sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Duh, Lissu amenichekesha sana, nimecheka mno! Ebu Tazama video hii

    Lucas Mwashambwa una la kusema mkuu?😁😁😁😁
  2. Z

    Mtoto wa kike anapswa kusomeshwa sana kumuepushia mazingia hatarishi yanayopunguza furaha na kupunguza siku zake za kuishi

    Mtoto wa kike yuko katika mazingira hatarishi ukilinganisha na mtoto wa kiume!!mtoto wa kike asipopata mahitaji muhimu atatafuta njia nyengine za kujipatia kipato ambazo ni hatarishi kwake .njia hizo mmojawapo ni kujiuza.hakuna kitu kinachoniuma sana ninapopita maeneo kama mbeya pazuri na pale...
  3. P

    KERO Barabara ya PPF KISEKE - Mwanza mbovu sana Mwaka wa pili haina matengenezo

    Barabara hii inakwenda Mwaka wa tatu sasa haina matengenezo aina yoyote. Kuna makazi mengi ya watu, kuna shule nyingi sana maeneo hayo school bus zinapata shida sana, lakini hata sisi wakazi tunaingia gharama kubwa kufanya matengenezo ya magari yetu. Mpaka leo hii hakuna matumaini ya...
  4. W

    usizoee kutembee na vitu vyenye thamani ndani ya gari, camera imewanasa wezi Arusha wakivunja kioo cha gari na kuiba vilivyomo

  5. Hizi gharama za parking kwenye stations za SGR mbona kubwa sana?

    Elfu 20 kwa siku tunamkomoa nani? Gari sio anasa tena ni chombo cha usafiri. Kama SGR napanda kwa elf 13, iweje gari kuliacha hapo nilipe elf 20!?
  6. M

    Kuna shule za serikali zinaperform vizuri sana, hebu cheki hii

    Hello JF, Hi shule ya government, wamefanya vizuri sana na huwa wanafanya vizuri Sana Imagine mwanao amepangiwa shule hii
  7. J

    David Kafulila: Huyu Tundu Lissu ni muongo

    === Kwa mtizamo wangu Mtu pekee toka Chama Cha Mapinduzi CCM anayeweza kumnyoosha sawasawa Tundu Lissu kwa hoja mujarabu tena kwa data ni huyu Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila, Kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya mitandaoni na mitaani ni wazi Watanzania...
  8. Ufaulu wa elimu ya Tanzania unanipa mashaka sana kila kukicha

    Napata wasi wasi na elimu hii ya tanzania kila kukicha ikichezewa na wizara ya elimu. Miaka ya nyuma ilikuwa ni kazi sana kuona kundi kubwa la ufaulu ukilinganisha na leo. Kuanzia shule ya msingi mpaka sekondari. Sababu ambazo zinanipa mashaka ni kwamba watoto wanamatokeo mazuri ila hawajui...
  9. M

    Maisha yangu ya zamani nilikuwa kiboko sana. True story of my life teenagers

    Niaje niaje. Hii inagusa story muhimu kwenye maisha yangu halisi ingawa sitaingia ndani sana lakini nitagusa kidogo na code zitakuwa mubashara. Picha linaanza niko chuo x ndio kwanza nimefika baada ya kujoin niko zangu reception nakutana na madam suzzy......naam tumpe jina la suzzy ndio...
  10. Huyu jamaa alikuwa ni nani? Alikuwa akifurahisha sana

    Habari zenu wakuu poleni kwa majukumu Kipindi nipo young ikifika mda mshaoga mnakalishwa chini TV inawashwa, CD inatupiwa ndani ya deck tena zile ZEC og, shwaah inaimeza. Hamjakaa sawa haha mara paah anatokea huyu mwamba Unaskia "Saidia kukuza ubora wa filamu Tanzania saidia kuinua wasanii...
  11. U

