Habarini za humu jukwaani ndugu zangu.
Mimi ni member mpya humu ila nimekuwa msomaji wa muda mrefu kidogo humu jukwaani.
Hope mtanikaribisha kwa bashasha tele ndugu zangu wenyeji wa humu.
Pamoja na hayo naomba niwajuze kuwa mimi ni msanii wa kizazi kipya ninayechipukia hivyo siku chache...
Ujerumani imesema ipo tayari kurejesha vitu vilivyoporwa kutoka katika bara la Afrika wakati wa ukoloni zikiwemo kazi za sanaa kutoka Tanzania wakati wa Vita vya Maji Maji na migogoro mingine wakati wa utawala wake wa kikoloni wa mwanzoni mwa karne ya 20.
Taasisi ya Prussian Cultural Heritage...
Kuanzia tarehe 15 hadi 17 mwezi Juni, tamasha la 18 la utamaduni na utalii wa Qici ambalo pia ni tamasha la kwanza la utamaduni na sanaa za Qiuci mjini Kuqa, China lilifunguliwa. Shughuli mbalimbali za kitamaduni kama vile maonyesho ya fataki, maonyesho ya urithi wa utamaduni usio wa mali...
Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika Mashariki lilifunguliwa mjini Addis Ababa, nchini Ethiopia.
Tamasha hilo litafanyika kwa siku kadhaa na kuonesha thamani ya sanaa na utamaduni ya watu wa Afrika Mashariki kwa kuonesha bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na watu wa Afrika, vyakula na dawa...
Msanii wa kabila la Oroqen Bw. Guo Baolin kutoka mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, ni mrithi wa usanii wa utengenezaji wa sanaa za gamba la mti wa mbetula, ambao ni urithi wa utamaduni usioshikika nchini China.
Mke na binti yake pia wanamfuata na kufanya tarizi murua za jadi...
Huko Berlin, mji mkuu wa Ujerumani, mkuu wa Wakfu wa Urithi wa Prussian Bw. Hermann Parzinger, na Esther Moombolah wa Makumbusho ya Kitaifa ya Namibia walionyesha sehemu ya mkusanyiko wa sanaa za Namibia kutoka Jumba la Makumbusho la Berlin, 23 kati yao itasafirishwa kwenda Namibia.
Rais wa Zanzibar Hussein Ali Mwinyi jana Jumatatu alizindua tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika lijulikanalo kwa jina la Festac Africa 2022, na kuzitaka serikali za Afrika kuhimiza Sanaa na Utamaduni ndani ya bara hilo.
Rais Mwinyi alisema tamasha hilo ambalo limeleta pamoja zaidi ya...
Wakuu habari za wakati huu, ninatumai mu wazima wa afya.
Naomba kufahamu humu kama kutakuwa na wataalamu wa sanaa ya UCHORAJI, Aidha Mabango ya biashara, picha za kupamba ukutani au majengo ya biashara.
Kama mpo naomba tuwasiliane, au kama kuna mwenye groups za Whatsapp au telegram...
Sanaa katika aina zake mbalimbali inaruhusu watu kujieleza kwa namna yao. Siku ya Sanaa huadhimishwa kila Aprili 15 kukuza ufahamu juu ya umuhimu wa Sanaa katika maisha yetu ya kila siku
Sanaa ina nafasi muhimu katika kutoa maarifa, na Siku hii inalenga kuimarisha daraja kati ya Ubunifu wa...
Je, ulishawahi kutumia japo dakika chache kuwaza 'Saikolojia ya wezi?
Wizi ni sanaa ya kuchukua kisicho halali yako! Wizi ni sayansi ya kujimilikisha visivyo vyako!
Je; Inakuwaje mtu anakua mwizi?
Chimbuko kuu la wizi ni DHIKI, TAMAA au MATATIZO YA KISAIKOLOJIA
Chimbuko la kwanza la wizi...
Sanaa mara nyingi imekuwa ikitokana na kipaji ambacho msanii anazaliwa nacho, msanii aliyezaliwa na kipaji fulani hufanya vizuri zaidi katika fani husika kwani kitu afanyacho kipo kwenye damu na hufurahia kukifanya. Lakini msanii huyu ili afanye vizuri zaidi anatakiwa kuongezewa elimu katika...
Sanaa ni ufundi wa kuwasilisha fikra na mawazo ya binadamu kwa njia aidha ya kuchora, kuchonga, uandishi, upambaji, mitindo, ufinyanzi, uimbaji, Uigizaji na vitu vingine vifafananavyo na hivyo, ni hali ya kuyapa umbo au (kibebeo) mawazo ili yaweze kufika kwa hadhira ili aidha kuelemisha...
Asee kama Wewe ni Mdau wa WestCoast Rap utakubaliana nami kwamba katika hii Album ya BODR(Back On Death Row) Snoop D O Double G kaupiga mwingi sana. Ni moja ya Album kali sanaaa... My favourite tracks are 1.House I Built 2.Crip Ya Enthusiasm
NAIBU KATIBU MKUU YAKUBU AHIMIZA KASI UJENZI JENGO LA WUSM
Adeladius Makwega-WUSM
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ndugu Saidi Othuman Yakubu Februari 24, 2022 amesema kuwa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Mkandarasi Mjenzi na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)...
"Sanaa ya Uandishi" ni neno nililolisikia siku chache zilizopita baada ya tukio la kupigwa mashabiki kiwanjani walipoenda kwa kusudi la kutazama mchezo wa soka.
Baadaye kilichofuatia ni tamko kutoka katika uongozi wa Simba. Lugha iliyotumika kukemea tukio la kupigwa mashabiki hao ndio...
Jana bana ile tunakula lunch ghafla story za kui jadili ofisi yetu (Moja ya Halmashauri nchi) zikaibuka.
Aisee Kazi za Halmashauri ni local sanaa.
Ila hoja aliyoibua Rais Samia akiwa Mara, haiko mara tu.
Ipo TANZANIA NZIMA, Kila halmashauri ni kiazi kilichooza, ukitaka kuthibitisha hili...
Jana (Ijumaa) nikiwa kazini Kuna saa nilikosa Kazi (zilikua zimeisha). Nikawazaa, ghafla mawazo ya maisha ya UYATIMA niliyopitia yalinijia.
Ni ndefu sanaa we somaa.!
Japo siwezi kuyaandika yotee, maana UYATIMA wangu ulinipitisha kwenye makubwa sanaa..!!
Nilizaliwa kwenye familia ya watoto 3...
Maoni na kura yako iwe kwa vigezo hivi:
Ni bila kuangalia
_AINA YA MUZIKI
_UJUMBE
_MSANII ALIYEIMBA
_HADHIRA ILIYOKUSUDIWA
_UKUBWA WA MWANAMUZIKI
_MUDA, MWAKA, IDADI YA _MATAMASHA, UKUBWA WA LEBO, PROMOTA, MSANII, MEDIA
***********
NI WIMBO GANI BORA KWAKO,
TANGU UANZE KUSIKIiLiZA MUZIKI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.