samsung

  1. L

    DOKEZO Msaada kuhusu simu za Samsung

    Habari ndugu zangu? Nisaidieni kujua ni simu gani nzuri kati ya Samsung S series na Note series na vipi kati ya S10+ na Note 10+ ipi ni nzui?
  2. M

    Msaada namna ya kupata ussd l/mmi code za Samsung Z fold 2

    Kwa wataalam sinu tajwa hapo juu siwezi ingia menu ya huduma mtandao husika mfano mpesa huduma za voda inaandika error na inakubali kuangalia salio pekee
  3. S

    Jipatie vioo vya Samsung na chaja original kwa bei nafuu

    Habari wana Jf Je unateseka na simu yako sababu ya kioo? usikate tamaaa suluhisho limepatikana. Je bado unateseka na chaja yako kuharibika mara kwa mara. Sasa agiza na mi china kifaa original kwa bei nafuu hutojutia. Napatikana Goba-Dar es Salaam, Tanzania Nicheki whatsap no +255 622818217
  4. Andazi

    Phone4Sale Naunza simu yangu aina ya Samsung Galaxy 04e

    Ndio simu ambayo natumia kulogin huku na kupost huko na huko ina 64GB ndani na 3GB of ram android 14 na Oneui 6.1 Ni yangu 100% na utakapo inunua palepale ndio nitatoa Samsung Account as proof ya kuwa mmiliki wake Ninashida na 180k tu Ipo good condition na nimeitumie for long time, nitaweka...
  5. Eli Cohen

    Jamani ni duka gani ambalo ni maarufu lina hadhi ya kuuza simu original za Samsung? maana vishoka ni wengi

    Refurbished zimekuwa nyingi mtaani na kwa watu wengi ni ngumu kutambua. Tusaidiane duka lenye sifa ya kuuza simu original za samsung. Karibuni;;;;;;;
  6. D

    Ukiachana na Samsung na LG, ni TV gani nzuri na imara?

    Habari wajameni, Sisi low income earner tuko na changamoto sana ya kutaka vitu vizuri na imara at affordable price,, btw kila mtu anapenda vitu vizuri mazee. Sasa basi, ukiachana na brand Tajwa hapo juu, Hisence imekuja kwa kasi sana mtaani na kuonekana ni TV nzuri at affordable price...
  7. GREAT NAME

    Wakuu msaada wenu Samsung inaandika hivi

  8. Mad Max

    Kwa wapenzi wa simu za Samsung Galaxy A series, ngoja leo tujuzane kitu kidogo

    Wakuu! Samsung Galaxy A series ni smartphone kutoka Samsung ambazo zipo za aina mbalimbali kuanzia low end (izi ni za bei ndogo na specifications za chini) hadi za mid rangers ambazo zina specifications kubwa chini kidooogo ya Note Series, S series na Z Series. Sasa ukiwa unataka kununua...
  9. A

    Simu ya Samsung A12 laini zinasoma 'emergency'. Shida ni nini?

    Habari wadau? Natumia simu ya samsung A12, nilirestore simu na baada ya kuweka line zinasom emergency shida itakua ni nini?
  10. Mr Confidential

    Phone4Sale Samsung Galaxy S24 Ultra GB 256 Inauzwa Kwa TZS 2,599,999/= Full boxed

    Wakuu, Nina Samsung Galaxy s24 Ultra, nimenunua jana baada ya kukosa Google pixel 9. Hili simu ni pana sana, nashindwa kuishika vizuri. Ili niitumie nashika kwa mikono miwili. Sipo comfortable nayo. Components zake: Simu yenyewe Cover Original charger (kichwa original nimekinunua Samsung...
  11. P

    Phone4Sale Nauza Simu aina zote

    Je, unataka simu bei chee? Je, una abudget ndogo na unataka simu? Je, unataka kufanya Top up au exchange? Nambie una budget ngapi tukupe simu kali ya budget yako. Exchange na Top up tunafanya! Simu tulizonazo dukani ni; 📱Google pixel 📱aquous arrow 📱samsung 📱Iphone 📱LG 📱Sonny Xperia...
  12. JourneyMan

    Kwa nini Simu nyingi za Samsung Hawana inbuilt Call recorder na VoLTE?/5G?

    Unakuta flagship kabisa hawana hii option wakati ni jambo dogo sana kuliko kuanza ku install ma third party applications? Kuna baadhi zinakuja na hii option nyingine ni mpk u download. Nani Samsung yake ina support hii kitu? Kuhusu VoLTE/5G nishakuaga na Samsung A9 Pro 2016 ilikua na hii...
  13. Younguther

    Ni suala la aibu kwa kampuni kubwa kama samsung, flagship device kuwa na technical weekness

    Habari zenu watanzania wenzangu na poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa. Mwaka jana mwezi dec nilibahatika kununua samsung s20+, baada ya kujikunja kwa muda mrefu kutokana na simu niliyokuwa natumia mwanzo(samsung s8) kuharibika betri. Lengo la kuandika uzi huu miezi miwili iliyopita nilipata...
  14. 90sgeneration

    Nauza Samsung Fridge

    Halina shida yoyote ni 100% Msasani bei ni fixed 380k aipungui, hivo hakuna maongezi please🙏 +255685909105
  15. Kalaga Baho Nongwa

    Phone4Sale Samsung A025 imetumika miez miwili tu

    Wakuu niaje? Nauza simu yangu aina ya Samsung A025. Simu bado inadai kabisa imetumika miez miwili tu. Napatikana mbagala kibondemaji. Bei: 430k Piga: 0778321833
  16. Atlast nimempata

    Phone4Sale Nauza simu mpya Samsung galaxy A04s

    Hii simu (Samsung galaxy A04s) ni brand new kutoka dukani nimeitumia miezi 3. Naiuza kwa 300,000 tu! Maongezi yapo. Storage ni GB 128. Memory Ram 4Gb. Ni simu ya kisasa unaweza upgrade kwa mfumo wowote wa kisasa. Sasa hivi ina Android 14. Niko Dar es Salaam maeneo ya Mbezi mwisho ya kimara...
  17. Yimakatso

    Samsung Note 9 Inauzwa

    Habari wakuu. Samsung note 9 ipo sokoni ila ina shida ya kioo kinahitaji kubadilishwa. Storage 128GB Ram 6GB Bado ipo kwenye clean condition ukiacha kioo tu. Bei ya kubadilisha kioo ni 170k Bei 90,000 0757 444 844.
  18. Christopher Wallace

    Naombeni mnijuze kuhusu Samsung Galaxy A55

    Leo nimekuja kwenye jukwaa hili naomba kujuzwa kuhusu simu aina ya Samsung Galaxy A55 Ubora wake upoje? Kwenye camera, battery, software updates nk Bei halisi nijiandae na sh ngapi? Mkitaja na maduka sio mbaya
  19. BUMIJA

    Samsung na iPhone nani mkali?

    Salamu. Simu zote ni nzuri ila najua kuna mahala zinazidiana ubora na gharama.Kwa ujuzi wako kati ya hizo kampuni nani bora sana?
  20. Uwesutanzania

    Msaada wa kutoa FRP Honor X6 na Samsung a10s

    Habari zenu za majukumu. Nimejifanya sana mjuaji ila kwa hizi device 2 zimenitoa ushamba. Ni SAMSUNG A10S NA HUAWEI HONOR X6 Frp yake ni ngumu mno. Hivyo kama uko na software ya kucrack au upo njia ya kuremove bypass ya hizo device hapo juu nisaidiwe.
Back
Top Bottom