sanaa

  1. BASIASI

    Nauliza: Awadh wa TTAFDICK yuko wapi, naona Ubungo kumekuwa kimya sanaa?

    Boss mkubwaaaa yuko wapii huyuuu Nakumbuka alivyokuwa akiwaotea wazee wakazi wa mwendokasi na wale wanaosimama vituo visivyo na maana Kwakweli aliwashonaaaaa aliwanyoooshaaaa kwelii wengineoooo Mpeni salam ubungo imetuliasan sema apunguze kidogo kufunga funga madreva wengine wanahitaji...
  2. Gentleman96

    Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

    Habari za wakati huu kwenu wote! UCHORAJI ni sanaa ya kuweka alama kwa kutumia vifaa mbalimbali vya kuchorea, kama vile kalamu ya wino au ya risasi , burashi , penseli za rangi ya wax, crayoni, makaa, choko, pastels, aina mbalimbali za erasers, markers, styluses, metali mbalimbali (kama...
  3. Kaka Pekee

    Fikra za Katuni, Siasa za Siasa nchini!

    Fikiria nje ya Box na Wachora Vibonzo Mbalimbali.
  4. Mimi Youtuber

    NATAFUTA WATU WENYE FILAMU ZA KIBONGO *BIASHARA*

    JE UNAMILIKI FILAMU KUANZIA 20 NA KUENDELEA tafadhali ni inbox au email maige.kenneth22@gmail.com NB: Naomba zisiwe YOUTUBE
  5. Chachasteven

    Roma afungiwa miezi sita kujihusisha na sanaa

    Msanii Roma anaeunda kundi la ROSTAM amefungiwa kutokujihusisha na sanaa kwa muda wa miezi sita ikiwa ni kama adhabu ya yeye kutokutii agizo la baraza la sanaa tanzania (BASATA) la kufungiwa kwa nyimbo yake ya KIBAMIA akiwa na Stamina wakimshirikisha Maua Sama! Nyimbo hio ilifungiwa mapema...
Back
Top Bottom