    KERO Changamoto utoaji huduma Safi Shule ya Makabe

    Hii shule ya Safi (Safi School) iliyopo makabe imekua shule ya hovyo sana kwa sasa kwenye utoaji huduma. Kwanza nikiri kilichonisukuma kuleta huu uzi ni upuuzi wao waliotufanyia wazazi hii January kutopokea watoto ambao hawajalipa ada yote. Hapa ndio wametukera wazazi, hivi kweli mzazi unalipa...
  12. CCM ya Samia. Wasira, Nchimbi, Makala imepoa kuliko CCM zote

    Kama hawa ndio mboni ya CCM hadi August 2025 watabaki walamba bendela kwenye CHAMA. Kama chama kinataka kuendelea kuongoza kifanye u-turn mapema sana. Kilete watu wenye mchakamchaka na wanao jua kubadili hari ya hewa. Sasa hivi CCM imepoa sana. Hata wana CCM wenyewe wakongwe hawaelewi...
  13. Mahusiano: ni maajabu sana, Kuna jinsia ya tatu ( ukiacha KE/me )

    Sijui kama huu Uzi utabaki hapa, ila lengo kuu mjifunze kitu Mnaweza msinielewe kabisa, na kujua lengo la thread hii ni Nini ok?? Hii Dunia imekwishwa wakuu, mpaka naandika hichi kitu natokwa na machozi kuanzia moyoni mpaka machoni. Imebidi niaze na neno mahusiano, ili huu Uzi uwe hapa ili...
  14. Mbeya raha sana wakuu

    Niko uyole hapa napiga vyombo Konyagi size ya kati bei 9,000/= wakati dar bei ni 11,000/= Kitimoto kilo moja na ndizi mbili jumla 9,500/= Lodge nzuri tu ina maji ya moto 15,000/= Boda bei ni buku tu. Kwa nini nisinenepe mwaka huu?
  15. M

    Marioo alitulia sana katika uandishi wa hii nyimbo ya Salio.Vijana tafuteni Salio ili msililie mapenzi

    Ukiisikiliza hii nyimbo ya Salio utagundua kuwa Marioo yuko vizuri sana katika uandishi wa nyimbo zake. Salio ni nyimbo yenye mafunzo kwa mabarobaro waache kukimbizana na mikongo wakati mifuko imechanika. Mwanamke atavumilia mengi ila sio neno " SINA HELA aka Salio. Tafuteni pesa vijana
  16. M

    Lyenda, Lema, na Diaspora mmetisha sana kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa CHADEMA

    Huu uchaguzi ndani ya CHADEMA umetuonyesha sura nyingi sana chanya na ndani ya CHADEMA na nje ya CHADEMA. Huwezi kuzungumzia ushindi wa Lissu bila kutaja timu ya kampeni ya Lissu iliyopiga kazi ground kimyakimya na kwa dhahiri kuwezesha Ushindi wa Lissu. Katika wengi waliowezesha ushindi kuna...
  17. Pre GE2025 Nina wasiwasi sana na uchaguzi wa Rais Oktoba 2025

    Kwa mara ya kwanza Tanzania inaenda kushuhudia uchaguzi mgumu sana wa kumpata raisi wa kuongoza taifa la Tanzania hapo 2025. Kwa dhati kabisa najua CCM watashinda ila utakuwa uchaguzi mgumu sana wagombea wasali sana.
  18. Huyu DC ameidharau sana Yanga. Nimeshindwa mwelewa kabisa kwa hii kauli yake kwa TBR United

  19. Hili jambo kwa kweli sitajisamehe. Linanitesa sana. Huyu Tapeli alitudanganya wengi

    Jamaa yangu ananiambia maneno haya akiwa na huzuni sana. Kama kuna jambo sitakuja jisamehe ni hili la kufikiria kuwa Yericko Nyerere alikuwa anafahamu mambo ya ujasusi. Hili sitajisamehe kwa kweli. Huyu jamaa alikuwa anasema Russia inawamaliza Nato na Ukrain ndani ya siku chache sana. Ndo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…