Nimekuwa mtumiaji wa Samsung A-series tangu za 2015,
hizi ni mid-range Samsung smartphone, na wamekuwa wakizibadilisha muonekano mwaka kwa mwaka (binafsi toleo la A-series la 2016 ndio bora kwangu mpaka sasa).
Samsung A-series na M-series za mwaka huu, ukiondoa A60, A80 na M40 yaani zote...