Barcelona, Uhispania, Februari 28, 2022 - Wakati wa toleo la hivi karibuni zaidi la Kongamano la Dunia la Simu (MWC 2022), moja ya matukio makuu katika ulimwengu wa teknolojia ya simu, TECNO Mobile, mtengenezaji wa simu za kisasa wa hali ya juu kabisa tulitangaza kuwa teknolojia ya kichujio cha...
Wadau nipo njia panda kidogo
Hivi Samsung S20 Ultra 128GB dual sim mpya inapatikana madukan kwa sasa hapa DSM na bei yake ipoje maana madealers wengi wakkoo wanadai hamna mpya na wanasisitiza nichukue refurb. Je hizo refurb zina usalama na uhakika kweli? Na bei zake zipoje
HABAR WADAU
Mambo ni mengi mda ni mchache ni ngumu kwa binadamu mmoja kupata taarifa zote so usishangae kuna offer tamu sana yenye discount ya kutisha ikakupitia hvhv ndio mana nimefungua uzi huu ili wadau tupeane habar simu gan kali zina discount nzuri za samsung kipind hiki cha sikukuu...
GsmArena wamasema wamepata taarifa kwamba kampuni ya Samsung inayotarajiwa kuachia simu yake ya mwaka ama Flagship Phone ya S22 Ultra ambayo inatarajiwa kua na picha kali zaidi kuliko S21 Ultra ya mwaka huu.
Binafsi nasubiri S22 Ultra ikiwa kweli ina picha kali nafanya trade off faster na hii...
Habari bandugu, naomba kujua wapi naweza pata simu ya samsung brand new kwa dar es salaam bei iwe kuanzia 800k mpaka 900k. naomba na ushauri pia nichukue model ipi kutokana na bei tajwa.
TECNO tunatarajia kuachia toleo jipya ya simu janja TECNO CAMON 18 hivi karibuni ambayo italeta ushindani mkubwa na simu kutoka kampuni ya Samsung. CAMON 18 Premier ina sifa kuizidi simu ya Samsung Galaxy A52.
Kamera
TECNO CAMON 18 Premier ina sifa ya kipekee kuwa na GIMBAL CAMERA, ambayo...
Ohy wadau nahitaji simu(Samsung) yenye good condition tufanye biasharaa , Pia isiwe chini ya 64 GB internal itakuwa poa sana.
Kama uko Dar au Moro town na una mzigo njoo tuongee
Kampuni ya Samsung wameachia updates ya os ya Android 12 ama UI 4 kuanzia tarehe 15 mwezi huu kwa simu za Samsung Galaxy S21 Ultra. Ila hii updates ilianzia huko Marekani, Ulaya na Korea Kusini kwenyewe.
Naona kadri siku zinavyoenda inasambaa kwa mataifa mengine. Leo mimi simu yangu imepata...
Habari Wanajamvi,
Nauza simu yangu mwenyewe ni Samsung Galaxy Note 10+. Ina mwezi mmoja tangu niinunue, ina risiti niliyonunulia na boksi lake
Bei ni laki 8.5, inapungua kidogo sana
Kwa aliye serious anifuate DM
Location, nipo Dar es salaam
Ninatumia samsung A 7 ya mwaka 2017, na ninaiona iko vizuri kuliko hizi A series nyingine zinazotoka miaka hii hadi zimefika A51, je kuna tofauti gani ya kitaalamu kati ya hii A7 yangu ya 2017 na hizi A series mpyampya zinatoka mfululizo.
Nisije kuexchange A7 yangu nikajuta ?
Samsung Galaxy A32
Bei:750,000Tsh
PHONE:0622666111
RAM:6gb
internal storage 128gb
camera:64MP+8MP+5MP+5MP
battery:5000mAh,fast charging 15w
Os:Android 11, One UI 3.1
Network:LTE
warranty:samsung care + 2years na warrant ya kioo 1 year
karibu tupo china plaza ground floor tunaangaliana na lift...
Habari wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavyojieleza nina samsung yangu galaxy A12 ime hard setiwa nahitaji msaada wa kutolewa pass nitalipia huduma
Simu Used Full Box iko sokoni,Full Documents.
Brand; SAMSUNG A21s
Internal; 64GB
RAM; 4GB
Condition; Iko kwenye hali nzuri,nimeitumia miezi 5 tu.
Location; Dsm.
Price/Bei; 350,000/-
Mawasiliano; Njoo PM kama tutaelewana hapa.
Karibu tuongee BIASHARA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.