditions
Free charger
Free cover
Free protector
Habari wana JF,
Nimepata chimbo la kupata vioo original vya simu za samsung kutoka China, nakuagizia ndani ya siku 14 za kazi unapokea mzigo wako kwa bei nzuri kabisa.
Nicheki whatsapp 0657940974
SΛMSUNG ni moja kati ya brand kubwa duniani katika uzalishaji na usambazaji wa vifaa vya kielektroniki.
SΛMSUNG ilianza kama duka la kuuza mbogamboga na ilianza kwa mtaji mdogo sana, ilikuwa inauza vyakula kama vile samaki wa kukausha na tambi. Ilianzishwa siku kama ya leo - March 1 mwaka 1938...
Nauza simu yangu aina ya samsung jean 2, gb 32 ina hali nzuri sana, bei laki moja na nusu (150000). Nipo iringa mjini kwa ambae yupo mkoani naweza kumtumia au anaweza kuagiza mtu ambae yupo Iringa aje kuikagua halafu namkabidhi simu.
Habari
Nauza Tablet nzuri aina ya Samsung kwa beinya kutupa, bei ni Tshs 480,000 ila maongezi kdg yapo
Tablet hii imetumika miezi mitatu tu hivyo bado ni mpya kabisa na aina mchubuko wa aina yeyote, ukiiona ndio utaamini.
Model Name: Galaxy Tab A8
Battery Capacity : 7040 mAh (Typical)
OS...
Kwa kawaida, toleo la simu za Galaxy A ambazo zinauza sana ni A5x. Lakini ripoti mpya zinaonyesha Galaxy A series zitaacha kuwa na toleo la A7x hivyo Galaxy A73 ndio simu ya mwisho kuwa na A7x.
Galaxy A74 ambayo ilitegemewa kutoka mwakani haitakwepo hivyo toleo la A Series litabaki na A54...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.