Utafiti wa soko la teknolojia, uliofanywa na Kampuni ya utafiti ulimwenguni inayojishughulisha na bidhaa katika tasnia ya teknolojia ya vyombo vya habari na mawasiliano ya simu. Mwishoni mwa mwezi wa nne wametoa report ikionyesha kuwa kampuni ya simu TECNO imechukua nafasi ya kwanza kama simu...
Habari za leo wajamvi?
Kama heading invyosema hapo juu. kwa sasa Samsung mobile phones zinaonekana kutoa mid range budget phones kwa kasi sana kila leo ili kuendana na makampuni ya simu ya kichina. Kwa upande wa makampuni ya simu ya kichina nao wameonekana kuja juu kwa kuweka specifications...
Naitaji Samsung Note 10 yenye hali mzuri no michubuko, ambayo imetunzwa vizuri.
Bajet yangu ni laki sita na nusu.
Niko Dar es Salaam.
Mwenye nayo tafadhali npm tufanye biashara.
Habari nimeona ni share na nyinyi hii,
Katika ushindani wa soko la simu kampuni nyingi za simu zimejikuta zikitoa simu zenye kushabihiana sifa. Kwa leo tuliangalizie kwa ndani simu aina ya Infnix Hot 10 Play na Samsung Galaxy A02s.na mwisho wa makali hii nadhani tutakuwa tumepata kufahamu ipi...
Natakaa kuagiza LCD hii hapa US $25.88 30% OFF|5.5
ni mara yangu ya kwanza kufanya manunuzi kwenye mtandao huu pia kama kuna option naweza kupata kwa hapa Tanzania kwa bei nafuu na nikizuri mnisaidie.
Simu Samsung A10s inauzwa.
1 Dual camera- 13MP +2MP dual rear camera na 8MP front camera
2 finger scan- well functioning
3 warranty- 2years but used 3 months mpaka sasa
4 Octa core processor
5 Network-4G LTE
6 32GB memory and 2GB RAM
7 BATTERY. Inavumilia sana chaji siku...
Habar wadau
Nisiwachoshe nina samsung a2 core ipo poa ina android 8.1 sasa kuna vitu inaniboa mfano haina dark mode wala galaxy theme ivo nakuwa sina uhuru sn pia haina LTE only feature so nataka niroot kisha ni update iwe android 10 niweEaeti dark mode na kuchagua theme itayopenda kwenye...
Pomoja na Tech nzuri ya Super Amoled, vyenye mwanga mng'aavu, Vioo vya hizi simu ni mtihani sana kwa watumiaji.
Yaani kuanzia toleo hilo na kuendelea vioo vinaweka mistari bila sababu ya msingi kama TCL.
vipo so delicate, weka liquid protector ongezana Glasi protector lazima vikutafutie sababu...
Je! Kuna mtu yeyote hapa ametumia zana ya Samsung (toleo la Windows) kufungua vifaa vyovyote vya Samsung? Hivi majuzi nilipakua programu hii kwa kompyuta yangu. Lakini siwezi kusakinisha hii kwenye kompyuta yangu kwa sababu inahitaji nywila. Hakuna faili ya maandishi iliyoambatanishwa na faili...
Kwa wale wanaotaka kubadili brand na kwenda brand maaarufu kama Samsung kuweni makini hasa kwenye Samsung A series". Ukifuatilia kwa makini utagundua kampuni ya Samsung wametoa A series kwa ajili ya wateja wanaotaka kumiliki brand ya Samsung ila bajet yao ndogo ila kiukweli Samsung A series...
With the Mate 40 flagships out of the gate, Huawei is moving its attention to the P-series – despite US sanctions disrupting its supply line, the company is on track to launch the P50 phones in the first half of 2021. This means the P-series may keep to its usual March/April launch time frame...
Nataka tusaidiane na tupeane maarifa na ujuzi kuhusu Simu za samsung hasa hizi flagships za miaka ya nyuma kama S6, S8, Note 8 na S9 ambazo zinauzwa hapa Tanzania miaka kadhaa baada ya uzalishaji kupita!
wauzaji wengi wanadai hizi simu wanazouza ni mpya.. yaani wameimport brand new phones kutoka...
Samsung zilizoandikwa jina la toleo kwa nyuma ni rufurished phone?
Mfano hapo juu galaxy s8+
Chief-Mkwawa Bavaria mtz one kcamp Nafaka mkorinto na wengine karibuni mtoe experience zenu kuhusu refurbished phones
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.