Niliajiriwa 2013 tokea hapo sijawahi panda daraja.
Mwendazake alinyonya sana haki yetu.
Tena zile haki za kisheria kama increments ila mama ameponya majeraha ya msukuma.
Watumishi kwenye BAJETI 2021/22.
1. PAYE imeshushwa kutoka 9% mpaka 8%.
2. Bil 449 kwa ajili ya kupandisha vyeo watumishi...
Mbunge wa Makete, Festo Sanga, amesema asilimia kubwa ya Wasanii wa Tanzania wamejipambania wenyewe bila msaada wowote wa Vyombo vinavyotakiwa kuwasadia lakini Baraza la Sanaa (BASATA) linafanya urasimu kwenye kazi zao
Ameongeza kuwa, Sheria zilizopo BASATA ni za kikoloni ambazo zimejikita...
Huyu comedian mwenye asili ya Ghana anaeishi Marekani na kufanya kazi zake za sanaa Nchini Us pia ameshiriki filamu ya Coming to America 2, huwa ananifurahisha sana jinsi anavyopenda kwao Ghana anapenda kucheza miziki ya Afrika, vyakula vya nyumbani yeye ndio anakula hata akiwa marekan mara...
Msanii anaweza kupata fomu ya usajili mtandaoni kwa kuingia www.basata.go.tz au kwa maafisa Utamaduni wa Wilaya na baadaye kujaza fomu na kuziwasilisha BASATA zikiwa zimeambatanishwa na wasifu binafsi (CV) wa Msanii husika
Nakala mbili za kazi yako ya sanaa;
Picha mbili za utambulisho(Passport size);
Nakala ya picha za utambulisho, Kitambulisho cha Kitaifa au cheti cha kuzaliwa;
Nakala ya picha ya utambulisho, kitambulisho cha Kitaifa au cheti cha kuzaliwa cha ndugu wa mwombaji;
Ushahidi wa maandishi kuhusu...
Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake
Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile...
BONGO MOVIE WENGI NI VILAZA, SIO AJABU WAMEILAZA SANAA YA UIGIZAJI
Anaandika, Robert Heriel
Hapana shaka sanaa ya Uigizaji kwa sasa imelala Usingizi wa Pono, imelala fofofo na waigizaji wake wanakoroma. Wapo kwenye ndoto za majinamizi wabaya wanaowakimbiza kwenye mitaro huko usingizini. Tangu...
Barua ya wazi kwa mhe Innocent Bashungwa, salaam wanajukwaa, salaam wanajf, salaam wote wenye afya njema na wasio na afya timamu, tuzidi kuwaombea wapate ahueni waweze kuwa salama!
Niende kwenye dhumuni rasmi la kuandika ukurasa huu, miaka ya nyuma tulikuwa katika mfumo tofauti wa kufikishiana...
Let us be serious kwenye teuzi zetu, hivi Dr. Ishengoma ni wapi amewahi kushiriki sanaa au kuigiza au kusimamia filim production? Nimetoa mfano huu baada yakuangalia viongozi wanaosimamia sanaa na filamu nchini nikaona most of them are civil servant and academician.
Tunapotaka kukuza hizi sekta...
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) imetoa tamko kuwa, kuanzia tarehe 1/5/2021 Televisheni na Redio hazitaruhusiwa kucheza wala kuonesha kazi yoyote kwenye vituo vyao bila kazi hiyo kuhakikiwa na BASATA (Muziki...
Salaam Wana JF,
Nianze kwa kusema kuwa wale wanaodhani Bunge letu ni Jumba la Sanaa wanakosea kimantiki na pengine hawajui Majukumu ya Mhimili huu na mipaka yake, Bunge lina utakatifu wake na upekee katika ustawi wa haki na Maendeleo kwa watu, Bunge Ni moyo wa nchi kiutawala.
Hatahivyo Kwa...
Naendelea na wito wangu wa kufanya mgomo usio na kikomo wa kuoa, hapa nawaomba wanaume hasa wanaojielewa kuendelea kuwasusia kuwaoa tuwapashe matobo tu tule nduki ndefu.. huko kwenye ndoa nishasema ni gereza la maisha na huko wanaume wanasoteshwa zaidi ya washukiwa wa ugaidi guantanamo wanaishia...
Salaam
Kukatika ni sanaa nzuri sana imfurahishayo mwanaume wakati akila tunda. Miaka ya nyuma sanaa hii ilikua inafundishwa na watu maalum kwa baadhi ya makabila.
Kwa sasa inafanywa na wasichana na wanawake wa makabila yote tena bila kupitia mafunzo hayo yaliyokuwa yakitolewa kwa wasichana...
Habari,
Kuna clip moja nimeiona kwenye mtandao wa Instagram ikimuonesha mtu mmoja ambaye bila shaka alikuwa ni kiongozi wa tour ya jana ya WCB ya tumewasha na tigo waliofanya jijini Dododma akiomba radhi ya jambo linaloonesha sio la kiungwana na lisilokuwa na stahala lililofanya na "Msanii"...
Baada ya mamlaka ya mawasiliano Tanzania(TCRA) kukifungia kituo cha televisheni cha Wasafi kwa kurusha maudhui ya utupu yanayomuonyesha msanii Gift Stanford Jushua maarufu kama Gigy Money, nalo baraza la sanaa Tanzania(BASATA) limeibuka na kumlamba adhabu ya miezi sita msanii huyo kutojihusisha...
Wakuu kwanini hiki kitu hakipo Tanzania. Ni biashara nzuri sana. Tena Tanzania kuna kazi nyingi sana za maigizo zimeandikwa.
Marekani kuna broadway, mkusanyiko wa theatre nyingi sana. Wanaingiza pesa nyingi sana.
Atokee mtu ajenge ukumbi na kuajiri maproducers, ma-director na waigizaji atapiga...
Tahadhari kuna picha za kuogofya
Najma Makena ni mwanamke wa Kisomali anayeishi Nairobi Kenya ambaye amekuwa akitengeza mapambo ya kuogofya tangu 2018.
Hatahivyo wengine wanaamini kutokana na imani yake, kazi yake ya mapambo ya kuogofya ni ya kishetani.
Hata hivyo hilo halijamzuia Najma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.